JamiiSMS
  Show/Hide This

  Groups

  View All Random Groups

  View All Recently Updated

  • ACT TANZANA , CHAMA CHA WAZALENDO

   Act Tanzania ni chama cha Wazalendo , ni chama ambacho mlengo wake ni kuweka na kuimarisha misingi ya uzalendo wa Taifa hili , kulipenda Taifa, kupenda shule za kata, kuweka usawa wa raslimali zote na kuweka misingi ya nyerere

   Category: JF Blogs
   Last Activity: Today 21:45

   23 member(s)
  • STUDENTS CAMP

   This is for all education issues and related matter incase of knowledge exchage so that to educate and informing us new education news as early as occur

   Category: JF Blogs
   Last Activity: Today 21:42

   22 member(s)
   Latest Discussion:
   Bodi ya mkopo elimu ya juu
  • Mapenzi ya dhati

   Sehemu ya kuzungumzia mapenzi, kushauriana, kukosoana na kufundishana.

   Hakuna anayejua mapenzi zaidi ya yule aliyependwa akaachwa.

   Category: JF Blogs
   Last Activity: Today 21:39

   1,075 member(s)
   Latest Discussion:
   Raha na utamu wa mapenzi
  • Mapishi Club

   Chef's Club

   Category: JF Blogs
   Last Activity: Today 21:37

   188 member(s)
  • analogy&digital sats dish setting

   tushirikiane kukuza taaluma zetu za sats dish installion

   Category: JF Blogs
   Last Activity: Today 15:03

   2 member(s)
   Latest Discussion:
   This group doesn't have any discussions yet.
  • Islamic Group.

   Maamkizi Ya Kiislam 'Assalaamu 'Alaykum' –

   Kutoa salaam ni funzo muhimu tulilofundishwa na kuamrishwa katika Dini yetu, lakini tunaona kwamba limechukuliwa kuwa ni jambo jepesi lisilotiliwa hima na ilhali lina fadhila kubwa sana, na mojawapo ni kumfikisha mtu katika makazi ya Peponi.

   Kutoka kwa Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu 'anhu) kwamba Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Hamtoingia Peponi hadi muamini, na wala hamuwezi kuamini hadi mpendane. Je, nikujulisheni jambo ambalo mtakapolifanya mtapendana? Toleaneni Salaam baina yenu))

   Karibuni katika Group hii ya Kiislamu ili tupeane nasiha za dini yetu tukufu.

   Category: JF Blogs
   Last Activity: Today 13:09

   34 member(s)
   Latest Discussion:
   Site ya Mawaidha (video)
  • Mapenzi

   Karibuni Tuongelee mapenzi na mahusiano kwa ufasaha na kupeana ushauri wa kina ili kudumisha mapenzi.

   Category: JF Blogs
   Last Activity: Yesterday 18:32

   862 member(s)
   Latest Discussion:
   Jimama (sugarmummy) anahitajika
  • FIND THE RIGHT PARTNER

   Singles above 28 yrs who knows what they want.

   Category: JF Blogs
   Last Activity: 23rd May 2015 14:21

   53 member(s)
   Latest Discussion:
   Hodi hodiii....!!!!
  • LOVE

   No Description

   Category: JF Blogs
   Last Activity: 23rd May 2015 06:29

   52 member(s)
   Latest Discussion:
   Jimama (sugarmummy) anahitajika
  • FUTURE STRATEGIC INVESTMENT FSI

   habari zenu ndugu watanzania? nafuraha kubwa kuwashirikisha juu ya uamuzi tulio kuwa nao katika swala zima la maendeleo sisi kama FUTURE STRATEGIC INVESTMENT ni organization chipukizi ambayo inawaalika COMMITED PEOPLE watakao amua kuinvest kwa kuchagua orodha ya vifurushi/amount of contributions kuanzia kiwango cha sh 30,000/- mpaka 1,000,000/= mapato yanayo kusanywa tunainvest kwenye assets zisizo shuka thamani kama viwanja,kujenga maduka na mafrem katika miji inayo kuwa!! kama wanachama kukopeshana sisi kwa sisi na kulipa kwa liba ndogo, lakini walio nje ya chama tutawachaji zaidi tutamdhamini zaidi mwanachama aliye jiunga na taasisi hii! pia kuna vikao mbalimbali vinavyo endelea kabla ujajiunga nivizuri kuudhuria katika vikao ili kujua adhima hasa ya maendeleo.

   na mengine mengi katika vitabu tunavyo viandaa na mikakati mbalimbali tunayo itazamia
   mawasiliano
   +255719909267
   email [email protected]
   DIrector and founder-FUTURE STRATEGIC INVESTMENT-FSI

   Category: JF Blogs
   Last Activity: 22nd May 2015 12:12

   1 member(s)
   Latest Discussion:
   This group doesn't have any discussions yet.

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...