Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

NIMEONA KWENYE MENU YA TIGO WAMEANZISHA NAO UNLIMITED PACKAGE VIFURUSHI VYAO VIPO HIVI 1 Day Unlimited = 999Tsh 2 Week Unlimited = 6000Tsh 3 Month Unlimited = 20,000Tsh 4 3 Nights Unlimited =...
1 Reactions
37 Replies
7K Views
Naomba mwenye ufahamu anieleweshe kuhusu package za DSTV kwa Tanzania bei zake na idadi ya chanel zilipo ikibidi hata list ya hizo chanel. Pia kama kuna link ya hizi taaarifa zote waweza kushare nami.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu habari Nilikua naomba kwa mwenye softewr ya data recover anisaidie coz nimejaaribu nyingibza kwenye net zinaitaje serial number. Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
645 Views
jamani wana jamii Forum mimi hizi DVD za kibongo kila nikiweka kwenye Deck yangu ya Laptop zinakuwa HIDDEN yaan hazisomi lakini nimejaribu mautundu fukani nkajua kuwa kuna software flani ivi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu nimekua nikirekodi tv programmes kutoka kwenye decoder yangu. Changamoto imekua kuzicheza kwenye pc, zenyewe zina extension za mts. Ni player gani naweza kutumia au converter?
0 Reactions
0 Replies
364 Views
habar wakuu? na2mia pc aina ya hp, tatzo lake kubwa ni netwok niki connect modem inakaa baada ya muda kama dk 2 hv kisha inaji disconnect yenyewe na bando lipo la kutosha sijajua tatizo n nin...
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Msaada comptuter yangu inatengeneza shortcut folders msaada... bila ya kutumia cmd..
0 Reactions
14 Replies
1K Views
heshima kwenu wadau WA technologia........ naombeni msaada wenu WA jinsi ya kuinstall whatssap kwenye tablet ya android ya kampuni ya accer. nimejaribu kuingia pale kwenye play store lakini plae...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kuna mtu ana iphone sasa anataka kurestore ili aondoe information za aliyekua anatumia lakin anaogopa kwamba inaweza kumdai apple id au pamoja na password ambazo yy hazijui sasa afanyaje?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari, Nimeingia muda huu kununua Wajanja Night nikakuta kuna kifurushi kimeongezeka. Unalipia Tsh 1000 na unajipatia unlimited internet access. Sijapata kufahamu hiki kifurushi ni exclusive kwa...
3 Reactions
138 Replies
17K Views
Hizi software ndio zinaaminika katika mpango mzima wa ku-track WhatsApp. Stealth genie Mobile spy Mobistealth Mspy Spy bubble Swala lililopo ni kwamba zinapatikana lakini mpaka ununue...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
habari wanajf, samahani ninashida moja kubwa HAPA, ni kwamba cd yangu niliyonunua sambamba na tv tuner yangu WinTV-PVR-150 Multi-PAL PCI TV Card - 26589 LF Rev F945 imepotea lakini tuner...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habar za ijumaa tulivu wadau naombeni mnisaidie, nina software ya idm ambayo niikuwa naitumia lakini kwa sasa inaniambia imeisha muda wake na hivyo inatakiwa serial number, nimejaribu kutafuta...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wataalamu wa jukwaa hili naomba kupata ufafanuzi kuhusu kuendelea kuitumia laptop ukiwa umechomeka waya wa kuchajia umeme (adaptor) kwa ajili ya kuchaji betri hata kama betri imejaa je, kuna...
0 Reactions
0 Replies
762 Views
mssada jamani nitumie software gani pakua vitu online kwasababu natumia IDM ila ina nizingua serial key nina version tatu zote zina serial keys zake lakini nikiinstall nikiweka na serial key...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Nahitaji kuflash moderm ya Smile itumie line zote naombeni msaada wenu wakuu maana nimejaribu kutumia clack ya Huawei ila imeshindikana!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wana jf, msaada anajua kuupgrade tecno p3 km inawezekana tujuzeni..jmn.
0 Reactions
2 Replies
702 Views
Wakuu.Nina mpango wa kununua hii simu ila sina uzoefu nayo sana.Nimegoogle spcs zake lakini kwa kweli zingine zijazielewa. Naomba kwa mwenye uzoefu na simu hii tafadhali anisaidie hasa weakness...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Nafungua computer nikiweka pacwod inagoma na kuleta SMS kwamba your profile service can not be loaded,kwenye utaalamu wa tatizo Hilo plz
0 Reactions
0 Replies
491 Views
kwenu wakuu, nina laptop yangu aina ya acer, ambayo mwanzo nilikuwa naangalia youtube fresh ila nilimpelekea jamaa mmoja akaniongezee software flani flani, baadae kaniwekea na idm kaniambia naweza...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom