Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Wanajamvi bila kuwapotezea muda, nina miaka 38 sijawahi kufunga ndoa, najitokeza katika jukwaa hili kutafuta mke wa kuoa, sifa za mke ni mtakaye; 1. Awe anakaa Dar 2. Awe na rangi, ila siyo...
1 Reactions
13 Replies
575 Views
Uwe mkristo Uwe una shughuli ya kufanya Usiwe na mtoto Miaka kuanzia 25-30 Uwe unaishi Dar Uwe mpambanaji Uwe unajua kupika masotojo Nipo serious natafuta mke njoo Dm
3 Reactions
17 Replies
421 Views
Mwanamke mwenye nia na hitaji la kuolewa aliye na umri kati ya miaka 38 - 48 anahitajika. Awe na kazi inayomuingizia kipato na mwenye elimu ya kuanzia Diploma na kuendelea. Nina kazi, elimu...
1 Reactions
8 Replies
485 Views
Sifa Zangu Mm n wakiume [emoji1] Mkristo Nimejiajiri- (IT) Sifa za Mchumba ×2 Awe wa Kike Umri From 19-25 Dini Yeyote Aishi Dar es Salaam Vingine Tutaviongea [emoji120] Njoo inbox Tuyajenge...
3 Reactions
37 Replies
737 Views
Bila kuchoshana kama tangazo linavosema hapo juu Natafuta mpenzi wa kuchat nae na kujuliana hali hivo vingine tutapanga baadae kama penzi likinoga Masharti:awe mwanamke basi inatosha
9 Reactions
46 Replies
936 Views
Mwanamke awe na umri kuanzia miaka 20 na kuendelea. Asiwe na akili ya kitoto awe ni muelewa ambaye tunaweza panga jambo akaelewa na akafuata. Makubaliano Nitatunza mtoto Nitahudumia Mtoto...
12 Reactions
112 Replies
3K Views
Habari. Mimi ni kijana wa Kitanzania, umri wangu miaka 33, dini mkristo KKKT, naishi Dar es Salaam, nimejiajiri. Nahitaji mpenzi ambaye lengo letu kuu ni ndoa mwakani tukielewana. Vigezo vya mke...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Awe muislamu Umri 20-30 Hajawahi kuolewa kama ana mtoto asizidi mmoja kabila lolote lile. Elimu kuanzia kidato cha nne kuendelea. Sifa zangu Umri 33 Mtumishi serikalini Sijawahi kuoa Mengine...
1 Reactions
14 Replies
388 Views
Habari zenu Jukwaa Hili Ombi langu ni ninahitaji mke atakayekuwa tayari kuishi nami. Sifa zangu. Umri :35yrs Elimu: Shahada Kazi : Biashara, Mkulima na mfugaji Rangi: (wanaita maji ya kunde 🥸)...
1 Reactions
15 Replies
459 Views
Habari wadau. Kuna hali inanitokea inanishangaza sana, nimekua na hamu na ndoa ghafla since mwaka jana. cha kushangaza sasa sijui namuoa nani na nipo 35 yrs. Wanaume tunatumia nguvu kubwa...
8 Reactions
56 Replies
2K Views
Habari wana ndugu mimi ni kijana wa miaka 32 naishi dar es salaam ,mkristo na nimejiajiri natafuta mpenzi alietayari kuwa mke, vigezo asiwe na mtoto zaidi ya mmoja awe tayari kwa ndoa mwakani.
4 Reactions
27 Replies
1K Views
I am single christian woman of 29 yrs, employed and chagga by tribe looking for a single christian man ageing 33 - 35 to develop a relationship with and eventually hatch into marriage ,preferably...
5 Reactions
41 Replies
4K Views
Jamani mwenzenu imenikuta mara nyingu sana toka niweke thread ya kutafuta mchumba, si mimi tuu hata rafiki yangu James wa JF kakutana nalo, unakuta umeweka hiyo thread then wanaume kibao wanakupm...
3 Reactions
180 Replies
35K Views
Wadau hope mko poa, Kama mada inavyosema, natafuta mwenza wa kuanza nae mahusiono then badae tuje kuwa wamoja. Sifa zangu: Mrefu wa wastani, maji ya kunde. Nimeajiriwa Sekta Binafsi( Finacial...
6 Reactions
34 Replies
961 Views
I am a man of 30 yrs, looking for a woman aged 20 up to 28 years to establish a relationship that would lead to marriage... I dont have too many considerations. Just PM me and get to know each...
3 Reactions
10 Replies
470 Views
Nina changamoto ya kushindwa kutoka nje yaani nakaa ndani sana nikitoka mjini mara moja au kwa shida maalum. Sasa nimeambiwa hili tatizo litaniletea madhara!!Hivyo nahitaji rafiki yeyote wa...
2 Reactions
53 Replies
1K Views
Hello, Mimi ni binti wa miaka 24 natafuta mume awe mtu wa makamo umri 40 mpaka 50 awe mnene kiasi sitaki mwembamba napatikana arusha sakina asiwe mfupi. Mimi ni mweupe kiasi nina hips kiasi na...
33 Reactions
204 Replies
11K Views
Jinsia Ke, Rangi maji ya kunde, Miaka 27 Nna mtoto mmoja, Nimejiajiri huduma za Afya, Natafuta mwenza wa maisha, Awe maji ya kunde na mrefu , Umri 32-35, Awe muajiriwa kada ya Afya au amejiajiri...
5 Reactions
53 Replies
2K Views
Ninaumr wa miaka 34 ,ni muajiriwa NGOs Nina mtoto mmoja ,mrefu kiasi Sina gari,Sina nyumba nimepanga naish dsm Kama unajua unataka kuolewa na unaumri 27 yrs nicheki, ila uwe na vigezo hivi; 1...
4 Reactions
56 Replies
15K Views
Wanawake wa JF, Husika na mada tajwa hapo juu. Waziri Mkuu anahitajika kwa minajili ya kuisimamia serikali ili kuleta amani, upendo, furaha na maendeleo ndani ya familia ambayo Mungu atatujalia...
5 Reactions
23 Replies
648 Views
Back
Top Bottom