Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: JF Focus: Tathmini ya Utawala wa Rais Kikwete (2005-2012)

    Report Post
    Page 6 of 6 FirstFirst ... 456
    Results 101 to 104 of 104
    1. #1
      Mwali's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th November 2011
      Location : Ushongo Mabaoni
      Posts : 6,459
      Rep Power : 39172
      Likes Received
      4883
      Likes Given
      5077

      Default JF Focus: Tathmini ya Utawala wa Rais Kikwete (2005-2012)

      Rejea thread ya Roulette ya tarehe 19 mwezi huu (Link) kua leo kutakua na mjadala kati ya Matola na zomba kuhusu tathmini ya utawala wa Rais Kikwete tokea aingie madarakani mwaka 2005 hadi sasa.

      Nimeandaa maswali kumi ambayo nimeyatafuta kupitia kwa members wengine wa Jamii Forums na kwa kupitia mijadala ya nyuma katika jukwaa la siasa, yanayo husiana na utawala wa Rais Kikwete.

      Inawezekana sitauliza maswali yote ambayo wana Jamii Forum wangependa niwaulize wawili hawa kutokana na idadi ya maswali nilio pewa na muandaaji wa mjadala huu (Moderator), ila baada ya Matola na Zomba kujibu hayo maswali kumi wanajamii forum watapewa nafasi ya kuwauliza waalikwa maswali. Tutajaribu kuchagua maswali yenye mantiki, kwa hiyo taafdhali uliza maswali ambayo yataonesha uwezo wako wa kufikiri na kuhoji.

      Mjadala utaenda kama ifwatavyo:

      • Nitsweka swali moja moja, na swali la kwanza ataanza kujibu Zomba, la pili ataanza kujibu Matola na tuta-alternate hivo hadi tutakapo maliza maswali yote.
      • Baada ya kila mwalikwa kujibu swali toka kwangu, kila mwalika atapewa nafasi ya kumuuliza mwenzie swali la ufafanuzi ya yale alio jibu. Ni matarajio yetu kwamba waalikwa watahojiana kwa kufata kanuni za mjadala na hasa kuzingatia sheria za Jamii Forums.
      • Kwa mtiririko mzuri wa mjadala huu ningewaomba wanajamii forum wengine wasichangii kwanza hadi pale tutakapo maliza kuwahoji waalikwa wetu. Kwa wakati huu, kuna thread maalum imeandaliwa jukwaa la siasa ambapo members watakua huru kuchangia, na kuuliza maswali. (Link to the thread)

      Nawashukuru Mods kwa kunipa nafasi hii ya kuwahoji Great Thinkers wawili hawa, na pia nawashukuru mmbers wote watakao fatilia mjadala huu.

      Kama Matola na Zomba wako tayar, naomba waseme neno fupi, na baada ya hapo nitaanza na wali la kwanza.

      Karibuni na asanteni.

      Updates:

      Update Muhimu:
      Quote By Matola View Post
      Jamani wana JF kuna mambo ni personal zaidi, lakini hili lililonipata naona ni janga, mama yangu mzazi amefail step na alikuwa amefanyiwa oparesheni ya neuron surgeon sasa ametonenesha ile sehemu aliyofanyiwa oparesheni, nimeshinda MOI leo na sikuweza kufanya chochote, Nampenda Mama yangu siwezi kumteleza.

      Natumia fursa hii kuwaomba radhi wana JF kwamba wanisamehe kwa kutokupatikana leo, nadhani kwa waelewa wanajuwa vyema uchungu wa Mama. Roulette mimi ndio nimerudi nyumbani sasa hivi wakati waliofunga wanajiandaa kupata daku. tusameheehane ndugu zangu, nina majonzi.
      mwaJ, jmushi1, zomba and 30 others like this.
      Creativity is the sudden cessation of stupidity.
      Edwin H. Land

    2. #101
      Mwali's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th November 2011
      Location : Ushongo Mabaoni
      Posts : 6,459
      Rep Power : 39172
      Likes Received
      4883
      Likes Given
      5077

      Default re: JF Focus: Tathmini ya Utawala wa Rais Kikwete (2005-2012)

      Nadhani hili swali linaweza kuendelea kujadiliwa side comments. Jibu lako limekaa kwenye tons zaidi wakati nilitaka ujibu kufatana na asilimia ya growth na kuilinganisha na asilimia tuliokusudia (target). Ni kama ndio bado tuko kati kati ya safari, na hiyo increment ya 1,1% haitoshi kwa kutoka 5,1% kufika 10% in 2015. Hata hivo tunaendelea na swali la kumi na nne
      Creativity is the sudden cessation of stupidity.
      Edwin H. Land

    3. #102
      Mwali's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th November 2011
      Location : Ushongo Mabaoni
      Posts : 6,459
      Rep Power : 39172
      Likes Received
      4883
      Likes Given
      5077

      Default re: JF Focus: Tathmini ya Utawala wa Rais Kikwete (2005-2012)

      Swali la kumi na nne linatoka kwa ndugu mndwadage na Kibanga Ampiga mkoloni. Linahusu inflation:

      kwa nini kwenye utawala wa Kikwete, mfumuko wa bei ya chakula umekua juu sana (kuna bidhaa muhimu kama sukari vimepanda kwa 600% katika miaka saba),na thamani ya shilingi kuzidi kushuka dhidi ya dola.?
      Je kwanini pamoja na kujua kua maisha yamekua magumu zaidi Bunge la Tanzania chini ya RAISI KIkwete na SPIKA Makinda na Majority ya wabunge wa CCM wamekuwa wakipitisha miswada yenye kukandamiza wananchi, Wapinzani wanapojaribu kuhoji kuna kuwa na upinzani mkubwa kutoka kwa SPIKA. Mafano:-
      Upandishaji wa Bei ya Mafuta taa huku tukijua kuwa Idadi ya Magari tanznaia hayafiki hata 1 Milioni na watanzania zaidi ya 45 Milioni wakitegemea mafuta taa

      Karibu Ndugu zomba
      Creativity is the sudden cessation of stupidity.
      Edwin H. Land

    4. #103
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 16,053
      Rep Power : 14671
      Likes Received
      2955
      Likes Given
      2099

      Default re: JF Focus: Tathmini ya Utawala wa Rais Kikwete (2005-2012)

      Quote By Mwali View Post
      Swali la kumi na nne linatoka kwa ndugu mndwadage na Kibanga Ampiga mkoloni. Linahusu inflation:

      kwa nini kwenye utawala wa Kikwete, mfumuko wa bei ya chakula umekua juu sana (kuna bidhaa muhimu kama sukari vimepanda kwa 600% katika miaka saba),na thamani ya shilingi kuzidi kushuka dhidi ya dola.?
      Je kwanini pamoja na kujua kua maisha yamekua magumu zaidi Bunge la Tanzania chini ya RAISI KIkwete na SPIKA Makinda na Majority ya wabunge wa CCM wamekuwa wakipitisha miswada yenye kukandamiza wananchi, Wapinzani wanapojaribu kuhoji kuna kuwa na upinzani mkubwa kutoka kwa SPIKA. Mafano:-
      Upandishaji wa Bei ya Mafuta taa huku tukijua kuwa Idadi ya Magari tanznaia hayafiki hata 1 Milioni na watanzania zaidi ya 45 Milioni wakitegemea mafuta taa

      Karibu Ndugu zomba
      For the period ended June 2011 inflation increased to 10.9 percent from 7.2 percent recorded in June 2010 due to a rise in fuel and food prices. The interest rate spread continued to widen despite the increased competition in the banking system. This was partly on account of increased lending risks. Tax revenue to GDP ratio increased to 14.6 percent compared to 13.6 percent recorded during 2009/10.

      Source: Poverty Monitoring
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    5. #104
      Mwali's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th November 2011
      Location : Ushongo Mabaoni
      Posts : 6,459
      Rep Power : 39172
      Likes Received
      4883
      Likes Given
      5077

      Default re: JF Focus: Tathmini ya Utawala wa Rais Kikwete (2005-2012)

      Quote By zomba View Post
      For the period ended June 2011 inflation increased to 10.9 percent from 7.2 percent recorded in June 2010 due to a rise in fuel and food prices. The interest rate spread continued to widen despite the increased competition in the banking system. This was partly on account of increased lending risks. Tax revenue to GDP ratio increased to 14.6 percent compared to 13.6 percent recorded during 2009/10.

      Source: Poverty Monitoring
      So there has been an increase. The average Mwananchi feels this inflation not in terms of one or two percents but in erms of price on the food market. 300%, 500% increase in food price (Mchicha, sukari, mkate, mafuta ya taa). Why then the tax collection targets the poorest Tanzanian consumers? Why did the Bunge pass the government bill to increase tax on kerosene (mainly used by the poor households)? What are the measures taken by the government to stabilize our currency and lower the price of commodities, particularly those domestically produced?
      Creativity is the sudden cessation of stupidity.
      Edwin H. Land

    Page 6 of 6 FirstFirst ... 456

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...