Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Kwanini mapenzi ya wizi yana kuwa matamu kuliko ndoa?

    Page 1 of 2 12 LastLast
    1. John Mtembezi
      John Mtembezi
      Hili swala nimeliona mara nyingi hasa wanaume wanapokuwa na hawara nje ya ndoa husahau wake zao na wanawake wanapokuwa na mahusiano na ma house boy wana sahau waume zao which is too bad may Lord have mercy on us
    2. Soulbrother
      Soulbrother
      Mapenzi ya wizi yanakuwa matamu kwasababu ya ule uwoga wa kufumaniwa. Hamna lipya, hamna kilichotofauti ila kwa sababu asili ya mwanadamu ni kuasi, akiiba, anapata hisia za kuwa amepata zaidi kuliko kile chake cha halali
    3. Lady N
      Lady N
      ukiwa unaenda kuiba akili inakuwa isha jitune na automatikali mwili unaanza kujiandaa kwa hilo. Tatizo tunaloliface kwenye ndoa zetu nimaandalizi hakuna, si unajua tu yupo na any tym unaweza kufanya mapenzi? hat usiku wa ma8 unamkurupusha mwenzi ucngizini! kama unataka kuusikia utamu kaa kama siku 3 bila kula tundi, then siku uliokusudia kula, kuanzia mtumie mwezi wako msg nzuri nzuri na umwambie siku hiyo unatamani kufanya naye mapenzi, atjiandaa mwili na akili nawe pia utakuwa ujianda mambo yatakuwa safi.
    4. mbasajohn
      mbasajohn
      kwa kweli mapenzi ya wizi ni matamu kwa sababu moja kuu ya msingi nayo ni kwamba unapokuwa na mpenzi ambaye ni mpenzi wa mtu mwingine unakuwa unafurahi bila wasiwasi wa kuibiwa na mtu mwingine maana si mpenzi wako, pia unakuwa huna stress hata kama utamkuta na mtu mwingine. lakini unapokuwa na mpenzi wako unakuwa unahisi kwamba kuna watu wengine wanakuchukulia na hivyo unajikuta taratibu unakosa hamu ya kuwa naye na hatimaye yanabaki mazoea kitu ambacho kinafanya mapenzi yakose msisimuko.
    5. kipusy
      kipusy
      Kuiba raha sanaaa kama hujabambwa... ila ukibambwa uchungu sana inagharimu maisha sometimes... na upokua unaiba raha sana kwa kua unaamini huyo unaemuiba ana mume/mke wake ila amekubali kua na wewe kwa kua wewe unakubalika na unaweza mambo ndio maana amekukubali na yuko tayari kukaa uchi na wewe. vilevile unapokua unaiba ni muda mfupi tu mnautumia kua nae na ndio maana unakua unahamu nae sana kwa maana ya kum'miss sana unapokua peke yako...
    6. Smartmind
      Smartmind
      Mmmhh mapenzi ya wizi matamu jamani manake toka unaanza kuoga kujiandaa ww upo tayari kabisha kwa shughuli inayokupeleka huko. ndani tatizo linakua stress nyingi maudhi na kadhalika.
    7. Mzee
      Mzee
      mapenzi ya kuiba yanakuwa matamu kwakuwa wahusika hawapati muda mrefu wa kukaa pamoja so hawachokani. Kila mara wanonana wapya
    8. HILLZ
      HILLZ
      i tnk ni kwasababu m2 anatafuta kuliwazwa dty most em wanakuwa wanadata xana na penz la wizi
    9. Richie M
      Richie M
      Sina uhakika ila kwa mtazamo wangu,inawezekana mke/mme aliyenayea hakukidhi mambo fulani fulani aliyokuwa anayapata kutoka kwa wapenzi wa zamani,hivyo basi huwa anakuwa na uhakika kuwa anapata vitu tofauti;kwa dhana hiyo anakuwa na fikra tofauti kuwa kuna mapenzi zaidi ya ndoa...BUT Why ulioa/olewa kama hakuna mapenzi ya kweli kwenye ndoa?kama ulipewa mke/mme kwa lazima,kwa kufumaniwa hapo sina neno......JF kazi kweli kweli...
    10. isamilo1982
      isamilo1982
      mapenzi ya nje yananoga kwa kuwa yawezekana kunakuwa na vi2 m2 anavimiss kwakuwa walio wengi ndani ya nyumba huwa wanajisahau alafu sijui niseme mazoea yani humo ndani wa2 wanazoeana mpaka na radha nayo inapungua!
    Results 1 to 10 of 17
    Page 1 of 2 12 LastLast

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...