Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
209.6K
Threads
7.5K
Posts
209.6K

JF Prefixes:

Haya mapenzi kweli ni shida. Nakumbuka kitambo kidogo nikiwa A level sekondari moja ya bweni mkoani kaskazini huko. Ikatokea nilivutiwa sana na head girl. Alikuwa mzuri. Hope bado mzuri. Asubuhi...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Wakuu ni vipi?? what is your checklist when choosing a wife material, what do you look at?
1 Reactions
70 Replies
8K Views
Habari za usiku ladies and gentlemen, Ni matumaini yangu kuwa mko salama kiafya, kiroho na kimwili. Bila kuzunguka sana ngoja niingie kwenye hoja mara moja. Ni kwamba kwanini wanawake wengi...
2 Reactions
118 Replies
7K Views
HABARI NDUGU WANA JF...Kuna jambo ambalo nimelifanyia utafiti wa muda lakini majibu sijapata kwa wahusika yenye kuridhisha. Kuna mitandao ya jamii na applications mbalimbali ambazo zinaruhusu...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Pengine usipokuwa makini huwezi kujua iwapo ninyi wawili (Mke na Mume) ni mwili mmoja. Mke ana kazi nzuri na mume nae mungu kamjali. wote mna msahhara ambao unalingana kama si kukaribia...
3 Reactions
22 Replies
6K Views
Upo nyumbani kwako umepumzika,ni wikiendi au sikukuu kama leo.una mipango yako binafsi labda unataka kulala tu siku nzima au kutoka na mkeo/mumeo bf/gf so mnavuta vuta mda hivi.... ghafla bin vuu...
18 Reactions
308 Replies
21K Views
  • Redirect
Ex Aliyeolewa Anapokuomba Pesa Mods: Delete this thread, above will be used.
0 Reactions
Replies
Views
Kwenye mahusiano ukiwa na hasira hauwezi furahia ndoa/mahusiano na ukiwa na wivu unakuwa mtumwa wa ndoa/Mahusiano ukitaka kufurahia ndoa/mahusiano wewe kuwa mjinga ili uwe mwerevu ..kuishi na...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wakuu Naomba niende moja kwa moja kwenye mada wazoefu naombeni msaada kuna demu kila siku napanda nae dala dala tunashuka kituo kimoja nimetokea kumpenda kinoma leo nikamsalimia akajibu...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
  • Closed
Ndugu wanajamiiforum naomba sifa za wanawake wa Kinyiramba nataka kuo huko =================================================== Black Angel Ndugu wana jamvi niwasalimu katika jina la yeye...
0 Reactions
109 Replies
60K Views
Waungwana na wakubwa wenzangu,habari zenu...? Jamani Mimi nina Swali nataka kuuliza wakubwa wenzangu...kwa Maana nikipita huku nasikia mechi uwanjani watu 11 wapo ndani wanacheza uwanjani,lakini...
3 Reactions
72 Replies
5K Views
Nimeshuhudia mada nying zikilalamika kua wanaume wamekua wadhaifu Aisee mm hua naamin wanawake wao ndo wamekua sababu 1. Unakuta mke/demu mostly anampikia/anamuagizia mumewe viepe halafu anakua...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Kuna taasisi ya afya ya marekan inayoitwa ATTN jana tar 17.june. 2017 imetoa taarifa ya utafiti km inaeleza hapa chini Kwa kikwetu ni sawa na kwa mwanaume kuepuka saratani ya tezi dume...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Jamaa yangu mmoja ana mgogoro na mke Wake takribani Week tatu, walichangia yeye na wife wakanunua gari la familia harrier moja bomba sana. Sasa tatizo limekuja wife anataka ajue kuendesha ili...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Hi Jf, Leo kwenye kijiwe cha kahawa kulikuwa na mjadala wa kuoa binti yatima kamili.Tumejadili mpaka nikafurahi eti ukimpata huyo atakuwa wa milele, adhana ikakatisha mjadala. Je great thinkers...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
http://www.luckymojo.com/rattle-viper-sperm-incense-salt.jpg Inawezekana kabisa kuwa hii ikawa mada ya kushangaza mno kwako lakini ni kwakuwa hukuwahi kudhani wala kusikia juu ya hili jambo lakini...
8 Reactions
89 Replies
17K Views
Mara sijui ukila chips unakuwa huna nguvu za kutosha,mara sijui usipokula dona hutakuwa na nguvu za kutosha...kazi kudanganyana tu.Kijana unakuwa mzembe mzembe halafu unasingizia vyakula......kazi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Closed
Wasalaam! Nianze moja kwa moja kwenye mada. Ni kweli maisha ya sasa ya mahusiano na ndoa kwa ujumla hapo tete sana. Sasa wanawake wenzangu, si vibaya tukakaa chini na kufikilia nini chanzo...
131 Reactions
2K Replies
91K Views
Kuna ka tabia flani tunako baadhi ya watu yaani ukitokea umepata pesa basi unaanza kumtafuta mpenzi wako wa zamani au uliyeachana nae....... Pesa zikikuishia na mapenzi yanaisha lakini...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Inakuaje hii, demu apokei simu wala kujibu text baada ya kumtia sound Kuna demu flan nimemuelewa kinyama hapa kitaa. Nilijitahidi nikapata contact zake tukawasiliana na tumefahamiana vyema tu...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom