Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
209.5K
Threads
7.5K
Posts
209.5K

JF Prefixes:

  • Sticky
Wengi wetu humu tunalea ama watoto wetu ama watoto wa ndugu jamaa na marafiki. Tumekuwa na mada maalum nyingi za mambo tofauti kama urembo magari simu n.k. lakini hatujawahi kuwa na mada hii...
148 Reactions
1K Replies
276K Views
  • Sticky
Salaam sana Wakuu Inavyoonekana siku hizi japo kweli kuna tatizo la upungufu wa nguvu za kiume haswa kwa mazingira ya mijini, Lakini hili tatizo linaonekana kukuzwa kuliko lilivyo hadi...
97 Reactions
1K Replies
835K Views
Huyu kijana tulidate kama miezi 2 tu nikamuacha tumwite chris,, sababu nilikuwa na mpnz wangu ambae alikuwa nnje ya nchi kwa wakati huo… sikupanga kumcheat ni ile tu sikuwa na uhakika na huyo mpnz...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Mambo ya tabia na mazoea mbofu mbofu utapigwa na mumeo mpaka ujirekebishe. Habari ndio hiyo.
1 Reactions
2 Replies
41 Views
Ndugu wanaMMU, naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Baada ya kuona idadi ya single mothers inazidi kuongezeka kila kukicha, nimeshawishika kufungua uzi...
3 Reactions
29 Replies
177 Views
Shalom, Ninawajibu wa kuwapa taarifa, kuwasanua, na kuwakumbusha kuhusu umuhimu wa kuyaenzi mapenzi katika namna yenye ubora, tija, yenye kuacha Alama ama Legacy katika mapenzi. Unapoingia...
2 Reactions
11 Replies
233 Views
Ingawa neno “uchumba” halipatikani katika Bibilia, tumepewa kanuni kwamba Wakristo wanastahili kupitia kabla ya ndoa. Kanuni ya kwanza ni kwamba ni lazima tutafautishe mtazamo wa dunia kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
13 Views
Kaka zangu..... Hebu kabla hatujalala tuambiane kakitu. Kuna wanawake Mungu amewapa tu akili nyingi. Yaani naturally tu ana akili sana, ana mawazo ya mbali sana, ana upeo mkubwa, amekomaa...
3 Reactions
9 Replies
100 Views
Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa...
11 Reactions
91 Replies
2K Views
Ambitious men and womens, hutake full control and outhority over electronic gadgets, mathalani smartphones, tablets, computers etc. Focus, commitments and full concentrations ni kwenye activity...
0 Reactions
2 Replies
79 Views
Mwanamke mswaki wake ni mwanaume, Mwanaume ndio mswaki pekee wenye radha yake uliotengenezwa ili kumsukutua mwanamke. Hata ukitumia kitu kingine huwezi kupata radha kama ya mswaki halisi. Ile...
5 Reactions
93 Replies
650 Views
Habari zenu wakuu, Ndugu sio kama marafiki, ndugu atuchagui ila tunajikuta wapo kwenye maisha yetu tu. Ndugu ni kiungo muhimu sana kwenye maisha ya kila mtu hasa pale anapokuwa chanya kwako. Kwa...
3 Reactions
3 Replies
77 Views
Kifupi mimi ni team kataa ndoa, nilishakuwa huko mwisho wa siku nikaona ni UBATILI tu! Mechi za hapa na pale huwa zinachezwa, maana wadada wa mjini cha msingi ni hela yako tu! Sasa kilichotokea...
11 Reactions
32 Replies
598 Views
Umuhimu wa kumuombea mume wako Kumuombea mume wako ni muhimu kwasababu unapomuombea mumeo ni kama unajombea wewe. Mafanikio ya mume wako ni ya kwako pia Unapomuombea mumeo inaongeza na kukuza...
1 Reactions
3 Replies
57 Views
Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile. IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa...
13 Reactions
204 Replies
3K Views
Haya jamani, Kuna kampeni inatembea duniani inaitwa self love. Wale watafsiri wa lugha sanifu ya Kiswahili waje watuambie, self love ina maana gani? Kama una picha weka.
9 Reactions
83 Replies
762 Views
Wakuu itifaki imezingatiwa Katika harakati za mahusiano na mapenzi kuna kitu kimenishinda mpaka najiuliza mnaofanya hivi mnaajenda gani muda wote mnawasiliana Hivi mwanaume mwenye majukumu ya...
17 Reactions
96 Replies
2K Views
Nawasashuri tu vijana mnaojitafuta msidhani kwamba ukimpa kila kitu Pisi kali ya mjini ndio inakukubali. Ikikaa pembeni na mashoga zake inakusema we ni Mshamba tu. Sasa unakuwaje mshamba wakati...
9 Reactions
29 Replies
783 Views
Onyo: video hii ni yakuogofya hatutohusika kwa mfadhaiko wowote utakaokupata Ndugu zangu leo sina mengi nipo na hawa viumbe wapenda wadada wa kazi na wao kazi yao kufuga kucha na kusuka minywele...
3 Reactions
29 Replies
953 Views
Kumekuwa na kasi kubwa ya wanawake wengi hasa mijini kukosa nguvu za kike, nao moja tu uaanza kulalamika eti amechoka na visingizio kibao mara amechoka,mara anamaumivu mara anamawazo na n.k Nini...
4 Reactions
43 Replies
716 Views
Umepanga mahali, halafu kila siku unaona Mpangaji mwenzio anaingiza Malaya ndani kwake. Unajisikiaje wewe kama Mpangaji? NB: UNA MKE NA WATOTO.
4 Reactions
31 Replies
971 Views
Back
Top Bottom