Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
popote tanzania ,,mwenye izo pumba anichek 0685733122
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Nina tafuta mtu yeyote mwenye mtaji-pesa ili tuunganishe nguvu katika ufugaji wa mifugo mbalimbali kibiashara. Mimi nina uzoefu, maarifa na utaalamu katika nyanja ya mifugo (nimesomea). Katika...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
  • Redirect
Wapendwa hamjambo? Naombeni ushari wenu mwaka huu nataka kuanza kilimo cha mihogo huko bagamoyo, je mnanishaurije kuhusu ardhi ya Bagamo je inakubali kilimo hicho cha mihogo? Na wale waliolima...
2 Reactions
Replies
Views
Kumekucha tena, Natamani niwe na kiwanda cha kutengeneza tambi kwa ajili chakula. Nimepata habari kuwa Unguja biashara hii ipo sana. Natamani kujua ukubwa wa mtambo/vifaa muhimu na gharama zake...
1 Reactions
15 Replies
10K Views
  • Redirect
Salam wanajamvi. Naomba ushauri wa kilimo cha miwa. Niko Dar, na ninafikiri kufanya kilimo hicho Bagamoyo au Kigamboni. Maji ya kumwagilia yatakuwepo: - Mbinu za kilimo bora cha miwa - Makadirio...
3 Reactions
Replies
Views
UYOGA ni kati ya mazao yenye faida kubwa kiuchumi na kiafya pia. Baadhi ya faida za UYOGA kiuchumi na kiafya ni kama zifuatazo: -Kiasi kidogo sana cha fedha za uwekezaji kinahitajika, -Fedha...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
  • Redirect
Wana Jf, Kuna maandiko mengi JF ya ufugaji Kuku wa Kienyeji! Nawasilisha kwenu wadau wa JF mbinu ambazo kwa mikono yangu nimezitumia kutatua changamoto za kuku wa kienyeji! Nimeandika kuwalenga...
144 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wakati wa kuanza mradi wako hakikisha una kuku 10 (matetea) wenye umri sawa na hawajawai kutaga hata mara moja. Chagua kuku wenye rangi nzuri kutoka katika familia bora kutegemea malengo ya mradi...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari wana jamvi, napenda kujua njia bora zaidi ya ufugaji wa kuku wa kienyeji kwa ajili ya mayai na nyama kati ya hizi 1: Kununua vifaranga na kuwakuza hadi kufikia kuanza kutaga 2: Kununua kuku...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mimi ni mtaalamu niliyesomea kuotesha uyoga na masoko kwa zao hili liko wazi na halina mtaji mkubwa,hivyo kwa yeyote ambaye atataka tushirikiane tuanzishe zao hili na mavuno yake hayachelewi ni...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwa yeyote anayetaka kujifunza kuotesha UYOGA ani pm
0 Reactions
Replies
Views
Kuku wangu ni katili sana hapendi mbuzi,mbwa wala kiumbe wengi sasa inafikia mahali analalia mayai yake anayaacha nakufata mbwa wanaobweka jirani na mabanda na kuwafukuza.kasha toboa macho mbwa...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
  • Redirect
Jamani mwenye idea juu ya ufugaji wa kuku wa kienyeji kwa ajili ya buashara naomba msaada wake
0 Reactions
Replies
Views
Hodi humu ndani, naomba kwa wazoefu mnisaidie nataka kulima pilipili Mbuzi. Naomba ushauri wenye experience fulani juu ya zao hili mbegu kilimo na soko kwa ujumla. Asante.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Redirect
Habari wakuu.. mimi ni miongoni mwa wafugaji wachanga wa nguruwe .. tatizo langu ni kuwa nilinunua vitoto vya nguruwe sehemu moja yaani wote ni tumbo moja madume 2 na majike 6.. tatizo kuna...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wakuu nimekuja kwenu kuomba mwenye uwezo wakunichimbia bwawa lakufugia samaki kuanzia 12000-15000 tuwasiliane kupitia 0756888861.nakabidhiwa likiwa tayari likiwa limekamilika kila kitu yaani...
1 Reactions
Replies
Views
naomba kwa anaejua ukulima wa uyoga nahitaji msaada kwa hili natamani sana ukulima wa zao la uyoga napenda iwe ajira yangu kupitia uyoga sababu huku nakotoka vijana wamejikita zaidi kwa ufugaji...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Kuku wangu wamepatwa na ugonjwa nisiouelewa,yaani baadhi ya sehem kichwani wanakua kama wanamadonda,salsa sijui dawa gani nitumie
1 Reactions
0 Replies
638 Views
kama ionekanavyo picha. Naomba kujua huo ni ugonjwa gani? Umeharibu shamba zima. Nawaza kuyakata ili nilishe ng'ombe ili humo nipande mahindi mengine. Kitu gani nifanye ili ugonjwa usijirudie...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom