wafanyakzi wanaumia sana jamani, wether ni wa Private sector au Government, look this, baada ya deductions PAYE, PSPF/NSSF, NHIF na kodi ya vyama vya wafanyakazi( TUGE etc) is amounting up to 40% as makato ya mshahara, yaani mfanayakazi anabakiwa nakiwango hiki
1. Mshahara Tshs 1,000,000 unabakiwa na Tshs 620,000 take home.
2. 1,500,000 baada ya kodi zote utabakiwa na 9,000,000 hivi
3. 3,000,000 baada ya kodi zote utabakiwa na 1,790,000 hivi
4. 4,200,000 baada ya kodi zote take home = 2, 400,000 hivi
hiki ni kiwango ni kikubwa sana, ni sawa na kumlipa mfanyakazi
almost nusu ya mshahara, wafanayakazi wanaumia sana kumbuka bado tunaliapa kodi zifuatazo.
Umeme, maji, majengo, viwanja, magari, bidhaa zote zimebebeshwa kodi kwa mlaji, so if u add hapo juu kwa mwezi mfanyakazi anaweza kuwa analipa 62% kama kodi, na kubakiwa na 38% ndio fedha zake, Serikali inatakiwa ipunguze kodi atleast baada ya makato yote max iwe 30%
wafanyakazi wameumia na wanazidi kuumia, serikali i act quickly
Follow Us Here