Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Jamani natamani ninunue iPhone, ila nakatishwa tamaa na watu wanaoniambia App zake na android haziko compatible. Mara nitashindwa kushare docs na mtu wa android mara kuna applications ambazo...
2 Reactions
5 Replies
616 Views
Hello,jmn kuna mtu yeyote anayejua sehemu wanayo tinda nyusi vizuri kwa kutumia uzi?
1 Reactions
4 Replies
825 Views
Habari wakuu, Kuna wanawake baadhi wanatabia ya kuburuza viatu. Utakuta anatembea anaburuza viatu yaani watu wanamshangaa.. Yeye anaona ni kawaida tu anaburuza mayebo yake... Mdada mzuri...
4 Reactions
9 Replies
494 Views
Pole na hongera ya nguvu kwa majukumu ya leo ndugu mpamabanaji na muwajibikaji. Langu ni moja tu, nalo ni hili. Hivi mtindo wa kujipima mathalani, unanunua suruali au sketi halafu eti unapima...
10 Reactions
54 Replies
2K Views
Habari zetu, Mimi nina makovu miguuni na mikononi yaliyosababishwa na vipele vya allergy, nitumie nini yaweze kuisha sitaki kutumia mafuta makali. Mimi ni mweupe wa kawaida. Sent from my vivo...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Hazinyolewiiiii
22 Reactions
256 Replies
20K Views
Mwanaume ni sifa, mwanaume ni kiongozi ebu ifike hatua wanaume tujitambue na tutambue nafasi zetu katika jamii. Hii tabia ya wanaume kuvaa vinjunga inaniboa sana, yaani sasa hivi kuvaa vinjunga...
13 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakuu, Hili jambo limekuwa likinishangaza sana, mwanamke anaetengeza nywele zake natura anaambiwa mbona hujasuka, ingekuwa rasta ndio ingekuwa sawa na ungependeza, ingekuwa wigi ndio ungekuwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Morning Wanaume acheni uchafu yaani unakutana na jianaume hajaoga na wiki mbili ananuka halafu anakazana kujipulizia perfume, mkikataliwa mnaaza kusema wanawake wanajishaua. Mwanaume kuwa msafi...
13 Reactions
112 Replies
6K Views
Habari, kwanza niipongeze serikali kwa kufungia tovuti zote za video za porn( maarufu kama X videos) uamuzi huo umefikiwa leo tarehe 19/7/2021, ambapo tovuti zote za ngono zimekuwa burned na...
6 Reactions
61 Replies
13K Views
Hivi karibuni nilianza mazoezi ya squat lengo likiwa nikujimarisha viungo vya chini kama mapaja na miguu Lakini nimesikia baadhi ya watu wakisema kuwa mazoez ya squat kwa mwanaume yanasababisha...
10 Reactions
91 Replies
15K Views
Unapenda kutumia njia ipi kati ya hizi kukata kucha zako na ni njia ipi ni SALAMA? 😆
5 Reactions
45 Replies
2K Views
1. Ulikuwa na umri gani na ni nini kilisababisha kujua kuwa wewe ni mrembo? 2. Baada ya kujua wewe ni mrembo ulichukua uamuzi gani? 3. Je, unadhani urembo wako umekupa faida gani ya msingi...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu Siku chache zilizopita nilitembelewa na mgeni nyumbani. Alikuwa amejipulizia manukato/perfume ambayo harufu yake imebaki kwa wiki nzima sasa kwenye sofa aliyokuwa amekaa. Kwa...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Hawa jamaa wapo huku social media nyingine x,Facebook, instagram wanakwenda kwa Jina la dinya smart wanauza nguo kali vibaya mno (na we unaweza kupitia huko social media accounts zao ujionee )...
1 Reactions
7 Replies
428 Views
  • Closed
Hivi wadau kwa hapa Dar es Salaam naweza pata wapi sehemu ambapo wananyoa kwa ustadi nywele hasa za kifuani, kwapani na sehemu za siri. Mara nyingi nikijinyoa mwenyewe ninatokea kujichana au...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani sisi wanaume tumechoka kutafuta affordable decent clothes, shoes, bags even designer clothes. It seems watu wanawaza wanawake tu wakidhani hao ndio wakuvaa nguo tu na kupendeza sisi tuwe...
7 Reactions
57 Replies
3K Views
Huu ni mshono wa wanaume au wakike na sababu gani uliitwa hivyo? Wabobezi wa historia mnaweza kutusaidia. Kaunda suti najua ni sababu ya Rais wa Zambia ambao itakuwa sana na chunlai.
2 Reactions
3 Replies
839 Views
Wanaume kuvaa visuruali vya kuwabana, inamaanisha nini? tunajua wadada huvaa vinguo vya kuwabana ili kuwaonesha wanaume maumbile yao; je, mwanaume naye huwa ana lengo lipi? Nasema hivi...
9 Reactions
77 Replies
4K Views
Habarini waungwana katika jukwaa hili tukufu la utanashati na ulimbwende, miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mlolongo wa tiba lishe, madawa, na mbinu nyinginezo za kupunguza uzito wa mwili, jambo...
1 Reactions
316 Replies
55K Views
Back
Top Bottom