Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
209.6K
Threads
7.5K
Posts
209.6K

JF Prefixes:

Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! HAPPY NEW YEAR PEOPLES!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Maxence Melo sijui hata nisemaje, was watching the news, and everything...
54 Reactions
631 Replies
100K Views
Mwanaume na msichana mmoja walikuwa katika mahusiano. Baada ya miaka kadhaa ya mahusiano yao, mwanaume alimaliza chuo kikuu na kuamua kujiongezea maarifa kwa kwenda kusoma nje ya nchi. Kabla ya...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Dada yangu lara 1, mwaka 2014 ulikuja na mada hapa yenye kichwa habari kuwa unatimiza 30 years of age na unaomba namna ya kudeal na age hiyo kimapenzi. Naona sasa umekuwa na 33 years.....tunaomba...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
habari za usiku wana Jf. samahani tujuzane kama na nyie mmewahi kujihisi kuchoka kutongozwa / kutongoza na umri gani mlijihisi kuchoka hiyo hali kiasi kwamba ukitongozwa / tongoza unazarau au...
2 Reactions
92 Replies
6K Views
Kama kichwa kinavyojieleza wadada mliozaliwa 80's kama bado hujaolewa huu tena sio muda wa kuchagua wa kukuoa. Kama ni mechi wanasema fungulia mbwa...yani sagula sagula..ngoma nagwaaa..jua...
7 Reactions
156 Replies
11K Views
Moja kwa moja kwenye mada, 1. Kupiga mizinga - Wanawake wanapenda sana kuombaomba hela. Hata kama anazo, atapenda na za kwako kidogo achukue. Yaani "omba omba sana" kutokana na tamaa ya shetani...
6 Reactions
52 Replies
10K Views
Hivi ukiwa unaumwa malaria au ukiwa na homa vipi mgegedoni performance inakuwaje, kwa sababu nimekuwa mwoga sana kugegeda nikiwa siko sawa kwa hofu ya kufanya chini ya kiwango na hivyo kujipotezea...
4 Reactions
46 Replies
4K Views
Habarini wana JF, leo nimeamka na wazo jipya kidogo. Nimeona dada zetu wakiolewa na hawa jamaa wenye asili ya kiasia lakini sijawahi kuona wanaume wakioa dada zao. Hivyo nashindwa kujua kama upo...
1 Reactions
82 Replies
12K Views
Nini hupelekea Wanawake waliotalikiwa na Waume zao au kugombana tu na Wapenzi wao wa Kiume huwa ni rahisi mno Kutongozeka? Nawasilisha.
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Habirin Wakuu.. Naandika Uzi Huu Kutokana na tabia ambazo nimeziona kwa wazazi wa kiume wengi hasa huku mikoani.. kiufupi nimekuwa nikikereka sana mambo hayo ni kama ; 1 mzazi kuwa mkali...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna binti nilimuomba awe Girlfriend wangu akakataa, alidai hataki mahusiano ya kawaida labda kama ni uchumba. Nilimjibu siko tayari. Niliamua kumpotezea, tunaonana mtaani, wakati mwingine...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Habarini Wana JF Kwa Heshima kabisa nimeamua kuanzisha uzi huu ili tujaribu kufahamisha love quotes ambazo wana jamvi tuna zi appreciate.. Mm Naanza Na Quote Hii "To love is nothing and to be...
0 Reactions
8 Replies
939 Views
Jana mpenzi wangu aliniita kuchukua hela niliyomkopesha. Ilikuwa tsh 100,000. Nilikaa kidogo, baada ya kunipa hio hela nikaondoka. Baadae jioni, masaa ma4 hivi akanipikia kuwa ameibiwa hela na...
0 Reactions
91 Replies
6K Views
Habari zenu wadau! Ningependa kufahamu baadhi ya wanawake kuwa na tabia ya kutowaambia watoto wao baba yao ni nani. Hii ninaieleza kwa muktadha wa kwamba inatokea umezaa na mwanamke lakini ikawa...
0 Reactions
68 Replies
6K Views
Habar ya jion wakuu,ni takriban mwezi umepita,baada ya kufahamiana na huyu binti kwenye mtandao wa kijamii (Facebook). Cha ajabu tumejikuta tumeanzisha mahusiano na hatimaye kubadilishana namba...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Jamani nyie wanawake mliokua kwenye ndoa (MKE/WAKE) mnakua na matatizo gani kuwanyima wenza wenu papuchi? Mtu amehangaika za kuibia nje we toka ujana wake na kadhalika hasa kamua kutulia kaja...
2 Reactions
59 Replies
17K Views
*KWA MNAOTARAJIWA KUOLEWA NA MLIO OLEWA* Yeremia 31:22-"Hata lini utatanga-tanga, Ee binti mwenye kuasi? Kwa maana Bwana ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanaume". Fuata au fanya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndoa nyingi zipo mashakani kwa sababu manung'uniko, hasira, kutovumiliana,kufoka,kutukanana,kutoaminiana, kuwaziana mabaya badala ya mazuri, kujikweza kwa majivuno yasiyo na maana, kunyimana...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Natural tingz: 1.Nywele halisi zibanwe nyuma tu. 2.No full time makeups, ngozi iwe free. 3.Chura awepo proportional to thighs. 4.Akiwa na mdomo mdogo its A+ wenye lips nene kidogo. 5.Kapua...
7 Reactions
86 Replies
7K Views
Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye KAMILI maana tupo aina tofauti tofauti,,. 1. Ukimpata handsome,,kichwa yake ni empty. 2. Ukimpata genius...yuko serious masaa 24 na wengi huwa...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom