Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi kwa jina naitwa Idd Kilele umri wangu ni miaka 24 naishi Kimara Dar es salaam awe anajua kusoma na kuandika na awe ana mapenzi ya kweli ivo 2 Kwa mawasiliano zaidi 0766935145
1 Reactions
45 Replies
5K Views
Wakuu mi ni kijana nisiyeweza kuweka privancy yangu hapa. Ila namtafuta msichana ambaye akicoment naona id yake ina zaidi ya miaka 3 JF halafu bikra. nasubiri wenye vigezo, hahaha zaidi ya...
0 Reactions
114 Replies
7K Views
Habari zenu wana jukwaa,mimi kijana wa miaka 21,nimejiajiri natafuta mchumba wa kiislam ambae atakuja kua mke wangu umri wake ni 18-24,awe anaejielewa na mchapa kazi kama ukijiona unazo sifa...
0 Reactions
2 Replies
905 Views
Habarini wadau. Hii ni mara yangu ya kwanza kupost hapa kwenye jamvi nia na madhumuni natafuta mume, mimi ni mwanamke wa miaka 31 naishi arusha nina watoto 2. Natafuta mume kuanzia miaka miaka 35...
3 Reactions
56 Replies
6K Views
Natafuta mwanamke age between 19-30 niko tayari kufanya lolote...chochote kwa ajiri yake awe tu mwenye msimamo na mwenye mapenz ya kweli na awe na wivu wa maendeleo na mwenye future vision me...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana jf, hili bandiko ni la kitambo sana kwa maana hiyo halina matumizi tena. Asanteni sana kwa comments zenu.
3 Reactions
146 Replies
19K Views
Hi
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Aslaam alyeiku,kwanza naanza kwa kumshukuru Allah kwa uzima aliotupati,Kisha kuwashukuru wote mtakao changia mada hii,kikubwa ni kujenga na si kubomowa. Nimejitokeza Mbele ya kurasa hii nia ni...
3 Reactions
46 Replies
5K Views
habari zenu wapendwa nadhani si mara yangu ya kwanza kujitokeza mele yenu na kuomba ombi hili,nakumbuka hii ni mara ya tatu, nia yangu ni kupata mpenzi wa roho,mwanaume tutakae match...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wa kuu, samahan mm nina maswali yafuatayo ninaomba nielimishwe hivi ni yupi anaepaswa kulipia gharama(mahari,pete ya uchumba,nauli ya kwenda na kurudi kama wanaishi mbali,na huduma ndogo...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Jamani mimi ni mvulana fulani natokea pande fulani. Natafuta binti wa kubadilishana mambo kadhaa. SIFA ZAKE. *Awe amepitia kwenye maswala ya mapenzi. *Awe tayari kuulizwa swali lolote, nami...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF,Mimi ni mwanamke mkristo,mwenye umri wa miaka 33, ninaishi moshi lkn ni mtu wa nyanda za juu kusini,Nina watoto 2.Natafuta mchumba ambae Mungu akipenda tutakuwa mume na mke,awe na...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Nahitaji mke kwa maana yandoa, nahitaji yule ambaye yupo tayari kwa hilo sio majaribio ya ndoa. SIFA : awe muislamu ,kuepusha migogoro ya kidini kwa maana ya kujakuhitaji kubadilishana dini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naombeni kujuwa jamani hivi kama mtu huna pesa unaweza kupata mpenzi akakupenda kwa dhati kweli bila visa vyovyote kama usaliti nk? Mimi sina pesa na sina mpenzi kila nikitaka kutongoza...
0 Reactions
81 Replies
6K Views
Heyys... natafuta marafiki wapya kabisa umri wowote kabila lolote ata wandorobo rangi yeyote ata kama wa njano dini yeyote uwe dsm sababu mim nipo dsm.ila ata kama upo moshi ni.vyema tu sababu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Natafuta mke awe muislam umri kuanzia miaka 20-25,mimi npo dar umri wangu miaka 21 alietayali an pm au tuwasiliane kupitia namba 0656899091
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 33 ninaishi na VVU natafuta mwenza ambaye naye ana VVU umri 33 had 40 mm ni mwajiriwa katika kampuni moja tafadhal nipo serious mimi natumia dawa na nipo na afya...
1 Reactions
51 Replies
8K Views
Hii
Looking for friends
0 Reactions
0 Replies
694 Views
[quote="sele199999, post: 11061189"]Mimi ni kijana umri 29, elim
0 Reactions
2 Replies
855 Views
Am christinah by name nipo mwanza
0 Reactions
146 Replies
8K Views
Back
Top Bottom