| Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 (permalink) | |||
|
||||
|
Views: 571
|
||||
|
||||
|
Ipo haja ya kubadili CD... hakuna la kustaajabu hapo
__________________
Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problems,
But, if you think again, neither does milk." Vituko Vya Zenj |
|
||||
|
Tukinyamaza, mawe yatapiga kelele. In fact CD ndiyo kwanza inaanza kukolea. Hapo EPA hakuna kunyamaza mpaka kieleweke halafu itafuata Meremeta, Deep Green, IPTL, Richmond, Kiwira, CIS, madai ya wastaafu EAC na .....haponi mtu.
__________________
Something that is much more scarce than ability is the ability to recognize ability. |
| The Following 5 Users Say Thank You to Mag3 For This Useful Post: | ||
BrownEye (20th November 2008), Bubu Ataka Kusema (20th November 2008), Endaku's (20th November 2008), Hidayante (20th November 2008), Ibrah (20th November 2008) | ||
|
||||
|
Habadili mtu CD mpaka kieleweke! Muziki ndiyo kwanza umeanza na waruka majoka wanaifurahia CD hiyo. DJ can you replay my favourate number EPA again and again and again!!! Ingekuwa mwaka 47 EPA ingeshasahaulika siku nyingi tu lakini hii ni 2008 mpaka kieleweke tumechoshwa na usanii usiokwisha.
__________________
I will die poor rather than stealing from Tanzanians through fake contracts and dubious ownership of Tanzanians' Natural Resources |
| The Following 2 Users Say Thank You to Bubu Ataka Kusema For This Useful Post: | ||
Mshiiri (20th November 2008), NaimaOmari (21st November 2008) | ||
|
||||
|
Yeye huyo waziri inamhusu nini jamani mbona anatafuta maswahiba yasiyomhusu????maana uozo wao huko wizarani wakae chonjo.......awe mpole na apime maneno yake asitafute cheap publicity
__________________
"No matter how far down the wrong road you've gone,TURN BACK" |
|
|||
|
NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mwamtumu Mahiza amevitaka vyombo vya habari nchini kuachana na habari zinazohusu sakata la wizi wa fedha katika Akaunti ya Madeni ya Nje, (EPA) pamoja na masuala ya migomo ya walimu kwa madai kuwa masuala hayo tayari yametafutiwa ufumbuzi
Mahiza alisema anachukizwa kuana masuala ya EPA na migomo ya walimu ikishikiliwa bango kila kukicha wakati tayari malalamiko hayo yamefika mwisho kwa sababu walimu wameanza kulipwa na watuhumiwa wa EPA wameshafikishwa Mahakamani. |
|
|||
|
waambie mpaka tujue mwisho wake kama alitegemea mambo yameisha ndo kwanza unaanza na tukitoka tutarudisha richmond, meremata au kiwira mpaka 2010 ndo utaisha sasa hivi itakuwa EPA update si jui tuifungulie kabisa forum yange na magazeti watenge ukurasa ulioandikwa HABARI ZA UFISADI WA EPA na TV kipindi cha EPA hewani tutabeba mpaka kizazi cha saba
|
|
||||
|
Huyo Mama amenishangaza sana jana kwenye TV, nadhani ameingilia majukumu ya Wizara ya Jinsia na Maendeleo ya Jamii (Maendeleo ya Jamii). Sasa kama anataka Wanahabari wageuze CD kwenda kwenye masuala ya unyanyasaji, hiyo CD ikielekezwa huko Waziri Sitta naye akisema geuzeni CD andikeni kuhusu Migomo ya Walimu itakuwaje?
Kwa kifupi ajue kuwa WaTanzania kwa sasa priority ni EPA, Elimu (Migomo ya Walimu na Wanafunzi) na baada ya hapo tutataka kujua kuhusu Meremeta, Tangold, Deep Green Finance na ubadhirifu mwingine. Ajue kuwa jukumu la kuandika habari ni la Wanahabari wenyewe na jukmu la habari ipi ipewe kipau mbele ni la Wahariri na Waziri.
__________________
""Basi Mwana akiwaweka huru mtakuwa huru kwelikweli," YOH.836 |
|
|||
|
Mhamishiwa Waziri, napenda kukueleza kuwa hiyo CD upande mmoja haujaisha kwanini ugeuze wa pili? Wizi wa mitihani umesahau? Ujenzi wa shule nzuri karibu na watoto wanapotoka itasadia kutopenda masuala ya magari na lifti za vibopa. Hivi umeuleta kama mjadala, pendekezo au vipi.
|
![]() |
| Bookmarks |
| Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests) | |
| Thread Tools | |
| Display Modes | Rate This Thread |
|
|
Similar Threads
|
||||
| Thread | Thread Starter | Forum | Replies | Last Post |
| Ukistaajabu ya Mussa... | Bubu Ataka Kusema | Habari/Hoja mchanganyiko | 6 | 1st September 2008 09:11 AM |
| Ukistaajabu ya Edward Lowassa utayaona ya Aman A. Karume | Sokomoko | Habari/Hoja mchanganyiko | 28 | 13th April 2008 06:50 PM |
| Ukistaajabu ya Musa, Utaona ya Firauni!!! | mkenya2008 | Jokes/Utani + Udaku/Gossips | 1 | 1st April 2008 01:21 PM |
| Ukistaajabu ya Musa, Utaona ya Firauni | mkenya2008 | Jokes/Utani + Udaku/Gossips | 0 | 1st April 2008 12:01 PM |
| Ukistaajabu ya Mussa... | Bubu Ataka Kusema | Jukwaa la Siasa | 4 | 15th December 2007 10:04 PM |
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!