Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

CEO MPYA WA YANGA KULIKONI?, KESI ZATAJWA. Baada ya Yanga kumtambulisha Andre Mtine kama Mtendaji Mkuu wao mpya nimepitia vyanzo mbalimbali vimeonesha kuwa ana rekodi za kesi na tuhuma...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Huyu manzi wa Kenya ni hatari kwa wanaofatilia soka la Wanawake Afrika Mashariki watakubaliana nami, mwaka jana kwenye CECAFA Tournament pale Nairobi akiwa na Vihiga Queens alikuwa hatari kama...
5 Reactions
19 Replies
921 Views
Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa (TPBRC) imemsimamisha kwa muda Mwamuzi Habib Mohammed 'Mkarafuu' ambaye alichezesha pambano kati ya Karim Mandonga dhidi ya Salim Abeid hadi atakapopata Mafunzo ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Utopolo bana, Leo mwarabu toleo la tatu amefunga ndoa na msaidizi wake, mtu mwenyewe ukimuangalia kiuno kama nge lkn bado t anaparamia mizigo, mwenzenu anakula maisha, huku nyie anawaambia muimbe...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Leicester City Football Club is an English professional football club based in Leicester in the East Midlands. The club competes in the Premier League, England's top division of football, and...
5 Reactions
49 Replies
4K Views
Kwenye Management kuna Theory ya Administrative Theory ambayo imeweka 6 Functions za Management na 14 principles of management . Theory hii hutumika jeshini na kwenye Intelligence Institutions kwa...
12 Reactions
58 Replies
3K Views
Hongera mno Ally Shabaan Kamwe kwani ni Suala la muda tu unaenda Kutangazwa kuwa Msemaji Mpya ( Afisa Habari Mpya ) wa Yanga SC. Pongezi nyingi Kwako pia kwa kwenda Kumlamba Miguu ( Kumpigia...
9 Reactions
42 Replies
4K Views
Tukio lililotokea majuzi kwa mchezaji Okrah kumfanyia fujo striker mzungu, Dejan Georgindowski, linaonesha kuwa kuna mgawanyiko wa wachezaji katika dressing room na kocha Juma Mgunda hana uwezo wa...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Priva Abiud (Privaldinho) - Ameteuliwa kuwa msimamizi mkuu wa Digitali na Maudhui (Digital Manager) Karibu kwenye familia ya Mabingwa @privaldinho #DaimaMbeleNyumaMwiko
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Anaandika @alikamwe Mambo 10 nilioyaona Simba vs Yanga 1: DAR ES SALAAM is GREEN & YELLOW 🟢🟡. WENYE NCHI NI WANANCHI🙌 Pointi 3 za HESHIMA. Pointi 3 za KIBABE. Yanga wanaweza kukosa Ubingwa...
7 Reactions
14 Replies
3K Views
Fiston mayele huyu bwana ni mchezaji mkubwa saana nje ya Tanzania. Kuna watu wanamuogopa saana Na wengine kumsifia saana Leo nimekuwa zangu fb kucheki cheki comment fulani kuhusu al hilal kilicho...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimefanikiwa kuona clips za mchezo wa kirafiki kati ya yanga na eagle sc inayoshiriki ligi daraja la nne mkoa wa dsm Yanga walicheza poa sana ,low blocks,high pressing na walikuwa wepesi kuwasoma...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Oyaaaa , taratibu jamani embu tuwekane sawa naona vichaa wanasema huyu jamaa ndiye kawapa mafanikio mazembe Idiots, huyu alikuwa afisa wa kawaida tu pale mazembe kama vile kina Asha baraka pale...
4 Reactions
80 Replies
4K Views
Tajiri kamtumia Kocha wa zamani Mkongo anayehudumu sasa ndani ya Klabu pamoja na Wachezaji wetu wa Kikongo ndani ya Klabu ili Kumalizana na Mkongo Mwenzao aliye kwa Waarabu awape Mbinu zao na pia...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Dstv wameshaanza kutangaza kurusha mechi zote 64 za kombe l dunia. Hawa wenzetu wa AzamTv naona mpaka leo wapo kimya, je watarusha mechi zote 64 au watatupa mgao wa mechi kama tanesco ya kipara?
9 Reactions
30 Replies
8K Views
Njooni na lingine
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Kuna vihoja vinasambaa mitandaoni vya kuonesha kuwa credibility ya CEO mpya wa Yanga ipo questionable. Watu wanasahau kuwa ni vyombo vya sheria pekee ndiyo vyenye jukumu la kuthibitisha hilo. Na...
2 Reactions
15 Replies
631 Views
Habar wanajamvi nauliza mechi ya leo ya taifa stars vs Uganda inarushwa channel ipi
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Bondia Tyson Fury ametamka kuwa amefuta mpango wa kupigana na Anthony Joshua huku akimtaja mpinzani wake huyo kuwa ni muoga kutokana na kutokuwa na msimamo wa kutoa majibu kuhusu kusaini mkataba...
1 Reactions
6 Replies
907 Views
App ilikuwepo miaka 4 naona imefufuliwa , vipi huko wajameni haijaathiri mkataba wenu wazee wa azam tv? si mlipewa exclusive kurusha mambo yao au inakuwaje? Poleni sana ni suala la muda hata you...
0 Reactions
5 Replies
608 Views
Back
Top Bottom