Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: TV zetu acheni ujinga na ujuaji

    Report Post
    Results 1 to 13 of 13
    1. #1
      Mwiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Posts : 4,593
      Rep Power : 2084
      Likes Received
      223
      Likes Given
      19

      Default TV zetu acheni ujinga na ujuaji

      Huwa napenda sana kutazama TV zetu hizi za hapa nchini .ITV,EATV mTBC lakini sasa naona zinazidisha matatizo kichwani.

      SHida na matatizo yaliyo nchini unahisi ukiangalia Tv labda yatatulia kutokana na vipindi mbalimbali vya kufurahisha ,kinachosikitisha na kunihuzunisha ni vipindi hivi kuwa vimekalia fujofujo ,kwa maana hakuna unachokisikia kwa makini ,utaona unatazama mchezo au kipindi halafu kuna mziki nyuma yake, mziki na maneno ya kipindi hujenga fujo na kukuchanganya na kujiona hujui unasikiliza kitu gani.

      Kama humu mna watu ambao ni watazamaji wazuri wa Tv bila ya shaka yeyote ile mtaweza kuliona jambo hili ,yaani unakuta kipindi ni kizuri tu ,na unatamani kusikia wanayozungumza washiriki ,lakini mziki ulionyuma au tuseme mziki unaochomekewa huwa unavuluga kila kitu ,hakuna kinachosikilikana ni fujo tupu ,hujui uzidishe sauti au upunguze.

      Ningependelea wahusika kama mnasoma hapa JF basi muangalie vipindi vya wengine au TV za wengine muone ,kama mna habari za mitaani basi ziwe habari tu na sio na muziki juu yake ,kama ni igizo basi zisikike sauti za waigizaji pekee zisizo ingiliana na muziki unaovuka sauti za waigizaji au usiwepo mziki kabisa.

      Hivi sasa kuna kipindi EATV ,aloo kuna mziki unaharibu kipindi kizima na ni ovyo kabisa ,yaani huwezi kuzidisha, sauti inakuwa ni balaa. sijui wanafikiaria watu wako baa.
      Light travels faster than sound. This is why some people appear bright until you hear them speak.

    2. Miaka 50

    3. #2
      Katavi's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 31st August 2009
      Location : Lyamba Lya Mfipa
      Posts : 19,550
      Rep Power : 16758
      Likes Received
      2473
      Likes Given
      1841

      Default Re: TV zetu acheni ujinga na ujuaji

      Hao EATV ndio zaidi, unakuta kipindi cha majadiliano kama 5 Connect wao wanaweka sauti za miziki sijui ndio sound tracks zao ambazo zinaondoa umakini katika kufuatilia mjadala....

    4. #3
      X-PASTER's Avatar
      Super Moderator Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Firdaws (Paradise)
      Posts : 11,859
      Rep Power : 7686
      Likes Received
      1467
      Likes Given
      0

      Default Re: TV zetu acheni ujinga na ujuaji

      Labda hawana online editor!
      “I am the punishment of God... If you had not committed great sins, God would not have sent a punishment like me upon you.”

      'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.

      (¯`·._.•X-Paster™•._.·´¯)


    5. #4
      Mwiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Posts : 4,593
      Rep Power : 2084
      Likes Received
      223
      Likes Given
      19

      Default Re: TV zetu acheni ujinga na ujuaji

      Huwa nawapigia simu lakini haipokewi na nipo Ngorongoro ,sifahamiani na mtu kule ,na ikiwa saound track au hawana online editor basi ni hatari ,kwani hawajui kama wanachokitangaza kinawafikia watu kwa high grade au ndio anao anao chenga twawala.
      Light travels faster than sound. This is why some people appear bright until you hear them speak.

    6. #5
      Mulongo Poteka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2010
      Posts : 2,026
      Rep Power : 0
      Likes Received
      294
      Likes Given
      120

      Default Re: TV zetu acheni ujinga na ujuaji

      Acha porojo wewe UK imekuwa Ngoro ngoro ambako hujawahi Tia sura yako!

    7. FemaTV & Radio

    8. #6
      Husninyo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th October 2010
      Posts : 17,136
      Rep Power : 24894
      Likes Received
      4159
      Likes Given
      584

      Default Re: TV zetu acheni ujinga na ujuaji

      Bora ushinde jf, uwe unaangalia zako ma u tube yanayorushwa na kina VOR.

    9. #7
      Mwiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Posts : 4,593
      Rep Power : 2084
      Likes Received
      223
      Likes Given
      19

      Default Re: TV zetu acheni ujinga na ujuaji

      Quote By Wozoza
      Acha porojo wewe UK imekuwa Ngoro ngoro ambako hujawahi Tia sura yako!
      Aloo wewe mtu una dharau sana, au wenye mtandao ni nyie tu wa huko majuu ? Halafu kwa taarifa yako tulipotoka kupigana Uganda ,nilikuwa naishi Murutunguru kule Nansio Ukerewe ,ni kijijini uko ndani kabisa,tuliondoka na rova(Landrover) ya kazini jeshini ,tukapita nayo kuanzia Mara tukakatisha katika mbuga za wanyama hadi tukatokezea Korogwe ,sasa mbuga zote unazozijua wewe tulipita na kulala pale kijijini kwa WaIraqi watz weupe,kabla atujaingia Arusha na Moshi.Njia tuliopita hairuhusiwi kupita gari zingine au private car ,ukitokea Bunda kabla hujaingia Mara kuna kabanda kadogo wanakaa watu wanaolinda pori ,walipoona ni sisi wazee wa kazi wakasema haya piteni wakuu,haoo tukakata mbuga.Sasa leo nipo Ngorongoro unasema wewe pekeyako ndio kwenu ,huachi uzushi.
      Light travels faster than sound. This is why some people appear bright until you hear them speak.

    10. #8
      Tangawizi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th June 2009
      Posts : 943
      Rep Power : 692
      Likes Received
      188
      Likes Given
      184

      Default Re: TV zetu acheni ujinga na ujuaji

      Mwiba mbona hiyo kitu dogo sana kwako bana...zichome miba zitulie

    11. #9
      Gad ONEYA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th October 2010
      Posts : 2,542
      Rep Power : 946
      Likes Received
      122
      Likes Given
      558

      Default Re: TV zetu acheni ujinga na ujuaji

      he hee

    12. #10
      Katavi's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 31st August 2009
      Location : Lyamba Lya Mfipa
      Posts : 19,550
      Rep Power : 16758
      Likes Received
      2473
      Likes Given
      1841

      Default

      Quote By Mwiba
      Aloo wewe mtu una dharau sana, au wenye mtandao ni nyie tu wa huko majuu ? Halafu kwa taarifa yako tulipotoka kupigana Uganda ,nilikuwa naishi Murutunguru kule Nansio Ukerewe ,ni kijijini uko ndani kabisa,tuliondoka na rova(Landrover) ya kazini jeshini ,tukapita nayo kuanzia Mara tukakatisha katika mbuga za wanyama hadi tukatokezea Korogwe ,sasa mbuga zote unazozijua wewe tulipita na kulala pale kijijini kwa WaIraqi watz weupe,kabla atujaingia Arusha na Moshi.Njia tuliopita hairuhusiwi kupita gari zingine au private car ,ukitokea Bunda kabla hujaingia Mara kuna kabanda kadogo wanakaa watu wanaolinda pori ,walipoona ni sisi wazee wa kazi wakasema haya piteni wakuu,haoo tukakata mbuga.Sasa leo nipo Ngorongoro unasema wewe pekeyako ndio kwenu ,huachi uzushi.
      dah!

    13. #11
      Mwiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Posts : 4,593
      Rep Power : 2084
      Likes Received
      223
      Likes Given
      19

      Default Re: TV zetu acheni ujinga na ujuaji

      Haya hivi sasa kuna mchezo hapa EATV ,aloo mchezo mzuri sana ,lakini kuna sijui ni piano au chiriku ,yaani maneno hayasikikani zaidi ya piano ,utafikiri ni Tom & Jerry,akipita mtu dirishani anaweza kusema mnatazama makatuni,au kuna mtoto anachezea redio kwa kupandisha na kushusha sauti ,yaani sauti ya muzeka ni outof control ,hakuna uwiano kabisa ni vurugumechi.
      Light travels faster than sound. This is why some people appear bright until you hear them speak.

    14. #12
      Lukansola's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th September 2010
      Location : 6°48′S 39°17′E
      Posts : 3,236
      Rep Power : 1050
      Likes Received
      727
      Likes Given
      971

      Default Re: TV zetu acheni ujinga na ujuaji

      Hilo tatizo lipo sana hata kwenye movie zetu za kibongo, vitu vingine sio lazima ukae darasani ni common sense tu, anyway polepole tutafika, wahenga walisema FOOLS LEARN FROM THEIR OWN MISTAKES BUT WISE MAN LEARN FROM OTHER PEOPLES MISTAKES.

      Halfu jambo lingine, naona kama jamii firum interface imebadilishwa nina (maana muonekano) lakini mbona haya majina ya wachangiaji yamefifia sana hiyo text nyusei kwenye blue background haisomeki au wenzangu mnaonaje (tutoe kwanza boriti kwenye macho yetu ndipo tutaona vibanzi kwenye TV za wenzetu)
      asanteni

    15. #13
      Mzalendo80's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th October 2010
      Location : Magogoni, Tanganyika
      Posts : 2,270
      Rep Power : 958
      Likes Received
      815
      Likes Given
      1589

      Default Re: TV zetu acheni ujinga na ujuaji

      Tumia Dish achana na tv za kisenge kama TBC na nyingine
      The CCM is a crime syndicate, Most members and MPs of CCM are corrupt. No conceince, No brains no nothing, just bunches of criminal and theft. Corruption cost mlalahoi in de street.

    16. Study Abroad

    Similar Topics

    1. NMB - Ujinga wenu wa 'network inasumbua' unaharibu biashara zetu
      By Crucifix in forum Business & Economic Forum
      Replies: 0
      Last Post: 31st October 2011, 09:31
    2. Acheni kufikiria ujinga
      By Manyanza in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
      Replies: 20
      Last Post: 19th September 2011, 15:42
    3. Acheni kugawa passport zetu
      By topthinker in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 18
      Last Post: 17th April 2011, 16:33
    4. Replies: 2
      Last Post: 7th August 2009, 15:07

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...