JamiiSMS
  Show/Hide This

  Ndoto

  1. mbongo asili reload
   mbongo asili reload
   Assallamu alleykum
   Ningependa kwanzo kuuliza na naomba nasaha kutoka kwa mangwiji wa dini. swali ni jee Ndoto katika uislamu zina misingi yoyote kama utabiri wa hali iliyoko ama itakayo kuja ikiwa ndoto yenyewe sio matokeo yaliyo pita hapo awali?
  2. KABAVAKO
   KABAVAKO
   wa alaykum salaam! Ndugu yangu, katika Uislamu tunaamini kuwa kuna ndoto za kweli na zingine si za kweli. Kwani unaweza kupata ndoto kwa sababu ya aina ya chakula ulichokula siku hiyo, matukio yaliyokupata au kuyaona, afya yako kama si nzuri kwa maana kama unaumwa magonjwa kama malaria na kadhalika utaota ndoto nyingi tena zisizo na maana yoyote na wakati mwingine hupoteza akili kabisa. Lakini kama ukiota ndoto ukiwa mzima wa afya na jambo hilo hukuwa ukiliwaza kabla huenda ndoto hiyo ikawa ya kweli na hasa kama utaota mwishoni mwa usiku yaani karibia na wakati wa sala ya asubuhi. Hata hivyo ni vigumu kujua usahihi wake kwani kutafsiri ndoto ni kazi inayohitaji utaalamu. Mara nyingi ndoto haziji kwa maelezo yaliyo wazi na badala yake huwa kinyume cha tukio au kwa mtindo wa mafumbo. Hivyo ni bora kuzidharau ndoto kwani zitakushughulisha sana na kukuzuia kufanya shughuli za msingi na kumuabud Mola wako.
  3. AL-BABU
   AL-BABU
   Waalaykum salaam! ujuwe ktk swala zma la Ndoto kweli zpo ndoto za kweli na hzo znasemekana huanzwa kuotwa kuanzai saa 3:00 am mpaka 4 na am sasa bax ktk hyo ndoto yawezekana ndo ujumbe ama mawaitha ama nasaha umepewa za kweli pasipo ww mwenyewe kujua na ndo maana kukawa na wataalam kuusu maswaala ya ndoto
  Results 1 to 3 of 3

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...