Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    sasa inabidi watusamehe...

    1. Domenia
      Domenia
      Kwani fedha tulizo iba tumemuibia nani??
      ...wakati hata sisi ni wananchi wa tanzania!!!
      hivi kweli inawezekanaje kijiibia kwenye mfuko wako mwenyewe...
      Haiwezekani Raisi aka iba...ana iba nini...
      Mali yangu kama mtanzania ni mali yetu wote Watanzania...
      labda wapinga ufisadi waje na jingine...


      hata hivyo hakuna kitu kibaya kitakacho tokea...watanzania asilimia kubwa ni wezi...!
      Na hata wanao pinga ufisadi wakisogea tu lazima wawe mafisadi....
      wanatuchafulia majina...Hakuna lolote...
    Results 1 to 1 of 1

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...