JamiiSMS
  Show/Hide This

  Ufugaji wa Nyuki-Kibiashara

  1. Ericus Kimasha
   Ericus Kimasha
   Wadau naomba niwape taarifa kuwa sekta ndogo ya nyuki tayari imekaa kibiashara na si muda mrefu itapata promo za kutosha kuvutia wawekezaji.

   Kwangu asali, royal jery na propolis ni DHAHABU zingine ambazo Tanzania inaweza kuzizalisha na kupunguza umaskini, kuzalisha ajira na kuongeza pato la fedha za kigeni. Na kama kawaida bidhaa hizi zitakuwa na thamani kubwa sana tofauti na zile za Argentina, Brazil, China, India n.k maana uoto wetu ni wa asili. Mazao haya labda niyabatize TANZASALI nikitooa kutoka TANZANITE. Tatizo langu ni kuwa, hapa sisi tumelala na mapori, hatuoni fursa. Labda tu niwafahamishe, kulingana na Sheria ya Ufugaji Nyuki Namba 15, ya Mwaka 2002, Mtu, Kijiji, au Kampuni binafsi wanaruhusiwa kumiliki na kuendeleza MANZUKI (APIARY) au Shamba/Msitu wa kufugia Nyuki.

   Leo naishia hapa, tuwasiliane 0762444266
  2. Realtor
   Realtor
   Ntareyehirungu asnte sana kwa taarifa hizi. Hivi soko la asali limekaa vipi, kwa soko la ndani la la kimataifa?
  Results 1 to 2 of 2

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...