Re: PAYE: Wafanyakazi mna maoni gani?
NIlisoma report ya Jaji Bomani PAYEE inacontribute kama 17% ya mapato ya nchi na wanaokamuliwa hawazidi 3mil!
Haya ni mateso kwa wafanyakazi bse hawaoni nafuu ya maisha in return of the tax wanazokatwa ie polisi kila kitu walipia mpaka karatasi,hospital ndo usiseme,
Simaanishi kuwa izo huduma zitolewe bure ila angalau kuwe na unafuu fulani mtu afeel kuwa kodi yangu imetumika
Nasikia Mramba ndo alituingiza mkenge wa % kubwa ya PAYEE
WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.
Follow Us Here