Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Naomba kujua sababu inayofanya majani ya tikiti niliyopanda yananyauka na kukauka wakati ninamwagilia maji ya kutosha. Nilijaribu kuangalia mizizi yake nikaikuta mizima na yenye maji Naomba pia...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
  • Redirect
Poleni na majukumu ndugu zangu. Nilikuwa naomba kufahamishwa kilimo cha tunda hili mchakato mzima ukoje hadi kuvuna na soko lake likoje.jinsi ya kuandaa shamba na jinsi ya kupanda. Wakati sahihi...
1 Reactions
Replies
Views
habari zenu wakubwa. naomba kufahamu kutoka kwa wataalam wa kilimo na udongo kuhusu issue ya soil sterilization. kwenye vipengele vifuatavyo .maanake yake .ina faida gani kwa mkulima kiujumla...
0 Reactions
0 Replies
459 Views
Ninao Bata lakini wamekuwa wakilegea miguu na shingo. Pia wanaharisha mavi meupee. Naomba kufahamu tiba na hayo maradhi yanaitwaje?
2 Reactions
15 Replies
4K Views
  • Redirect
KILIMO CHA KISASA CHA GREENHOUSE (BANDA KITALU) NA FAIDA ZAKE Na Engineer Octavian Justine Lasway Irrigation And water resources engineer 0763347985 info@greenagricultureskills.com Green...
4 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari wanaJF eti nifanye nini ili nyanya zisiliwe na ndege?? Ahsanten
0 Reactions
Replies
Views
Hii ni biashara ninayoiwazia kuifanya siku zote, na kama sitaifanya mimi basi ningependa kuiona ikiwepo (sijajua kama ipo mahala popote, sijabahatika kujua kama ipo) Game farming: Hii ni biashara...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba msaada wa kupata namba za simu za viongozi wa vyama vya ushirika vya Runali na Mamcu, na vyama vingine vinavyohusika na korosho
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nataka kuanzisha KILIMO cha kisasa cha matunda aina ya passion je kwa waliolima hivi kinalipa?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habar wanajamvi kuku wangu wanasumbuliwa na kuvimba macho na kupofuka na kupelekea vifo. Je huu ni Ugonjwa gani na nitumie dawa gani.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Redirect
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu , baada ya kumaliza masomo yangu nina plan ya kujishugulisha na kilimo hususani kilimo cha matunda yaitwayo MATIKITI MAJI. Naomba kwa yeyote mwenye uzoefu ...
1 Reactions
Replies
Views
Habari za majukuu ndugu zangu,Nina mpango wa kufanya biashara ya kuuza mananasi lakini si na experiece nayo sana maana naona msimu wake umekaribia mwenye kujua vizuri biashara hii naomba anisaidie...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari Wadau wenzangu! Nina siku 15 (Wki 2 nasiku 1) tokea nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji. Nilianza na Majike 15 na jogoo 1, nashukuru leo tarehe 21/09/2014 nimekamilisha trei moja la...
13 Reactions
141 Replies
25K Views
  • Redirect
Habari za uzima wajasiriamali wenzangu, nauza Mbegu za mlonge namajani yake, kwasasa sina majani makavu, kama utahitaji majani makavu naweza nikakutayarishia kwa spesho oda.kama unahitaji nipm
1 Reactions
Replies
Views
Nimekua nikifuga kuku aina ya broiler kwa mda, ila vifaranga vingi huwa vinaishiwa nguvu za miguu, na vingine huwa vinakuwa na matege kama msamba wa Van Damme, nataka kujua tatizo la vifaranga...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimenunua incubator machine yenye uwezo wa mayai 700. Nimeweka mayai, ila kati ya 700 nimepata vifaranga 300 tuu. Binafsi sijafurahi kwa sababu matarajio yangu yalikuwa at least 500. Kuna mayai...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Watanzania wenzangu,kumiliki biashara/kampuni (kwa maana ya limited company) na kujiajiri ndiyo siri ya mafanikio kwa Tanzania ya leo.Chukua hatua na ufungue kampuni yako na ujiiunue kiuchumi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habar wana jamii forums mimi ninataka kuanzisha mradi wa kufuga samaki ila sijui chocjotr kuusu mradi huo na ninahitaj ushaur maelekezo kwa yeyote mwenye ujuzi huoo ..kwani eneo husika ninalo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zangu natafuta mtaalamu ambaye atanishauri kuhusu banda, vifaranga, madawa na ufugaji mzima wa kuku wa kienyeji na wa kisasa. Pliz inbox kama upo maeneo ya jirani. Naishi Masaki DSM.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Bei Bei ni laki moja tu Kwa heka Zinauzwa kuanzia hekali kumi na kuendelea Yanapatikana ktk tarafa ya Lupembe mkoani njombe Kwa mahitaji wasiliana nami kwa simu namba 0764426929,0655726929 na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom