Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Natafuta mke/mchumba; 1. Awe na miaka 25-36. 2. Awe amesoma atleast Degree na kuendelea (masterz, PhD). 3. Awe kajiajiri au muajiriwa. 4. Dini yeyoye na asiwe na misimamo mikali ya dini. 5. Awe...
7 Reactions
100 Replies
3K Views
  • Redirect
Wana ndoa,ubunifu kwenye sex ni nguzo wa ndoa yenu.Fanyeni kila mbinu,mradi msifanye kwa mpalange,ila mengine fanyeni bila woga
0 Reactions
Replies
Views
Habarini humu waungwana! Mimi ni mwanaume, natafuta mwanamke tujenge mahusiano, kama mambo yataenda vizuri tuoane panapo majaaliwa mwakani. Kwa sasa nipo nje ya Tanzania hivyo ni ngumu huku...
1 Reactions
11 Replies
415 Views
  • Redirect
Kwa wale mnaotafuta wachumba ili muone,msitafute wachumba mnaofanana kila kitu,hamtafanikiwa.Jambo la muhimu weka sifa zako za mchumba kwenye asilimia,na ukimpata anayefikia 30% tu,basi huyo ndio...
0 Reactions
Replies
Views
Habari za Kazi, Mimi ni mwanaume mwenye umri 40+. Natafuta Mchumba baadae aje kuwa mke, nahitaji sana watoto kwa sasa. Tafadhali naomba binti ambaye yuko tayari kuwa na mimi aje PM, umri...
11 Reactions
46 Replies
2K Views
  • Redirect
Kwa wale wote ambao wanatafuta wenza, hasa kwenye nyuzi nazofungua mimi nawaomba tafadhalini sana, acheni mzaha, kama huhitaji mwenza basi tulia, acha wale wenye shida waje, wewe unanifata na...
2 Reactions
Replies
Views
Habari ya wakati huu! Natafuta mpenzi ambaye baadaye ikimpendeza Mungu atakuja kuwa mume na baba watoto wetu. Sina vigezo vingi. Awe mcha Mungu(mkristo), umri kuanzia 32yrs hadi 40yrs, Single na...
21 Reactions
153 Replies
7K Views
Nipo Dar natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke wangu na sifa kubwa awe mnene na mwenye mapenzi ya kweli na kujiheahimu na Sina ubaguzi wa kabila Wala dini na aliye tayari tuwasiliàne Kwa namba...
1 Reactions
4 Replies
329 Views
Kama unajijua haujazidi miaka 22 jongea inbox, nipo serious, uchumba badae ndoa. Rangi yoyote, lakini akiwa Mweusi itapendeza zaidi Elimu yoyote, ila kam umeishia 4m4 utapewa first priority...
8 Reactions
75 Replies
2K Views
Mimi ni mvulana mwenye umr 24 natafuta mtu msichanà alie na 20 yrs ni Pm kama vp sifa awe na tabia njema ............
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Natafuta wa mwanamke wa kuchati nae ukiwa safi nicheki 📥 nikupe namba it real bored here. Mimi ni late 20's, nipo DSM, Open minded and So. Ukuwa na upright wa 20's being good, ukuwa DSM impressive...
0 Reactions
2 Replies
206 Views
Hello dears, baada ya kutengana na mwenzangu upweke umenishinda kwakweli nimeona nitafute mtu wa kuwa nae karibu na kushare Mambo ya ndani. Mimi; Ni mwanamke wa miaka 38 Brown skin tone Mkristo...
33 Reactions
226 Replies
7K Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri ya miaka 35. Naishi Dar es Salam, ni muajiriwa wa moja ya taasisi ya kiserikali. Natafuta mchumba alie komaa kiakili, hapa namaanisha mwenye muono chanya wa maisha ya...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi ni Msichana mwenye miaka 26, mkazi wa Dar es Salaam Lakini kwa sasa nipo Arusha kikazi. Natafuta mwanaume ambaye yuko tayari kutulia na kuianza safari ya ndoa. Vigezo awe anajishugulisha...
17 Reactions
181 Replies
8K Views
Ndugu wanabodi, Lejea kichwa Cha habari hapo juu. Mimi nina umri wa miaka 38 yrs old Elimu. Diploma holder Kazi. Biashara Eneo. Rock City (Mwanza) Dini. Christian Nina mtoto mmoja ingawa Sina mke...
3 Reactions
2 Replies
510 Views
Naitwa Abuubakari mkazi wa Dar es salaam Nmeajiliwa Natafuta mchumba ambae nitafunga nae ndoa, Sifa awe na Umri kuanzia 20-28 Muislam Mawasiliano zaidi 0759565300
0 Reactions
4 Replies
292 Views
Habari, Mimi ni mkazi wa Dar es salaam Umri - 33.6 Kazi - Ajira/biashara Dini - Mkristo Elimu - Masters Rangi - mweusi na mrefu kiasi Mtoto - Sina mtoto Natafuta binti Umri - 24 hadi 29 Kazi -...
2 Reactions
5 Replies
378 Views
siku chache zilizopita nilipost a thread kutafuta “Love&Companionship” nimepata some PM bahati mbaya hazifunguki nimereport tayari. ila nimeobserve vitu kwa kiasi fulani vimenipa kutafakari...
15 Reactions
17 Replies
607 Views
Vigezo Awe na 38-45 Dini yoyote Awe na shughuli nipo serious nimechoka kukaa single aliyeserious aje pm Mimi Umri 30 Ninajishughulisha Nina mtoto Naishi Dar Mengine tutaaambizana
12 Reactions
81 Replies
3K Views
Back
Top Bottom