Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Habarin wana jukwaa, naomba ushauri kwa wataalamu na wajuzi wa kilimo, baada ya maisha kutaiti ktk mwaka huu w 2016, niakona si vibaya kunari u kitoma mjin na kijarib fursa shamba, lkn nilikuja...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
  • Redirect
Kumradhi wa mlengo tofauti na mnyama huyu,Naomba msaada chakula na virutubisho mhimu kumlisha nguruwe akue haraka.
0 Reactions
Replies
Views
Kama title ilivyo wapendwa,sina nijuacho sana kuhusu abc ya biashara hii,ni moja tu ndilo ninalolifahamu kuwa kwa hapa nilipo chakula hicho kitauzika sana maana kuna wafugaji wengi wa nguruwe na...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Jaman wanajamvi habari zenu mimi nipo Dodoma nilkua naomba nipate elimu juu ya ufugaji kuku wa mayai kulingana na sehemu niliyopo kwani kuna baridi alafu nina mtaji wa 300000...je nifanyaje na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau nina swali, hv wafugaji kuku wa mayai (layers) wanaanza kurudisha gharama za tangu mwanzo, baada ya muda gan?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hebu tuone nini unstakiwa ufanye ili nyanya ikufaidishe. -Kwa sasa kuna mdudu anaitwa Tuta Absoluta.. au waswahili wanaimuitaKanitangaze (MAANA AKIKUVAMIA SHAMBANI HAKUNA NAMNA UTAACHA KWENDA...
1 Reactions
12 Replies
14K Views
Habari zenu wadau wa jukwaa hili. Naomba msaada kwa anayefahamu wapi ntawapata wataalamu wa kupima udongo kwa ajili ya kilimo hapa Dar es salaam anisaidie tafadhali. niko katika hatua za awali za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wana-jf'ers. ninategemea kufungua frame yangu ya biashara ya mobile phone repairs... na nina mtaji wa kununua vifaa muhimu kama blower...desktop computer na vifaa vyake...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
1.JINA 2.KTUO ULICHOPO,WILAYA 3.ANWANI YAKO 4.WAPI UNATAKA UHAMIE ILI UWEZE KUUNGANISHWA NA WANAOTAKA KUHAMIA HUKO ULIKO
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada kujua wapi naweza kuanzisha project ya kilimo cha MABOGA na VITUNGUU kati ya Morogoro na PWANI? Nafikilia pale Ruvu panaweza faa ingawa sina hakika sana. Mkuu:malila...
0 Reactions
12 Replies
11K Views
Wandugu habari za kwenu. Naishi Moshi nahitaj kujitupa shamban mazima. Naombeni msaada kwa wanaoifaham vizur Tanzania. Ni eneo gani naweza pata mashamba ya kununua kwa bei nafuu kama Hector 10 kwa...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Jaman wana jf nataka kuanza kufuga kuku Wa kienyeji! sasa sijui wanachukua mda gani tangu watotolewe hadi kufikia kuweza kuliwa! naombeni msaada! wenu!
0 Reactions
18 Replies
25K Views
Wana Jf nauza mbaaz kuna mtu aliniambia kuwa AZAM wananunua kwa bei nzuri ila kwa sasa hawapo Dar wako mashambani na me sina mawasiliano yao hvyo naomba msaada kwa yeyote mwenye mawasiliano yao...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Habari wakuu? Naomba kwa mwenye contact za watu wanao dili na mifugo pale uwanja wa ndege wa Nyerere anaipatie nina shida nao sana, nataka mwongozo fulani wa mambo ya mifugo.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kaka yangu amehamishiwa dodoma, ameniachia shamba la ekari zaidi ya 10 huko mkuranga (mwarusembe), nataka nifanye kilimo cha kisasa. Shamba hilo lilikuwa pori kubwa tu but nimelifyeka tayari na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari, Kama kuna anaefahamu bei ya kuuza kwa jumla sokoni, bei ya kitunguu swaumu cha asili na cha kawaida naomba anijulishe tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Redirect
Naomba mnijuze ipi mbegu iliyo bora yavitunguu katika kupanda wakuu, naje mwezi huu wa 9 ninaweza anza kuandaa kitalu kwajili ya kusia mbegu .naomben mawazo yenu
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Naomba ushauri wa ufugaji wa nguruwe.sijui nianzie wapi.nilikuwa naomba ushauri please.
0 Reactions
Replies
Views
Habari wanajamvi naulizia soko au mkoa ambao naweza pata ngozi punda kwa ajili ya Biashara nataka idadi yyte nkikusanya nitapata tani nitakazo Mawasiliano 0716561026
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu Naomba Ambae Anatumia Hizi Bidhaa,uzoefu Wake Na Ikiwezekana Anipe Ushauri Wa Kitaalamu
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom