Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
209.6K
Threads
7.5K
Posts
209.6K

JF Prefixes:

Kama mnavyojua mke anabaraka zake kwenye familia na hata ukiangalia wote wanaofanikiwa ukiwauliza watakuambia wake zao wamewasaidia sana....pia nimechunguza kama huna malengo na msichana...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
ni baada ya kusoma story fulani hivi nimekuja kugundua asilimia kubwa ya wanawake (68%)hawana utu kabisa.. wanawake wengi katika ndoa zenye nafasi kifedha huishia kuzaa na wapenzi wao wa pembeni...
0 Reactions
85 Replies
6K Views
Habari wadau Ivi hamna mambo mengine ya kudiscuss zaid ya vibamia,remote, mabwawa na mashelli,..Tanzania tunaenda wapi,..
1 Reactions
15 Replies
993 Views
salaam kwenu wadau Pita pita yangu nimekutana na msichana wa nguvu sasa huyu msichana aliponiona akajua mimi ni kijimbuda kama aliewaacha huko kwao kumbe hapa amekutana na babu mbishi chuma...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Hizi ni swaga zetu kipindi kileeeee.... Kulikua na nyingi saaana, na Namba ya kumtokea demu ilikua tofauti kabisaaaa, kama vile kumshika matiti.. Hii ni kutokana na kutongoza kulikua kugumu...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Asalaam Jamani wapendwa,leo asubuhi nimepigiwa simu aunt yangu kajifungua hivo tunaombeeni mtusaidie kuchagua jina kati ya haya...
2 Reactions
64 Replies
8K Views
Wana JF, Mimi ni mgeni huku MMU uwa napita tu siku moja moja! Leo nimepata nafasi na mimi kuchangia huku, kuna jamaa yangu tunafanya nae kazi ni mtu wangu wa karibu sana kapatwa na mtihani...
1 Reactions
237 Replies
21K Views
MWANZO WA MAHUSIANO Jamaa mmoja alikuwa anapiga tempo shule fulani mwaka Jana 2016 baada ya kuhitimu kidato cha sita katika mchepuo wa PCB. Wakati akiwa shuleni hapo alikaona matoto kazuri na...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
..ndugu wana jf ..ni kweli dunia imebadilika sana ....nashangaa jamaa angu alioa mke mzur sana mapenz yao mubashara lakin tabia za mwanamke yule ni chafu ana dharau ..hapend wagen..anajiona yeye...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Wanajanvi heshima zenu! Kutokana na vituko maumivu usaliti na mateso tunayopata wanawake katika mapenzi nimekuwa kila mala nikijiwazia laiti ningekuwa mwanaume mahusiano yangu ningeyafanya mfano...
3 Reactions
83 Replies
5K Views
Wakuu habari, Kuna mrembo kanambia ni old ways za kutongoza kiukweli nimejishangaa sana kwani old ways zikoje wakuu. Sent from my HTCD200LVWPP using JamiiForums mobile app
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu Leo ninayo mambo machache ya kuweka wazi,Mambo hayo ni pamoja na suala zima la kuoa.Pamoja na faida nyingine nyingi za kuoa nimeona kwa upande wangu huu ni muda muafaka wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni kijana mwenyewe 25 mweupe na awe na kazi yake km upo tayari haya twende Pm/inbox nipo dar es salaam kama kweli yupo na mkweli aliye serious basi tupia no yako hapa soon nakupigia..elimu yangu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mke mwema anatoka kwa Mungu na kuna njia nyingi sana ambazo Mungu anatupeleka kwa wake wema ivyo tusiwe wabishe moja ya njia ni kuachwa na mchumba wako
1 Reactions
8 Replies
3K Views
1:Umelala home wengine sijui wamekosa usingizi wanataka muamke wote hapa ndipo hutamani niishi nyumba ya peke yangu, sipendi kuamshwa au kuongeleshwa ongeleshwa nikiwa nimelala. 2:Kupigiwa simu...
7 Reactions
162 Replies
8K Views
Hiki kitu huwa kinanishangaza sana hasa kwa sisi ' Wanaume ' pindi pale tunapokuwa ' tunawatongoza ' hawa Mademu zetu. Hivi kama kumbe lengo lako ni ' Kumbandua ' tu ( Kufanya nae Mapenzi ) sasa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mambo wana jf hope mpo wazima nina tatizo naomba ushauri, nina demu nimemtoa dar kumleta songea ... Yani huku mimi ndio baba na mamake kwa kila kitu... Nilipata safari ya wiki mbili kuelekea...
1 Reactions
87 Replies
5K Views
Mara nyingi kuna Kero kubwa sana huwa inajitokeza hususani kwenye ndoa za vijana .. Kuna mambo vijana sisi bado hatujajua hususani kwenye ndoa Zamani enzi wa babu zetu mabinti walikua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za mda huu wana Jukwaa pendwa la MMU. .. Wacha niende direct kwenye mada Kuna katabia fulani kwa baadhi ya wazazi kwamba utakuta wanakuchimba biti mtoto wa kiume kuwa ole wako ulete mimba...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Lugha 18 za hatari 1)Sina mtaji - 2)Sina Connection 3)Nitaanza rasmi kesho 4)Mimi ni wa hivihivi tu 5)Mifumo mibovu ya Serikali ndiyo inayonirudisha nyuma 6) Mke/mme/ndugu zangu Ndiyo...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom