Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Habari! Takribani week 2 zilizopita, Shirika la madaktari wasio na mipaka (Medicins Sans Frontieres) ambalo linajihusisha na huduma za afya kwenye kambi za wakimbizi walitangaza nafasi za kazi...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Anahitajika kijana wa kiume asimamie upande wa pesa na wapishi kwenye mgahawa uliopo maeneo ya ustawi wa jamii. Malipo tutaelewana. Kuingia kazini ni saa mbili asubuhi mpaka saa mbili usiku hivyo...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta kampuni ndogo inayojihusisha na kuwa tafutia watu Ajira na lazima iwe yenye vibali vyote,nahitaji kuwekeza mwenye nayo ani PM.au anicheki WhatsApp number +255719269820.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jikomboe Integral Development Association (JIDA) P.O.BOX 1934, TABORA, TANZANIA, EAST AFRICA TEL/FAX: +255 (26) 2604648: Mobile: +255(754)384330. E-mail: jida@jidatz.org ...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimesikia tetesi kua usahili itafanyika jumanne ya tarehee 11/05/2017 makao makuu ya EWURA kuhusu post zilizotangazwa na deadline ilikua novemba 2016. Je kuna mdau humu alieitwa?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wakuu, Kuna kijana Yuko Chuo flani hapo dodoma, anatafuta kazi halali kwa ajili ya kupata chochote cha kujikimi na maisha ya Chuo anahitaj shift za usiku...! Asanteni..!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau ebu naombeni mwenye ufahamu zaidi juu ya hili suala anifafanulie. Mwezi April, Rais Magufuli alipokea ujumbe kutoka kwa Rais kagame kupitia kwa waziri wa elimu wa nchi hiyo na miongoni mwa...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari naomba mnisaidie kupata kazi..elimu yangu kidato cha 4,umri 25 jinsia ke,..nina ujuzi wa computer katika programs mbali mbali mfno (publisher, power point ,etc). kazi nazoweza kufanya ni...
2 Reactions
4 Replies
838 Views
Organization: African Initiatives for Relief and Development Country: United Republic of Tanzania Closing date: 26 May 2017 Reports to: The Sub Office Manager (SOM) or the office in charge during...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeshafanikiwa
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Kwanza hongereni TPA na sekretariet ya ajira kwa mchakato mzima ambao hakuna hata chembe wala harufu ya rushwa na upendeleo, Jana tulifanya oral na kuambiwa tutapewa feedback hakuna hata mwenzangu...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu, Mimi ni kijana mwenye degree ya sheria, naombeni msaada nataka kujitolea katika law firm kama legal officer. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Majina ya walioitwa kufanyiwa usaili NHIF ( National Health Insuarance Fund) Bonyeza Link hapo chini kutazama majina hayo....
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Mi ni mkazi wa singida nauza duka la dawa km kuna mtu anataka kununua anicheck 0767874060,lipo hapa singida municipal
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Naomba kujua kama waliofanya interview mzumbe majibu yameshatoka
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Msimu wa Ajira serikalini unakaribia tuanze kujiandaa kwa Usaili na Mitihani yao. Kutokana na Tume ya Utumishi wa Umma kupokea kibali cha kuajiri ajira zaidi ya 15,000 huu ndo muda mwafaka kila...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, kuna wale waliokua wafanyakazi wa serikali ambao wametumbuliwa kwa kuwa na vyeti feki wengi wao walikua wakiwakomalia vijana na wengine waliomaliza vyuo kuwa wajiajiri hali ya...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi ya kazi kwa ajili ya Ofisi ya Baraza la Mapinduzi Zanzibar kama ifuatavyo:- 1. Afisa Utafiti Daraja la II “Nafasi 1” Sifa za Waombaji: • Awe ni...
2 Reactions
37 Replies
32K Views
GA Consultancy is the leading Business Management Consulting in the region which offers high level advisory to policy makers, investors and organizations. Our Management Consulting services...
0 Reactions
2 Replies
603 Views
Back
Top Bottom