Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk. nipo dodoma nakufuta popote ulipo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza nyumba Nauza nyumba
0 Reactions
2 Replies
730 Views
Nauza mashine ya photocopy #Ricoh aficio mp2000 #inatoa photocopy #ina print # ina scan #fax #wireless print Mashine iko katika hali nzuri sana yaani ni karibu na mpya. Price: 1million maongezi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau Kuelekea Oktoba 25,nauza Unfinished House yangu pichani. Ipo Madale,Dar es Salaam. Ina Hati na Eneo la Uwanja ni Square Meter 1103. Ina Vyumba 4 vyote Master,VIP Lounge,Study Room nk. Bei...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari ndugu wana JF. Kwa wale wote wenye mahitaji ya kufanyiwa Electrical wiring & Installation katika nyumba zao, mnaweza kuwasiliana nasi ili tuifanyie nyumba yako Wiring ya uhakika iliyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji hp deskjet ink advantage 5525 pesa ipo cash au printer yyt ya hp inayowez kuprint picha lkn iwe self yaan isitegemee computer kuprint
0 Reactions
12 Replies
903 Views
Nimefanya kilimo cha cabbage Kilombero Sugar. Katika week mbili zijazo nitaanza kuvuna. Yoyote mwenye kujua mnunuzi wa Jumla aweza nijuza kwa 0786388083 au 0654087243. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Wadau Habari za wikiend na poleni na misukosuko ya maisha, Ninahitaji laptop nzuri aina ya DELL yenye specification angalau hizi HDD kuanzia 500GB RAM 3-4 GB Processor 5i Na vingine kama kuna Mtu...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
*OFA OFA OFA OFA* *PEARL SOAP* ni sabuni ambayo inatatua matatizo yako ya ngozi yaliyokuwa yanakusumbua kwa muda mrefu bila kupata ufumbuzi sabuni hii ni sabuni ya asili ambayo haina kemikali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamvi Natafuta hii display inayoonyesha radio/dvd na a/c buttons. Kama unayo weka hewani na bei yako.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
.....................................thread deleted....
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hallo. Nahitaji kutengeneza Bango Sio la Biashara, hapana. TANGAZO/NOTICE. Lenye Maneno kama 20. Material yatakayo tumika ni kitambaa tu. Naomba Mwenye kufanya mambo ya Graphic designing anipe...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
NATAFUTA SOKO LA KUUZA MAYAI YA KUKU WA KIENYEJI PAMOJA NA KUKU WENYEWE, JE LINAPATIKANA?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Cannone D 1100 inauzwa ina Lens 18mm mpaka 55mm ipo na charger bei Tsh 700,000, Nikon D 50 lens 18 mpaka 55mm tsh 500,000, Cannone D 1000 lens 18mm mpaka 55mm tsh 600000 na Nikon Lens 55mm mpaka...
0 Reactions
4 Replies
648 Views
Tusafiri pamoja kutembelea mji wa kale wa Bagamoyo Jumamosi ya tarehe 24/9 kwa gharama ya shilingi 15,000/- tu ikijumuhisha Nauli ya kwenda na kurudi, gharama ya mwongozaji (guide) na breakfast...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF..: Nahitaji mashine tajwa, kwa mwenye ufahamu kuhusu wapi naweza kupata kwa Dasilamu, aina (size) zake na bei tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
naomba tujuzane nyie mnatumia dawa au kemikali gani kufulia ili kuongeza ufanisi na pia kemikali gani unatumia kung'arisha nguo? unaweza kunitumua pm au kuandika moja kwa moja
0 Reactions
0 Replies
685 Views
This is blog that provide Ict Education for all levels, We post various Computer problems and their Solutions on how to solve/fix them, Latest Technology news, Programming skills, Tutorials, Funny...
1 Reactions
0 Replies
747 Views
Habari zenu, mwenye kuifaham au aliyekwishaitumia hii gari naomba anielezee uzuri na mapungufu ya hii gari mana natakakuinunua. Mawazo yenu ni muhimu.asante
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom