Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mama azimia akifuatilia mafao yake NSSF Kinondoni Regional office

    Report Post
    Results 1 to 3 of 3
    1. #1
      Mchekechoni's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2008
      Posts : 280
      Rep Power : 621
      Likes Received
      17
      Likes Given
      0

      Default Mama azimia akifuatilia mafao yake NSSF Kinondoni Regional office

      Mama mmoja wa makamo amezimia mchana huu katika ofisi za NSSF zilizoko Ubungo, jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa mashuhuda waliokuwa karibu na mama huyo kabla hajakutana na dhahama hiyo, ni kwamba amekuwa akifuatilia mafao yake stahiki tangu mwezi November 2010, na amekuwa akipigwa tarehe kila mara. Kwa hivi sasa amepatiwa huduma ya kwanza na baadae akabebwa kupelekwa katika ofisi mojawapo yenye kiyoyozi, pengine kusubiri cheki yake itoke kama emergency ili kumuepusha na maafa zaidi. Wito kwa NSSF wapunguze ukiritimba, ni vema kumpa mtu tarehe ya uhakika ya kuchukua cheki yake kuliko utaratibu wao wa kupiga watu tarehe bila mpangilio, pia wajitahidi kuepusha muda wa watu kupotea bure na gharama za nauli kila mara. Kinachosikitisha zaidi ni kuwa, kila tarehe unayopewa utatumia masaa manne na zaidi kusubiri jina lako, na ukiitwa unapigwa tarehe nyingine. Mmm.....they're somehow stupid in wasting peoples' time and money. NSSF must change for the best!

    2. Miaka 50

    3. #2
      doup's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th February 2009
      Location : N/A
      Posts : 697
      Rep Power : 660
      Likes Received
      53
      Likes Given
      43

      Default Re: Mama azimia akifuatilia mafao yake NSSF Kinondoni Regional office

      hivi hakuna utaratibu wa kuweza kuwafungulia mashatka ya madai kwa usumbufu huu, wakiwa na kese kama elfu hamsini hivi zitawapotezea muda na wao ndio watajua umuhimu wa muda
      Arusha ni mwanga wa TUMAINI jipya

    4. #3
      beatrixmgittu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 21st December 2010
      Location : Jerusalem
      Posts : 113
      Rep Power : 448
      Likes Received
      5
      Likes Given
      6

      Default Re: Mama azimia akifuatilia mafao yake NSSF Kinondoni Regional office

      Quote By mchekechoni
      Mama mmoja wa makamo amezimia mchana huu katika ofisi za NSSF zilizoko Ubungo, jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa mashuhuda waliokuwa karibu na mama huyo kabla hajakutana na dhahama hiyo, ni kwamba amekuwa akifuatilia mafao yake stahiki tangu mwezi November 2010, na amekuwa akipigwa tarehe kila mara. Kwa hivi sasa amepatiwa huduma ya kwanza na baadae akabebwa kupelekwa katika ofisi mojawapo yenye kiyoyozi, pengine kusubiri cheki yake itoke kama emergency ili kumuepusha na maafa zaidi. Wito kwa NSSF wapunguze ukiritimba, ni vema kumpa mtu tarehe ya uhakika ya kuchukua cheki yake kuliko utaratibu wao wa kupiga watu tarehe bila mpangilio, pia wajitahidi kuepusha muda wa watu kupotea bure na gharama za nauli kila mara. Kinachosikitisha zaidi ni kuwa, kila tarehe unayopewa utatumia masaa manne na zaidi kusubiri jina lako, na ukiitwa unapigwa tarehe nyingine. Mmm.....they're somehow stupid in wasting peoples' time and money. NSSF must change for the best!
      Hawa NSSF inabidi wabadilike sana hata hili linahitaji wawekezaji????UFISADI TUUU.
      Beauty and Brain..

    5. FemaTV & Radio

    Similar Topics

    1. Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!
      By allydou in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 500
      Last Post: 29th July 2012, 06:45
    2. Mafao ya NSSF walivyo wazidi kete PPF in their own game
      By friendsofjeykey in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 15
      Last Post: 5th July 2012, 21:40
    3. mafao ya nssf
      By Raia Fulani in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 3
      Last Post: 6th November 2011, 17:20
    4. SHERIA INaSEMAJE JUU YA NSSF,PPF NA MAFAO MENGINE KWA MAHOUSEGIRL NA WALINZI MAJUMBAN
      By AMARIDONG in forum Jukwaa la Sheria (The Law Forum)
      Replies: 1
      Last Post: 17th January 2011, 09:12
    5. Retrechment ya ndoa;kuwe na mafao yake!!!
      By Pdidy in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 3
      Last Post: 4th October 2009, 17:58

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...