JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Wanausalama ndani ya wizara zetu

  Report Post
  Results 1 to 5 of 5
  1. #1
   Tinker's Avatar
   Member Array
   Join Date : 30th December 2011
   Posts : 67
   Rep Power : 518
   Likes Received
   26
   Likes Given
   20

   Default Wanausalama ndani ya wizara zetu

   Tanzania kila unayekutana naye na kila idara ya serikali utakayokwenda utaambiwa kuna watu wa Usalama na PCCB

   Sasa inawezekana vipi watu wanafanya ufisadi wa kutisha kuanzia mambo ya ndani, Ulinzi, Afya na kwingineko halafu hakuna chochote kinachofanyika?

   Inawezekana vipi tunaambiwa PCCB wana macho na maskio kila sehem halafu hao hao PCCB wanafanya vikao (kama kilichofanyika ijumaa wiki ilopita) kuwaambia watu wao wafuatilie twitter, JF na microblogging sites kwa ajili ya sources za story za ufisadi?

   Hivi hawa vijana wanapeleka ripoti zipi?

   Na kwa nini waendelee kulipwa kwa kupeleka ripoti za uwongo?

   Inawezekana vipi mtu kama blandina afanye ufisadi wa kutisha kama vile halafu idara husika na watu walioapishwa kutulinda wakakaa kimya bila kuzuia haya mambo?

   sasa kwa estimate za haraka ni kuwa Blandina peke yake kashaitia hasara serikali si chini ya dola milioni 100

   nashauri either watu wawajibishwe haraka ili kuonyesha mfano kuwa haya mambo hayatovumiliwa


  2. Bongolander's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th July 2007
   Location : Tandale
   Posts : 5,287
   Rep Power : 1800
   Likes Received
   1728
   Likes Given
   249

   Default Re: Wanausalama ndani ya wizara zetu

   Quote By Tinker View Post
   Tanzania kila unayekutana naye na kila idara ya serikali utakayokwenda utaambiwa kuna watu wa Usalama na PCCB

   Sasa inawezekana vipi watu wanafanya ufisadi wa kutisha kuanzia mambo ya ndani, Ulinzi, Afya na kwingineko halafu hakuna chochote kinachofanyika?

   Inawezekana vipi tunaambiwa PCCB wana macho na maskio kila sehem halafu hao hao PCCB wanafanya vikao (kama kilichofanyika ijumaa wiki ilopita) kuwaambia watu wao wafuatilie twitter, JF na microblogging sites kwa ajili ya sources za story za ufisadi?

   Hivi hawa vijana wanapeleka ripoti zipi?

   Na kwa nini waendelee kulipwa kwa kupeleka ripoti za uwongo?

   Inawezekana vipi mtu kama blandina afanye ufisadi wa kutisha kama vile halafu idara husika na watu walioapishwa kutulinda wakakaa kimya bila kuzuia haya mambo?

   sasa kwa estimate za haraka ni kuwa Blandina peke yake kashaitia hasara serikali si chini ya dola milioni 100

   nashauri either watu wawajibishwe haraka ili kuonyesha mfano kuwa haya mambo hayatovumiliwa
   Mkuu kama weli wewe ni mtanzania utakuwa unajua nini kinaendelea Tanzania. Kazi kubwa ya wana usalama waliopo sasa ni kuilinda CCM (core ya CCM) na serikali yake kwa kila linalowezekana, na sio kulinda maslahi ya Tanzania. Kama jukumu la kweli la Usalama wa Taifa (TISS) lingekuwa ni kulinda Usalama wa Taifa, sidhani kama haya unayosema unayosema yangekuwepo. NI kweli watu wa TISS wapo karibu katika kila kona ya nchi, na wanaona na tena wengine wanashiriki katika hayo unayosema. Blandina asingeweza kulitia hasara taifa bila Usalama wa taifa au PCCB kujua, for sure wanajua. Kuna mengi mabaya nchi hii ambayo usalama wa taifa wanayajaua, ambayo sisi hatujui. Swali ni kuwa why are they not doing anything?

   Inabidi tuwashukuru madaktari kwa kutufunua, ingawa gharama yake haikuwa rahisi, lakini at least tumeona kitu. Haya ndio manufaa ya kuwa na wasomi. They did something for the country and for themselves. it can be debatable at what cost, at least we see some results.

   Mimi ni mtanzania halisi, issue ya Blandina na wenzake haitakuwa tofauti na ya mafisadi wengine, sana sana utegemee kuwa atapewa promotion, au kuteuliwa kuwa mbunge or even kugombea ubunge. Haiwezi kuwa tofauti na issue ya Jairo, Mramba, Yona, Rostam Aziz au Lowassa. You will see what will happen.

  3. IPECACUANHA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2011
   Posts : 1,584
   Rep Power : 866
   Likes Received
   402
   Likes Given
   92

   Default Re: Wanausalama ndani ya wizara zetu

   Usalama wa Taifa wamekua na lengo moja tu kumlinda mtawala (Raisi) na maslahi yake. Wateuliwa wengi na viongozi tulionao ni wanausalama. Matokeo yake ni nani wa Kuanza kumtoa mwenzie "kibanzi" jichoni? Hapa tunahitaji ukombozi wa kufumua mfumo wa uongozi uliopo sasa.

  4. Iron Lady's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th March 2008
   Location : Dar-es-salaam
   Posts : 3,967
   Rep Power : 85906855
   Likes Received
   1158
   Likes Given
   1107

   Default Re: Wanausalama ndani ya wizara zetu

   wanatafuta taarifa na kwenda kuwaambia wanaohusika kuwa bwana wee mambo yako yapo katika mtandao fulani na fulani ndio kazi yao kubwa,kwa ufupi hakuna pccb wala usalama wa taifa kuna wambea tu, kama kweli tungekuwa na usalama wa taifa taifa lisingekuwa hapa lilipo,na hao pccb wazushi tu ama ndio ile tuanzishe taasisi tupeane ajira.ikiwezekana hizo taasisi zitolewe kabisa maana kuwepo kwake hakuna tofauti na kutokuwepo kwake. tutawashauri wapinzani.

  5. Azimio Jipya's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2007
   Location : Universal Space Station
   Posts : 3,401
   Rep Power : 5570
   Likes Received
   1081
   Likes Given
   1756

   Default Re: Wanausalama ndani ya wizara zetu

   Tanzania Intelligence Security Services should be reformed to Emotional Intelligence Security Services THEN we mighty have the Tanzania we want!!

   Ni wazi hakuna haja ya kujishughulisha na Usalama wa Taifa wakati TATIZO ni kuteketea kwa "UTU WA TAIFA"

   Na Utu wa Taifa sio Mali ya Mtawala yeyote because that belongs to GOD!! and ... God alone!!!

   80% ya wanaoijita Uslama wa Taifa, Hawana UTU ... Then how the hell do they qualify for National Intelligence and its Security services?

   It should be very very clear "USALAMA WA TAIFA" in its essence sio mali ya Utawala ulioko madarakani ... Ni Mali ya Taifa na Taifa haliko rooted na wafanayakazi wa usalama wa Taifa au viongozi walioko madarakani!!

   Usalama wa Taifa ni function ya UTU na UBINADAMU wa Taifa ... which are virtues with divine nature!! So it should be taken with respect, dignity and nobility ... sio mchezo mchezo na kukosa heshima kuliko kuthiri!! ... anybody dare to go against divine divine forces?

   Na Kama Kiongozi na yeyote aliye muajiriwa wa Usalama wa Taifa anajua NGUVU ya chimbuko na mamlaka ya UTU NA UBINADAMU asingethubutu Kamwe kufanya mzaha na mchezo kwani its the mighty force and power not for toying around!! Hawajui Utanzania ni utu!!!!? ... and that tells a lot! don't you think so?
   Never Get Angry; Never Make Threat; Reason With People;
   "Napenda the logic of the words because in some ways it says about individual-not to use emotions-when scrutinizing something, whether it involves you or not" ...-by AshaDiii @ Jamiiforums 26th July 2011.
  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...