Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Suluhu ya msongamano wa magari jijini Dar

    Report Post
    Page 12 of 18 FirstFirst ... 21011121314 ... LastLast
    Results 221 to 240 of 354
    1. #1
      Morani75's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st March 2007
      Location : Duniani
      Posts : 662
      Rep Power : 761
      Likes Received
      9
      Likes Given
      0

      Default Suluhu ya msongamano wa magari jijini Dar

      Wana JamiiForums wenzangu...

      Hii habari ninayoiweka ni kutoka kwenye gazeti la Guardian, 09/07/2007. Kwa kweli UCLAS wamekuja na mpango mzuri. Lakini kwa wale ambao wapo kwenye vyombo kama ERB, UDSM, DIT na vyuo vingine kwa pamoja na serikali na sekta binafsi ikiwemo Polisi, Ujenzi, TANROADS, Conslutants, SUMATRA, MUWADA etc wachangie mawazo. Wenzetu wa UCLAS kama mpo jumuisheni wadau wengine ili mpango wenu uwe maridhawa na utoe suluhu ya tatizo hili la usafiri.

      Wazee wa vyuo vikuu, jamani wanafunzi wakati wanafanya projects kwa nini wasipewe mwamsho wa kuweza chunguza na kutoa mapendekezo yao kuhusu suala hili...tayari UCLAS wameshatupa "skeleton" what we need now ni "flesh and blood". Congrats UCLAS but don't hide the info to yourself, share and improve it to cater for the need......

      The article is as below:

      UCLAS: Here is the major solution for Dar congestion

      2007-07-09 09:49:32
      By Pascal Shao



      The University College of Lands and Architectural Studies (UCLAS) has come with a cost effective and permanent solution on road traffic jams in Dar es Salaam.

      UCLAS Assistant Research Fellow, Hussein Rajab, told The Guardian that should the government take into account the said solution, traffic congestion in the city of Dar es Salaam would become history.

      He said: ``Most traffic congestions arise at the junctions. The only answer to traffic jams is to improve the intersections where vehicles converge. Improvement here means construction of either flyovers (overpass) or underpass lanes.

      ``Overpass or underpass is a permanent solution as vehicles will not meet at the junctions as the situation appears at the moment,`` he said.

      He said the lanes would facilitate movement of vehicles heading to final destinations without meeting at the junctions (where there are traffic lights).

      Rajab said the solution would be suitable for small vehicles rather than daladalas due to stoppages and heavy vehicles, as 80 percent of traffic to city centre is made up of small vehicles.

      He said that overpasses could be applicable at the junctions of Mwenge, Morocco, Ubungo, Tabata, Shekilango to mention a few, while the underpasses could be built at the slopes of Kawe Road, St Peter road junction etc.

      ``Construction of an overpass or underpass is a one time investment,`` he said.

      Rajab said expansion or adding more roads would not reduce traffic jams but would instead facilitate vehicles to meet at the junctions.

      He said that traveling on congested roads resulted in increased fuel consumption.

      He mentioned effects of traffic congestion as time wastage, environmental pollution, tear and wear and stress. He further mentioned other effects as difficulties in case of emergencies, noise as motorists try to divert to other quiet areas such as hospitals and schools.

      Dar es Salaam has been experiencing traffic jams, which normally occur during peak hours in the mornings and evenings, as most traffic is heading to and from the city centre due to most offices being located there.

      SOURCE: Guardian

      Hali ilivyo kwa Dar as at March, 2010:


      Ali Hassan Mwinyi road


      Morogoro road near Magomeni Mapipa


      Old Bagamoyo road near Shopper's plaza


    2. FemaTV & Radio

    3. #221
      Mwalimu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 21st August 2008
      Posts : 1,171
      Rep Power : 782
      Likes Received
      249
      Likes Given
      669

      Default Re: kupunguza adha ya foleni dar

      Duh! huu mshikaki kiboko...ila kwa hizi mashine za mchina SANLG hapa lazima zichemshe!!

    4. #222
      Masikini_Jeuri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th January 2010
      Location : Igangidung'u
      Posts : 5,953
      Rep Power : 2078
      Likes Received
      698
      Likes Given
      5029

      Default Re: kupunguza adha ya foleni dar

      sioni kitu
      24 hours in a day! 24 beers in a case, Coincidence? I think not!

    5. #223
      Mkakatika's Avatar
      Member Array
      Join Date : 14th November 2009
      Posts : 40
      Rep Power : 491
      Likes Received
      5
      Likes Given
      2

      Default Re: kupunguza adha ya foleni dar

      Public transport ikiboreshwa mambo yatakuwa mswanu kwani wengi hawatatumia magari yao na parking zenyewe zinavyosumbua tauni

    6. #224
      MAMA POROJO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd November 2007
      Posts : 4,858
      Rep Power : 1843
      Likes Received
      590
      Likes Given
      413

      Default Re: kupunguza adha ya foleni dar

      ???????????????????????

    7. #225
      afrodenzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st November 2010
      Location : sweet home
      Posts : 15,615
      Rep Power : 26572
      Likes Received
      5845
      Likes Given
      5721

      Default Re: kupunguza adha ya foleni dar

      Quote By Ngambo Ngali
      tujaribu hii


      jaribu hii??????????????????????????? ???????????
      life goes on.....

    8. Miaka 50

    9. #226
      Gama's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th January 2010
      Posts : 4,575
      Rep Power : 1359
      Likes Received
      425
      Likes Given
      621

      Default

      Quote By Ngambo Ngali
      tujaribu hii


      mi sijaona kitu.

    10. #227
      Bulesi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th May 2008
      Posts : 3,327
      Rep Power : 1236
      Likes Received
      339
      Likes Given
      72

      Default Re: kupunguza adha ya foleni dar

      Quote By Ngambo Ngali
      tujaribu hii


      We mvuta ganja mbona unatuzingua hatuoni kitu!!

    11. #228
      Mporipori's Avatar
      Member Array
      Join Date : 22nd November 2010
      Posts : 45
      Rep Power : 439
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Traffic police dar., suluhisho? Au chanzo cha foleni..?

      Ndugu zangu wana JF, Salaam..

      Hivi hawa trafic police wanaoongoza magari barabarani wanachangia foleni au wanapunguza foleni? Na hizo taa za barabarani zina kazi gani..?
      Imekuwa ni mtindo kwa trafic wetu kuruhusu gari za upande fulani tu as if watu fulani ndio wanapaswa kuwahi na wengine kuchelewa.. mfano ni wale ndugu zangu wanaotumia gari za Mwananyamala - Posta, kupitia Manyanya; waweza kukaa hata dakika arobaini ndio uruhusiwe kupita ubalozini. Mfano mwingine ni gari za Posta-Mwenge, masaki kupita serender bridge; why ni gari za ocean road ndio huwa zinapewa nafac kubwa.. Muongozo wenu wajumbe..?
      YOU ARE ALWAYS INVOLVED IN POLITICS WHETHER YOU LIKE IT OR NOT; SHAPE IT BEFORE IT SHAPES YOU...! - Mak_the fighter

    12. #229
      Mporipori's Avatar
      Member Array
      Join Date : 22nd November 2010
      Posts : 45
      Rep Power : 439
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Traffic police dar., suluhisho? Au chanzo cha foleni..?



      Ndugu wana JF, Salaam..

      Hivi hawa trafic police wanaoongoza magari barabarani wanachangia foleni au wanapunguza foleni? Na hizo taa za barabarani zina kazi gani..?
      Imekuwa ni mtindo kwa trafic wetu kuruhusu gari za upande fulani tu as if watu fulani ndio wanapaswa kuwahi na wengine kuchelewa.. mfano ni wale ndugu zangu wanaotumia gari za Mwananyamala - Posta, kupitia Manyanya; waweza kukaa hata dakika arobaini ndio uruhusiwe kupita ubalozini. Mfano mwingine ni gari za Posta-Mwenge &Masaki kupita Serender bridge; why ni gari za ocean road ndio huwa zinapewa nafac kubwa.. kwa nini zisiachwe taa ziongoze..?
      YOU ARE ALWAYS INVOLVED IN POLITICS WHETHER YOU LIKE IT OR NOT; SHAPE IT BEFORE IT SHAPES YOU...! - Mak_the fighter

    13. #230
      Nyani Ngabu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 15th May 2006
      Location : Ikungulyabashashi
      Posts : 39,157
      Rep Power : 31371
      Likes Received
      9571
      Likes Given
      683

      Default Re: Traffic police dar., suluhisho? Au chanzo cha foleni..?

      Kuendesha gari Dar ni ghasia. Yaani upuuzi mtupu. Watu wenye akili hawawezi kuendesha namna wanavyoendesha hivyo. Let me stop before I cuss
      Miafrika Ndivyo Tulivyo.

    14. #231
      masoudmwevi's Avatar
      Member Array
      Join Date : 5th August 2008
      Posts : 52
      Rep Power : 560
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Traffic police dar., suluhisho? Au chanzo cha foleni..?

      ukiona hivyo waruhusiwao ndio waliomuhimu

    15. #232
      Mkerio's Avatar
      Member Array
      Join Date : 12th March 2006
      Location : DSM
      Posts : 34
      Rep Power : 681
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Traffic police dar., suluhisho? Au chanzo cha foleni..?

      Naona wanasaidia sana hasa asubuhi na jioni. Ila ni kweli kwamba wale walio upande ambao hauna foleni wanaona kero maana wanasahaulika. Siku ambayo haina traffic hali ni mbaya sana. Suluhisho ni kupanua barabara na kujenga fly overs. Pili ni kuimarisha barabara vichochoni na pia kuruhusu daladala zenye hadhi ku operate. kwa mfano mtu anaweza kuwa na daladala yenye AC na mambo mazuri ndani akatoza ghali hivyo watu wanaweza kuacha magari home wakapanda hayo.

    16. #233
      Waberoya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd August 2008
      Location : Busia-Uganda
      Posts : 5,948
      Rep Power : 1741
      Likes Received
      1518
      Likes Given
      2835

      Default Re: Traffic police dar., suluhisho? Au chanzo cha foleni..?

      Quote By Mkerio
      Naona wanasaidia sana hasa asubuhi na jioni. Ila ni kweli kwamba wale walio upande ambao hauna foleni wanaona kero maana wanasahaulika. Siku ambayo haina traffic hali ni mbaya sana. Suluhisho ni kupanua barabara na kujenga fly overs. Pili ni kuimarisha barabara vichochoni na pia kuruhusu daladala zenye hadhi ku operate. kwa mfano mtu anaweza kuwa na daladala yenye AC na mambo mazuri ndani akatoza ghali hivyo watu wanaweza kuacha magari home wakapanda hayo.
      Kama mimi nasahisha mtihani in realistic and from engineers point of view solution ya pili ndiyo ya kwanza na ya kwanza ni very very debatable

      .kuimatisha bara bara za vichochoroni wenyewe wanaita feeder
      .boresha usafiri wa daladal
      .discourage use of private cars (add cost of fuel, taxes etc,)
      .Restrict use of private cars in some areas


      Subways because can be used for many purposes unlike flyovers then are considered superior than flyovers

      Subways can be used for transporting sewage systems, power cables, communication cables (fibres) and they reduce congestion, never mention minimum routine maintenance.

      cheers
      You are not supposed to be so blind with patrotism that you cant face reality. Wrong is wrong no matter who says it. Malcom X

    17. #234
      zaratustra's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 632
      Rep Power : 629
      Likes Received
      85
      Likes Given
      116

      Default Re: Traffic police dar., suluhisho? Au chanzo cha foleni..?

      Mimi ninadhani wanafanya vyote viwili: yaani, kuna wakati wanasaidia na wakati mwingine wanakuwa kero.
      Ila wanachoniudhi ni pale ambapo hakuna traffic jam na taa zinafanya kazi, ndo utaona wanaongoza magari na vice versa! Mfano mzuri ni kwenye taa za kuongozea magari katika makutano ya barabara za Ali Hassan/New Bagamoyo na Sam Nujoma pale mwenge hasa wakati wa asubuhi (saa 12 hadi saa 1)!

    18. Nzi
      #235
      Nzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st October 2010
      Location : 740 Park Avenue
      Posts : 3,313
      Rep Power : 21622
      Likes Received
      924
      Likes Given
      822

      Default

      QUOTE=Mporipori;Posta-Mwenge &Masaki kupita Serender bridge

      Ni Salender Bridge.

    19. Nzi
      #236
      Nzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st October 2010
      Location : 740 Park Avenue
      Posts : 3,313
      Rep Power : 21622
      Likes Received
      924
      Likes Given
      822

      Default Re: Traffic police dar., suluhisho? Au chanzo cha foleni..?

      Tatizo la foleni Dar halisababishwi na hao traffics au magari kua mengi. Tatizo linasababishwa na mpangilio mbovu wa jiji. Yani asubui wakaazi wote wa DSM wanaelekea Posta na Kariakoo makazini na kwny shughuli zao za kutengeneza kipato. Then jioni wote wanatoka Posta na Kariakoo kuelekea makwao. Kwa namna iyo foleni inakua inevitable. Suluhisho:idara ya mipango jiji ipige marukufu ujenzi wa ofisi na majengo mapya Posta na Kariakoo. Pili serikali iamie Dodoma ambako kuna viwanja vya wizara na ofisi za serikali vimeshatengwa na CDA toka enzi za Mwalimu. Pia mipango miji itenge maeneo nje ya jiji ili kujengwe miji mipya kwajili ya ofisi na vitega uchumi mbalimbali.

    20. #237
      Nightangale's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th December 2010
      Posts : 262
      Rep Power : 480
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Nyandaigobeko
      QUOTE=Mporipori;Posta-Mwenge &Masaki kupita Serender bridge

      Ni Salender Bridge.
      Hata wewe umekosea

    21. #238
      mgt software's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st November 2010
      Posts : 1,747
      Rep Power : 782
      Likes Received
      138
      Likes Given
      201

      Default Re: Traffic police dar., suluhisho? Au chanzo cha foleni..?

      cha kusanagaza ni pale watu wazima wanadhani wanaweza kumaliza foleni wakati wakijua mpangilio mbovu wa Mji huu, kwanza kabisa Daraja la Surrender lingepanuliwa kuwa njia tatu kila upande, vivyo hivyo kuanzia faya mpaka magomeni, pili wajenge daraja huku nyuma ya Mhimbili kuunganisha Kinondoni hanasifu, kuhusu njia nyingine rahisi ni ya kuanzia jangwani kwenda kigogo, na wanaotoka tabata kuja kariakoo au mjini wajengewe barabara ya kuanzia kigogog wasitumie ya buguruni, halafu barabara ya Ali Hasani Mwinyi /Bagamoyo Road iwe njia tatu Mpaka mwenge, wizara nyingine kama uvuvi/Mifugo/Kilimo/Elimu/Sayansi ya Juu waamie Dodoma au Vikawe au Bagamoyo mashule yote ya Serikari ya secondari yaamie bagamoyo au Kibaha kama vile janguani/ na mengineyo yawe ya bweni mjini pasiwepo shule yoyote hata ya vidudu, mkiendendelea hivi hata wahindi watajenga, arafu kazi kama bandari TRA /Widhara ya Fedha zifanye kazi kwa shift
      "Mtoto wa Maskini Hachagui Malezi, Tanganyika siyo Masikini Masikini ni wewe Unayehonga Haki yako Kwa Mafisadi" Bamugileki

    22. Nzi
      #239
      Nzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st October 2010
      Location : 740 Park Avenue
      Posts : 3,313
      Rep Power : 21622
      Likes Received
      924
      Likes Given
      822

      Default

      QUOTE=Nightangale;Hata wewe umekosea.

      Nikosoe sasa!

    23. #240
      Gosbertgoodluck's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd March 2008
      Posts : 2,863
      Rep Power : 1148
      Likes Received
      334
      Likes Given
      4

      Default Foleni za Magari Dar ni Janga la Kitaifa

      Wakuu,
      Mnaionaje foleni ya magari Dar, kwa nini isitangazwe kuwa ni janga la kitaifa ili mataifa mengine yasaidie?? Inaonekana serikali yetu imeshindwa. Inakuwaje mtu anatoka nyumbani kwake Tegeta au Mbagala saa kumi na nusu asubuhi halafu anawasili ofisini Posta Mpya saa mbili na nusu!!! Viongozi wetu wanaliona hilo. Rasilimali ya 'muda' ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi. Mkazi wa Dar ukimwondoa jk, mizengo pinda na bilali, anapoteza muda usiopungua masaa matano akiwa njiani kuelekea kwenye eneo lake la kazi. Huo ni muda mrefu na ni hasara kubwa sana kwa nchi. Je, viongozi wetu wanaliona hilo???? Mbona hatuoni jitihada za haraka za kukabiliana na hali hiyo.

    24. Study Abroad
    Page 12 of 18 FirstFirst ... 21011121314 ... LastLast

    LinkBacks (?)


    Similar Topics

    1. Replies: 89
      Last Post: 11th April 2013, 16:57
    2. IBM (Tanzania) kupunguza msongamano wa magari katika Barabara za DSM!
      By Baba_Enock in forum Business & Economic Forum
      Replies: 31
      Last Post: 22nd March 2012, 12:19
    3. Replies: 1
      Last Post: 30th June 2011, 12:35
    4. Replies: 4
      Last Post: 15th June 2011, 18:40
    5. Replies: 47
      Last Post: 21st April 2009, 16:11

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...