Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

1. HAJIAMINI anakera sana kitendo chake cha kutoa kadi za njano bila mpangilio ili kupunguza makali ya wachezaji hata kama rafu iliyochezwa haistahili adhabu hiyo,shida inakuja pale mchezaji...
12 Reactions
20 Replies
2K Views
My Take It is a sign of maturity to apologize and admit when you are wrong. We, Simba fans accept your apology.
9 Reactions
22 Replies
1K Views
Mashabiki wa Simba wameshapoteza kujiamini wanapocheza na Yanga. Yaani ni bora uwaambie wakacheze na Al Ahly au TP Mazembe lakini si Yanga. Huwaoni kuvaa jezi za timu yao. Wamepotea sana mtaani...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Jumla ya tiketi Milioni 2.45 kati ya 3,010,679 zilizotengwa kwaajili ya Michuano ya Kombe la Dunia litakalofanyika nchini Qatar zimeuzwa huku tiketi 520,532 zikiuzwa ndani ya siku 43 (Julai 5 -...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Alichofanya Okrah katika mchezo wa jana imejidhihirisha yeye ni mchezaji wa aina gani. Alichofanya Okrah tulichotegemea kuona kikifanywa aina ya wachezaji wa timu za chini. Alichofanya Okrah...
13 Reactions
66 Replies
4K Views
Hakuna refa profesional anaefoka hivi uwanjan, ni mpuuzi anayelazimisha kutisha ili aogopewe, ndiyo anaweza fanya hivi. Refa siyo adui wa mchezaji ni rafiki mkubwa wa mchezaji, ukimuiga Corina...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
Watanzania tubadilike, Kocha hajafungwa mchezo wowote katika ligi anakimbilia michezo 50 sasa, leo hii linatokea kundi la watu wakijiaminisha kabisa ati kocha hafai! Majuzi hapa kocha wa Azam...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
  • Redirect
Klabu ya Yanga imekanusha taarifa za uvumi kuhusu kuachana na kocha wake Mkuu zilizoanza kusambaa mitandaoni kuanzia kumalizika kwa mechi na watani wao Simba. Uongozi wa Yanga unapenda...
2 Reactions
Replies
Views
Hatimaye tarehe 23/10/2022 ikafika baada ya siku kadhaa za tambo, ngebe na kelele nyingi kutoka kila upande. Kwangu Derby ya safari hii ilitawaliwa na saikolojia ya nje ya uwanja kati ya wale wa...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
This was our game, we were supposed to win. We can actually blame you for Simba' failure. I say failure cause it was a must-win game. I think the one problem you had was that purely selfish. I...
31 Reactions
177 Replies
7K Views
Sina maneno marefu, ila pia Picha hii haihusiani na kichwa cha habari.
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Kuna mechi ya simba na yanga nakumbuka wachezaji wa Yanga walimpiga refa, naomba nikumbushwe refa aliyepigwa na wachezaji walipiga na kwa sababu gani
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Wakati kipindi cha pili kinaenda kuanza, Manura alielekea golini kwake na wakati anaweka taulo, kuna kitu cheupe alikitupa pale golini. Huu ni muendelezo wa matukio kibao ya Klabu ya Simba...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Ile assist alioitoa Chama na kuzaa goli la Simba leo inaitwa La Pausa kwenye soka. Mashabiki wa Simba kule Spain na Ulaya wanauliza kama lipo neno la Kiswahili?
8 Reactions
36 Replies
2K Views
Huyu dogo achoshangaza , anafokea watu wanaolipwa pesa mingi Sana kwa mwezi anahic wako sawa kumbe ni mbingu na ardhi. Kikubwa huyu dogo hajui chochote kwenye hii career ya urefarii ulishaona...
2 Reactions
6 Replies
430 Views
Natamani siku hizi timu mbili ziache kurogana kipigwe kavu kavu tuone kiuhalisia ni nani bora zaidi uwanjani na siyo haya mazingaumbwe wanayotufanyia. Haya ni baadhi ya mambo nikiyoyaona jana...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Kama asingekuwa mbinafsi kama mchezaji ninayemchukia kupita kiasi kwa sasa ndani ya Simba SC Sakho kutokana na utoto na upuuzi wake usiyobadilika, leo Okra alikuwa anatoa pasi kama tatu hivi za...
11 Reactions
30 Replies
2K Views
1. Germany lost the most World Cup finals in football history (4 times) 2. Juventus lost the most UCL finals in football history (7 times) 3. Cristiano Ronaldo is the only player in history to...
13 Reactions
30 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwa wachezaji wa Simba na bila kupepesa. Mgunda amejitahidi kuwabadilisha wachezaji watembee, mpira utembee na kuchangamka lakini bado wachezaji wanajisahau. Jana ilikuwa Yanga...
1 Reactions
4 Replies
627 Views
Kwa mwenendo huu wa klabu ni wazi kwamba Simba itaenda kuaibisha taifa huko nje. Leo hii Simba inashindwa kabisa kuifunga Yanga, wachezaji wazembe, hawajitumi, tunategemea nini? Kwanini...
10 Reactions
38 Replies
2K Views
Back
Top Bottom