Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Mh.Raisi JPM bado hujaifikia kero yangu,hakuna utendaji pasipo maagizo yako ya moja kwa moja kero yangu ni wafugaji kuingiza mifugo kwenye mashamba ya wakulima mkoani morogoro wilaya ya mvomero...
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Habarini wana JF? Mungu amewapa uhai wake tena siku ya leo, mbarikiwe sana. Samahani, Nilikuwa na pesa fulani hivi sasa nahitaji kuwekeza katika kilimo cha matikiti nifanyaje? Naweza pata...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari zenu wanajamii,naomba ushauri wenu mimi nina heka mbili ambazo zimepitiwa na maji ya jirani yangu aliyepitisha bomba la maji kati kati ya shamba langu na kufanya hekari moja kuwa chini na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Redirect
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu Uzi huu ni maalum kwa wakulima na wafanyabiashara wa mazao ili kupeana taarifa za bei za mazao katika mikoa mbalimbali Mimi naanza hivi Morogoro tarehe...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Naomba mchanganuo wa gharama/ mahitaji ya kufuga kuku wa kisasa broilers nataka kuanza na vifaranga 100 Naomba kujua gharama za Vifaranga Chakula cha kuku Chanjo/dawa Banda Mahitaji mengine
0 Reactions
Replies
Views
WAFUGAJI NINAO KUKU PURE KIENYEJI WALIO TAYARI KUTAGA NA WAMEPATA CHANJO ZOTE MUHIMU NAPATIKANA MBEZI DSM BEI 15000 LETA ODA YAKO 0769841836
0 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Redirect
Wakuu, nimeanza tena ufugaji wa kuku wa kienyeji. Mara hii natumia mfumo wa NUSU HURIA nimeanza na kuku 15 mwaka Jana mpaka sasa wako 369 Nimeuza kuku 271 kwa bei za kati ya Tsh 17,000 mpaka...
6 Reactions
Replies
Views
Nauza incubator laki 3 imetumika for 2 months only ni manual na haili umeme. Mayai mpk 70 au zaidi sababu haitumii trey
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Habari zenu waungwana Nina shida, natafuta nyoka aidha green snake au black snake. ninapoishi saizi kuna tatizo la panya na Mende wanasumbua sana. Hivyo nimeona njia sahihi ni kufuga nyoka ili...
0 Reactions
103 Replies
17K Views
Habari zenu wana JF. Naombeni msaada kutoka kwenu...nahitaji kufahamu kama arusha kuna market nzuri ya mapapai na pia mikoa mingine tanzania....nipo kwenye research stage kwa sasa Asanteni na...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Redirect
Salaam wakuu, Naombeni kwa wanaojua utaratibu wa kufuata ili kuanzisha duka la pembejeo za kilimo. Ni hatua gani zinatakiwa zifuatwe, vigezo na masharti yake, changamoto n.k. Niyafurahi sana kama...
0 Reactions
Replies
Views
Hello Gentlemen and ladies, Naomba msaada please., Nina kuku ina ya chotara wa Malawi na wa Israel wako 30 na wameshaanza kutaga ni week ya pili sasa .Na chakula cha layers nanunua mfuko elfu 50...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu.. Naomba kujua ni mbegu gani ya mahindi hapa nchini ambayo inaongoza kwa kuhimili ukame na ni yamuda mfupi?..
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakulima wadogo nchini Tanzania hivi karibuni wataweza kupata taarifa mbalimbali za kijiditali kuhusu masuala ya pembejeo, ukiwemo ushauri utakaosaidia kutatua matatizo yanayowakabili kama vile...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kuuliza kuna madhara gani ya kuwalaza kuku na bata kwenye banda moja???.
0 Reactions
4 Replies
974 Views
Nahitaji kujua bei ya mtoto wa nguruwe alieacha kunyonya ni kiasi gani?? Nipo dar kigamboni
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Wanajamvi na tumaini mko poa mimi ni kijana ambae nahitaji nitimize ndoto zangu kupitia kilimo. Nilikuwa natafuta mtu alie serious tuingie kwenye kilimo mkoa wowote ambao tutaona unafaa...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Wana JF, habari ni za siku nyingi. Mradi wetu Mifugo na KILIMO sasa unataka kujipanua hadi kufikia kilimomazingira. Tutajikita katika kilimo mazao, misitu, Nyuki, samaki na usindikaji wa mazao...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
wadau ninatengeneza mkaa wa kisasa briquette kama sehemu ya ajira yangu tangu nimalize masomo. sasa changamoto kubwa ni kwenye masoko, hivyo naomba kwa yeyote anayeweza kunisaidia mahali...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari!,Mimi nataka nianze ujasiliamali wa ufugaji wa kuku jamii ya chotara nilichotaka kufahamu katika hawa chotara aina mbili kati ya kuroiler na wale wa Malawi ipi mbegu bora katika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom