Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
209.6K
Threads
7.5K
Posts
209.6K

JF Prefixes:

Wanajukwaa, Kwanza nichukue nafasi hii kuwakumbusha ndugu, jamaa na marafiki kwamba, ni vyema tukajua ni wapi tuchore mstari wa mwisho unapojadili mambo yasiyo kuhusu, especially yanayogusa hisia...
13 Reactions
38 Replies
2K Views
Habari wana jf! Wote tunatambua mahusiano ya mapenzi yana changamoto nyingi lakini kubwa kuliko yote ni la kuchepuka,haya ni baadhi ya maneno nisiyoyapenda mwanamke wangu ayatumie kujitetea pale...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nataka nisuke crotchet matata,salun gani iko poa kwa hapa town(Mwanza)
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Kisa umezaliwa Rufiji, mama anapata na ugonjwa wa moyo kujua mtoto wake anatoa Rufiji. Jamani sikuomba kuzaliwa Pwani na mtoto wako abapenda haya mahanjumato na vitobosho ninavyomuandalia. Mama...
5 Reactions
29 Replies
4K Views
Habarini wa ndugu, Mimi ni mwanaume mwenye mke na mtoto mmoja. Tumeishi takribani miaka minne pamoja bila kufunga ndoa kwa sababu ya utofauti wa dini. Mimi ni mkristo na yeye muislam...
4 Reactions
93 Replies
6K Views
Najua Bado sijakuoa ila Nina uhakika wa Kukuoa Kwa Mapenzi yake Mwenyezi Mungu! Ulikuja Katika Maisha yangu wakati ambao nahitaji mapenzi ya mwanamke kwa kiasi kikubwa! Ni wewe uliyerudisha...
11 Reactions
55 Replies
5K Views
Niende moja kwa moja kwenye mada, Mimi ni kijana wa kiume ninasoma chuo flani hapa Tz nina miaka 24.Nikiri kwamba niliishi maisha ya woga miaka yote ya maisha yangu. Hii ilipelekea kuharibu...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Amani iwe nanyi wakati wte Hakyanani hivi kwann mada zilizo nyingi zinazoletwa huku niza kukosoa na kunanga wanawake? Utasikia oooh wanawake wananuka midomo Wanawake wananucha nyuchi zao...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Akizungumza pamoja na Daktari mwenzie katika Kipindi maalum kinachorushwa na The Doctors tv huko Mamtoni / Ulaya Daktari mmoja na ambaye pia ni Mtafiti wa magonjwa ya akina Mama Kitaalam wanaitwa...
10 Reactions
56 Replies
24K Views
Habari za jumapili nyote, Kwa majina naitwa Kasinde aka Kasie aka nyonda ake dadii heheheh. Naanza na tabasamu maana ndo lililojaa usoni. Iko hivii...... Leo asubuhi kwenye saa moja na nusu...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Ndo maana baadhi ya makabila yalijishtukia yakawa yanakeketa wanawake Hii ni kuwafanya wasigundue udhaifu wao
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Salaam wakuu wa idara zote, Kama kichwa kinajieleza, Mada ni muda gani sahihi wa kumchunguza mtu hadi unakuja kuwa na mahusiano nae ya kimapenzi? Pia ni muda gani baada ya kuwa nae katika...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakuu za mizunguko ya hapa na pale, niende kwenye mada. Miaka kadhaa nikiwa bado chuoni, ilikuwa majira ya usiku nilipokea text kutoka namba nisiyoifahamu, nikaamua kuipigia ili kuondoa utata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hizi ni sifa kuu ambazo mwanaume anatakiwa awe nazo ili kudumisha mahusiano au ndoa yake na mpenzi wake .Figa la kwanza Must be good in bed yaani umrizishe mwenzi wako kimapenzi. .Figa la pili...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
What's really good JF MMU massive..?? I hope y'all's weekend is off to a great start as is mine's. I'm having a bang-up time in these neck of the woods. It's been a minute since the last time I...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Kuna walioni- save kwenye simu zao kama "shosti". Kuna walioni-save kwa majina ya kike. Kuna wake za watu ambao wamethubutu mpk kunikaribisha makwao na kunitambulisha kwa waume zao kama " mtunza...
2 Reactions
102 Replies
8K Views
Hope mmekuwa na j2 njema Wadau niko kwenye ndoa mwaka wa tano sasa. Hatujabahatika kupata mtoto na wife. Katika hili sijaona shida kubwa kozi tunamwamini Mungu, tunaimani siku moja tutapakata...
2 Reactions
10 Replies
832 Views
Binafsi swala hili linanichefua yaani unakuta mdada katumia mkorogo anio ang`aa kama nyanya iliyoiva, utashangaa akigeuka mgongo mweusi kama mkaa, makalio ndio usiseme meusi kuliko black wa...
8 Reactions
68 Replies
8K Views
*KITU USICHOKIJUA ,,,,,unapiga picha ktk majengo mazur,magar mazuri,,umevaaa vizur ,,maeneo ya kujidai,,,,kwa kufanya hivyo unawachanganya malaika wanaogawa riziki maan wanajua umeshafanikiwa...
0 Reactions
6 Replies
732 Views
Sorry team nnaomba ushauri Nina girl ambaye tumedumu almost miaka 4 Hapo mwezi wa 3 alisafiri kwenda Mwanza Ikumbukwe kuwa wakati anaondoka hatukusex kama miezi miwili Ikawa kila alipokuwa na...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Back
Top Bottom