Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Habrini wandugu, Mwanadamu amepewa utashi ili ajitofautishe na viumbe wengine inakuaje mwanadamu unaruhusu watu wakose amani kukaa na wewe karibu kwasababu ya harufu ya mwili au kinywa? Harufu...
4 Reactions
15 Replies
779 Views
Habari za jioni wanajamvi Niende kwenye mada moja kwa moja. Hivi wadada wenzangu hua mmnaajiskiaje 🤔🤔. Yaani hakuna kitu kinanikera kama kumuona mdada mwembamba akiwa na kitambi, yani utakuta...
44 Reactions
320 Replies
9K Views
Corner sofa ndiyo habari ya town, ukiongeza na flat screen ukutani na TV table ya mstatiri. Uzuri wa corner sofa mgeni anaweza kulala mpaka asubuhi omba tu asiwe kikojozi. Kwa kweli ni mfuko tu...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani hali gani? Niruke kwenye hoja yangu. Mimi ni mwanaume handsome tu safi, ninajua kuvaa na nina vihela vya kubadili mboga na tugari. Nimekuwa nikipata shida mno kupata mwanamke wa kuingia...
6 Reactions
99 Replies
6K Views
Hivi wanaume tumekuwaje? Tunapenda sana kuwalaum Dada zetu hawasafishi nyeti zao ila hata sisi tunashida kwenye usafi binafsi Unakuta mtu nguo ya ndani hafui naakifua anavaa ikiwa mbichi bafuni...
6 Reactions
64 Replies
4K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari tajwa... Kama ilivyo hali ya jua sasa ni likali sana, sio kwa wakazi wa Dar tu na maeneo mbalimbali... Sasa nasema hivi unaanzaje kuacha kuoga na jua...
21 Reactions
133 Replies
4K Views
Habari wanajf By the way mimi ni mweupe Ndio rangi yangu halisi Ila rangi yangu ya uso imebadilika nimekuwa maji ya kunde lakini sehemu zote zilizobakia rangi yangu imebaki Ile Ile nyeupe so...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Ila mikoani wadada kusema kweli mnatisha kwa jinsi mnavyojipodoa , mikoani ni mimi na wasiojipodoa unawakuta wapo natural na rangi zao za bilingani. ILa wanaojipodoa wanaharibu kila kitu hujui...
0 Reactions
3 Replies
540 Views
Uzito mkubwa na unene ni moja ya changamoto kubwa inayowapata watu wengi sana katika maeneo mbalimbali hapa duniani. Katika bandiko hilii tutazungumza baadhi ya mambo ambayo ni propaganda juu ya...
7 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari, Sasa msimu wa mvua ndo huo umeanza yaani shikamoo mvua! Msimu huu ni msimu ambao kwa suala la kufua nguo hua ni mgumu sana. Sababu inayopelekea kuwa...
11 Reactions
81 Replies
2K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari, Hakika sipendi unene, ila ndio ivyo unakujaga tu wenyewe. Ila uzuri mimi sina kitambi ila ndo hivyo nimeongezeka uzito. Ili kupunguza uzito basi...
10 Reactions
43 Replies
3K Views
Habari, Husika na kichwa cha habari tajwa, Baada ya nguo za kubana kuchukua nafasi ya mtindo uliopendwa sana... Si wanaume Wala wanawake walivalia mtindo wa kubana suruali. Wakabana na...
10 Reactions
56 Replies
3K Views
Mimi ni mpenzi wa vikoti fulani hivi vya kubana kwa mbali, hasa kutokana na umbo langu la mwili mwembamba kiasi. Naomba kujuzwa chimbo kali la suti za Kikorea kwa Dar, ahsanteni na karibuni.
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Men and grooming have finally become great friends in the last few years. Ever since the likes of Saif Ali Khan made meterosexuality a fashion statement, men have been rushing to salons, spas and...
5 Reactions
23 Replies
818 Views
Poleni na kazi, nahitaji lotion inayonukia vizuri na ambayo haichubui. Nataka ngozi yangu ing'ae niwe muli muli, ngozi yangu iteleze. Unaweza kwenda duka la urembo ukakuta mtu ana ngozi mbaya...
6 Reactions
76 Replies
3K Views
  • Redirect
KABLA NA BAADA YA MAKEUP [emoji168] Kila sekunde ya maisha yako ogopa wanawake baada ya kuwaogopa wasanii wa Makeup. Itakushtua wakati vipodozi vitakapokwisha.
4 Reactions
Replies
Views
Hivi mnaotembea na kutingisha mzigo ni urembo au ni kitu gani,naona sielewi ,kusema kweli wananishughulisha vibaya mno kitu gani kinawafanya wawe wanaendaga kama wanakasolo.
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Mafuta gani mazuri ya ndevu kwa mwanaume? Anayoweza kutumia yakajaza ndevu vizuri na kuzifanya zenye kuvutia na afya.
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Yeyote anayejua aina nzuri ya perfune yenye manukato yasiyokera mbele za watu isiwe zaidi ya 15,000 nahitaji kununua hata kama ina ujazo mdogo. Jinsia yangu ni mme Ahsanteni
9 Reactions
225 Replies
60K Views
Habari wadau kwema, niende moja kwa moja kwenye mada, ipo hivi naomba kujua ni mafuta gani? Yatanifaa kwa mtu kama mimi mwenye uso wenye mafuta, Chunusi zinanisumbua kila nikipaka mafuta usoni...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom