Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Leo nimekutana na kituko cha mwaka aisee, nilikuwa maeneo ya Sinza napata chakula cha mchana ghafla jamaa akaja na mtu anakibeg mgongoni akakaa kwenye kitu huku wakiangaliana. Baada ya muda...
7 Reactions
34 Replies
5K Views
Jamani, nataka kujaua ni anti wrinkles products ipi nzuri kwa mwanaume
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Husika na maada,ukiangalia ni thread zangu nyingi katika jukwaa hili lilikua linauliza au kuzungumzia maswala yachunusi. Nilishauliwa mengi sana,,kwanza nilitumia (magadi soda) hii ilianza...
5 Reactions
33 Replies
10K Views
Kwasasa, Kwa Wanawake imekua ndio fashion ya mujini. Gym za mjini zimejaa mikanda na spring za kubana mapaja ili Wanawake waupate huo uwazi unaowavutia wengi. Wengine wamefika mbali zaidi kwa...
11 Reactions
269 Replies
34K Views
  • Redirect
Waliobuni huu urembo wamejua kuniteka hamna kitu inavutia kama kuona kiuno cha mrembo chenye ngozi soft kilichopambwa na tattoo au shanga laini zilizolala kwenye nyama ya laini ...kwa kweli hua...
7 Reactions
Replies
Views
Habari za muda huu nakuja moja kwa moja kwenye mada wazee super black haikai kabisa kichwani wiki 1 tu yote ishaisha nipeni muongozo
1 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Redirect
Habari za muda huu wana jamvi, Msaada jamani namna ya kutoa mvi kichwani. Nina tatzo baadhi ya sehem kichwani mwangu mvi huwa zinajitokeza na bado sijafikia umri wa kuota mvi.
3 Reactions
Replies
Views
Wandugu naombeni dawa ya kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni.
4 Reactions
103 Replies
37K Views
Habarin wana jamvi la mitindo na utanashati. Baada ya miaka10, nimekutana na suruali yangu aina ya dickies..suruali niliyohifadhi katika bag la nguo ambazo hazitumik kwa muda mrefu sanaaaa leo...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Salaam wakuu na hongereni kwa kushiriki vita ya kuitokomeza corona Katika kuweka mwili fiti nimeona Kuna mazoezi mawili yasiyohitaji eneo kubwa, na hata chumbani unaweza kuyafanya, nayo Ni...
13 Reactions
273 Replies
41K Views
Oneni huyu kaka[emoji1313]Hivi mwanaume unavaaje vikaptula vya aina hii?Hii ni aibu kwa taifa wanaume wa dar hapa mlipofika sasa mnataka kufanana na sisi dada zenu au[emoji1313]ndo uvaaji gani huu...
15 Reactions
129 Replies
23K Views
Habari jf Nahitaji msaada wenu wa jinsi ya kutengeneza lotion zile wanaita za kudamshi, lengo hasa ni kwa ajili ya ujasiriamali..nitashukuru endapo atajitokeza mtu na kunifundisha..please
1 Reactions
16 Replies
9K Views
Habarini ndugu poleni na majukumu na Heri ya Mwendelezo Wa sikukuu. Wakuu Nilikua naomba ushauri na design kuhusiana na ujenzi wa Gym ya watu kufanya cardio exercise Asanteni Sana Wakuu.
2 Reactions
13 Replies
847 Views
Mwaka huu 2022 una malengo/ndoto ya kutamba na Perfume gani ? Mimi; Tomford black Orchid
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Nataman sana nipate mawili matatu juu ya hizi massage centers nan wa kutoa msaada
1 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Redirect
Ukiachilia mbali Kufanya Mazoezi Kuna Suppliment Mbalimbali ambazo husaidia kukuza na kufanya Mwili uonekane fiti mfano; Kifua kiwe poa( kwa Wanaume) SUPPLIMENT ambazo Nimewahi kuzisikia Ni...
1 Reactions
Replies
Views
Je, hizi shanga na chain za kiunoni kazi Yake Nini hasa..au Ni urembo TU.. Je, zikivaliwa huwa zinahamasisha Jinsia me?..
11 Reactions
238 Replies
46K Views
Miswaki ya siku hizi haina ubora kiukweli. Mi ni mtu nazingatia sana usafi wa kinywa ila naangushwa na miswaki ya siku hizi, Whitedent ndo ilikuaga miswaki yangu bora ila naona nao wameanza...
4 Reactions
54 Replies
9K Views
Helo guyz naiman hapa ni jukwaa la lenye watu wengi wa kada tofauti na ujuzi tofauti ilatunashea ujuzi wa kisayansi na kiteknolojia apa. Ninahitaji kupewa ushauri / kupewa mchanganuo pia wa...
3 Reactions
44 Replies
7K Views
Direct to the point, nataka kujua tu kwa uzoefu wenu wana JF hasa katika jukwaa hili la Urembo. Naomba kujua kati ya body spray na roll-on deodorant ipi inafaa kwa matumizi zaidi nyingine...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom