Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
  • Sticky
Full name: Manchester United Football Club Nickname(s): The Red Devils Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C. League: Premier League Website: ManUtd.com...
166 Reactions
200K Replies
11M Views
  • Sticky
Full name: Chelsea Football Club Nickname(s): The Blues, The Pensioners Founded: 10 March 1905 League: Premier League Website: ChelseaFC.com Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
152 Reactions
120K Replies
6M Views
  • Sticky
yanga ilianzishwa mnamo mwaka 1935 na inasemekana ndo klabu kongwe na yenye mafanikio zaidi hapa nchini. klabu hii ilianzishwa na wazalendo halisi wa nchi hii waliokuwa wakiji shughulisha na...
96 Reactions
24K Replies
1M Views
  • Sticky
Full name: Liverpool Football Club Nickname(s): The Reds Founded: 3 June 1892 League: Premier League Website: LiverpoolFC.com Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
123 Reactions
141K Replies
7M Views
  • Sticky
Full name: Arsenal Football Club Nickname(s): The Gunners Founded: 1 December 1886 League: Premier League Website: arsenal.com Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
138 Reactions
152K Replies
7M Views
  • Sticky
Full name: Manchester City Football Club Nickname(s): The Citizens, The Blues, The Sky Blues Founded: In 1880 as St. Mark's (West Gorton), became Ardwick Association Football Club in 1887 and...
23 Reactions
28K Replies
1M Views
  • Sticky
Full name: Futbol Club Barcelona Nickname(s): Barça or Blaugrana (Team) Cules or Barcelonistas (Supportes)...
48 Reactions
33K Replies
2M Views
  • Sticky
Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters. The club formed in 1902. Stadium: Santiago Bernabéu...
37 Reactions
50K Replies
2M Views
  • Sticky
Simba SC is a Tanzanian football club based in Dar es Salaam. Their home games are played at two stadiums Uhuru Stadium and National Stadium. Simba SC is one of two biggest football clubs in...
65 Reactions
8K Replies
824K Views
  • Sticky
The Tanzania national football team represents Tanzania in association football and is controlled by the Tanzania Football Federation, the governing body for football in Tanzania. Tanzania's home...
12 Reactions
670 Replies
157K Views
  • Sticky
Jina: Paris Saint-Germain Football Club. P-A-R-I-S.: Five letters that resonate around the world. Historically incomparable, culturally unique, the City of Light shines in the sporting world too...
16 Reactions
464 Replies
51K Views
Nimeshtushwa na taarifa za Al hilal ya ibenge kiruhusiwa kucheza NBC premier ligi .,. kiukweli ni habari njema sana Kwa kukua Kwa ligi yetu .... But Leo nmejifikiria sana kama mchambuzi mahiri wa...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
MAMELODI "TULIITAKA SIMBA SIO YANGA" Mashabiki wa Mamelodi huko SOUTH AFRICA wamesema waliomba sana wakutane na SIMBA sio YANGA Baadhi ya mashabiki wamesema hawana furaha kupangiwa Yanga...
8 Reactions
61 Replies
2K Views
Nimepita mtandaoni, nikifuatilia maoni ya wadau mbalimbali kuhusu Al Hilal ya Sudan kushiriki ligi yetu ya NBC mwakani, wengine wameona ni jambo zuri kwa club hiyo ya kimataifa ya Sudan kuja...
1 Reactions
4 Replies
157 Views
Ndg Wacheji wetu walau wataoenekani duniani
0 Reactions
2 Replies
165 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
227 Reactions
399K Replies
30M Views
Kumekua na baadhi ya wachambuzi, na watangazaji wa mpira na baadhi ya wanaharakati ambao hawana kazi kuponda mishahara ambayo wachezaji wanalipwa na team zao, kwa madai ya kuwanyanyasa. nikawa...
2 Reactions
5 Replies
216 Views
Augustine Azuka 'Jay Jay' Okocha, Mchawi na Hizi yake kutoka Enugu Usiku mmoja kule Kusini Mashariki mwa nchi ya Nigeria, Jimboni Enugu ile Agosti 14, 1973 alizaliwa Mchawi mmoja wa soka...
5 Reactions
23 Replies
423 Views
Tumesikia mipango ipo mbioni kuijumuisha timu ya Al Hilal ya Sudan katika ratiba ya NBC kuanzia msimu ujao. Kuna wakati niliwahi kuwaza hili jambo nilipoona wakati ule wanatanga tanga, nikataka...
17 Reactions
81 Replies
2K Views
Yanga wanaanza kuandamwa na majeruhi, wakitoa draw mbili na kufungwa mechi moja Simba anakuwa bingwa asipopoteza mechi hata moja, au yanga akipoteza mechi mbili simba akashinda zote basi Simba...
3 Reactions
13 Replies
518 Views
Huyu bwana mdogo anaacha mpira makusudi anaamua kukanyaga mguu kwa nguvu kubwa na kamera za azam hazikuriludia hilo tukio maana walijua kitakachomkuta huyu bwana mdogo, pacome alikanyagwa makusudi...
5 Reactions
19 Replies
849 Views
Kwa Sisi malegendary wa uchambuzi hapa jf Baada ya mchezo wa Jana tumejua tu kuwa Ile ilikuwa na planned Yanga kupoteza Ili kuficha mbinu Kwa mamelodi Mamelodi walituma watu wao Ili kusoma mbinu...
8 Reactions
89 Replies
2K Views
Naam! Magazeti na Redio havimuimbi kwa kuwa vimefunikwa na mahaba ya Simba na Yanga. Ila kwa wapenda football Kama NALIA NGWENA watakuja kutoa ushuhuda hapa kuwa Kipre Junior ni talented boy...
5 Reactions
83 Replies
3K Views
  • Redirect
nilikuwa napitia pitia vichwa vya habri ,Nikakutana na hii Sijui wenzangu wenye michezo yenu mnaionaje hii.Je itakwenda kutia chachu na kuinua soka letu Tanzania ? Je ndio kusema ligi yetu imekuwa...
0 Reactions
Replies
Views
Jana nimeshangaa Simba kufurahia ushindi wa Azam wakati ni wapinzani wao kwenye kugombania nafasi ya pili!! Hivi ni umbumbumbu au ni kitu gani!? Au wanadhani labda wanagombea ubingwa?
4 Reactions
29 Replies
997 Views
Kuanzia leo tarehe 11 hadi tarehe ya mwisho ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani (Ramadan) tutakuwa tunashinda kwa Taabu au kutoka sana Sare/Suluhu na hata Kufungwa pia kwani Majini kamwe hayatakubali...
10 Reactions
55 Replies
3K Views
Hii ndio taarifa ninayoitoa leo kwa Wapenda soka wote na hasa kwa Mashabiki wa Yanga . Baada ya Mayele kulazimishwa kuuzwa ili viongozi wa Yanga wapate Pesa, nataka wale viherehere wote wa Yanga...
6 Reactions
78 Replies
5K Views
Pacome Zuzu mjanja sana, ameicheki gemu weekend akaona hapana, hawa viungo wa azam Feitoto na Yahya Zayd sio wa nchi hii, wanakaba mwanzo mwisho, mjinga akaona isiwe tabu akajivunja mapemaaaaaa...
4 Reactions
77 Replies
2K Views
Kuna majina ya wachezaji huwa yanavutia hasa pale yanapotamkwa. Yapo mengi yanayonivutia miongoni mwao ni haya, Juan Roman Riquelme Kevin Prince Boateng George Magere Masatu Jina gani huwa...
14 Reactions
227 Replies
4K Views
Baada ya kuona Matokeo ya droo ya Timu zitakazocheza Robo Fainali hapa ni Utabiri wangu wa mechi za robo fainali.. kwa timu za Tanzania Yanga atajitutumua atatoa Droo Nyumbani ila Atafungwa...
21 Reactions
71 Replies
3K Views
Nliona kabisa hii match kuna kitu kipya ambacho si cha kawaida kwa hawa mbwas. Sijajua ni nani aliyewatonya mambo flani hawa mbwas. Ilikuwa tuwachape 1 bila game iishe hivyo. Lakini kuna kitu...
3 Reactions
27 Replies
605 Views
Back
Top Bottom