Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Chumbani mmmmmmh! chumbani

    1. Nakshi
      Nakshi
      Sasa kwanini wewe mwanamke chumba chako na mumeo kiwe Jehanamu.Kitunze nacho kikutunze hadi ifikie mahali baba au mama unahamu ya kurudi mapema nyumbani maana kuna kitu unahamu nacho, mandhari nzuri ya chumba hatakama kidogo lakini mama anakitunza vyema.
      Jambo la hatari ni chumba chenu kukifanya jalala na mtaa wa wapita njia. Hii namaana kuwa JALALA ni kutupa tupa vitu hovyo, viatu chini ya kitanda na nguo chafu kila pahala ukutani na kila kona. Pia MTAA ni pale ambapo Chumba chako kina kosa kusitiri mambo ya Mke na Mume. Watoto wanakimbizana hadi kujificha chumbani kwa baba na mama, Housegirl nae kila saa anaingia chumbani kama kwake, Kitanda anatandika huyohuyo Housegirl "Beki tatu" ni dharau kubwa sana kwa mwanamke katika chumba chako wewe na mumeo.
      Piga marufuku tabia hiyo mara moja maana ni hatari sana, mtoto akisha fikia umri wa kuanza shule chumbani kwa wazazi apaone sehemu ya hatari na aingie kwa sababu maalum tu.
    2. princess enny
      princess enny
      na wale wanaopenda kila rafiki unampeleka chumbani huo ni ustaarabu less!!!!! kwanza wengine wezi!!!
    3. snowhite
      snowhite
      SI BORA AWE MWIZI,wengine wachawi wanwekaga vitu chuni ya vitanda inakuwa kila siku mangombana tu kila mkiingia chumbani bila kujua nini kinasababisha!
    4. Ennie
      Ennie
      Aah! Na uchawi unahusika eeh.
    5. shokad
      shokad
      ilo neno duh kwa kweli kiustarabu hutakiwi kuingiza ingiza watu chumbani kwako
    6. Nakshi
      Nakshi
      Hapo umenena princess enny tena wanaweza kukuibia kitu chako cha thamani ndani mpka mumeo.
    7. Nakshi
      Nakshi
      Ennie kuna watu wanga tena wachawi wakubwa wewe hufahamu unamuona rafiki unamzoa mpka chumbani kwako unachezewa chezo hilo mume chumba anakiona kama kaingia shimoni, piga marafiki stop mwisho living room hapana chumbani
    8. Madame B
      Madame B
      Yani kuna wengine ni wanga kbs
    9. Madame B
      Madame B
      Na wengine huwa ni wachawi na wanga.
      Ila kwa nini shoga yako umpeleke mpaka chumbani?
    Results 1 to 9 of 9

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...