Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Natoa angalizo.. viongozi wa Kenya na other parasites mnajua kinachoendelea Eastern DRC we want peace and stability. Tunajua biashara yeyote inayofanyika kati ya E.drc , rwanda kwa sasa most of it...
2 Reactions
5 Replies
461 Views
Kenya na Toyota Tsusho Corporation ya Japani wametia saini makubaliano ya mfumo wa ushirikiano katika utengenezaji wa magari na maendeleo ya nishati mbadala. Makubaliano hayo yatawezesha Toyota...
0 Reactions
10 Replies
999 Views
Baadhi ya Vijana wamezuiliwa kushiriki katika zoezi la uajiri katika Shirika la Vijana la Serikali la National Youth Service (NYS) kwa sababu ya kuwa na michoro kwenye miili yao hata baada ya kuwa...
5 Reactions
89 Replies
2K Views
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kuhusu Matumizi ya Bajeti Zilizorekebishwa, imefunua jinsi serikali ilivyotumia bilioni 147 za shilingi bila idhini ya Bunge la Kitaifa...
0 Reactions
4 Replies
239 Views
Shirika la Umeme la Kenya Power limetangaza nafuu ya punguo la bei ya Umeme kwa Wakenya baada ya kupunguza tozo za tokeni katika ukaguzi wa hivi punde wa bei ya umeme. Katibu Mkuu wa Nishati Alex...
0 Reactions
2 Replies
340 Views
Kenya inaongozwa na mfumo wa kibepari huku tanzania tumepitia mfumo wa ujamaa.Cha kushangaza wenzetu Kenya ni wazalendo sana kwenye nchi yao hasa linapokuja swala la uraia au mtu anapoishambulia...
0 Reactions
26 Replies
973 Views
Kumbe Kiongozi anapopokea Madaraka na kukuta nchi ilikuwa inaliwa na mafisadi kila kona ni lazima kiongozi huyo aoneshe mbinu binafsi za kunusuru Taifa. Magufuli alikuwa haingilii Mahakama kabisa...
2 Reactions
2 Replies
445 Views
Rufiji Hydropower Project The 2,100MW Rufiji hydropower project is being built on the Rufiji River in Stielger’s Gorge, Selous Game Reserve of Tanzania. With a gross output of 5,920GWh, the plant...
4 Reactions
506 Replies
59K Views
Rais wa Kenya William Ruto Jumamosi amewalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe na rushwa kufuatia mlipuko mbaya wa gesi uliotokea jijini Nairobi na kuua watu watatu na kujeruhi wengine 280. Lori...
0 Reactions
3 Replies
520 Views
Watu kadhaa wanahofiwa kufariki katika kijiji cha Mradi, mtaa wa Embakasi, mjini Nairobi baada ya mtambo wa gesi kulipuka muda mfupi kabla ya sita usiku wa Alhamisi, na kuliingiza jiji katika...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mkenya mmoja anaeishi Ulaya kwene interview ameeleza kua waafrica wamelaaniwa. Nayy kuwa mweusi haimfanyi kusema ukweli kwamba waafrica wanalaaana Hii ndio maana katika nchi za waafrica hamna...
4 Reactions
34 Replies
1K Views
Marekani na washirika wake wanatumia shinikizo na nguvu laini kwa Kenya kuunga mkono vita dhidi ya Wahouthi nchini Yemen - na kwa kuongeza vita vya Israel huko Gaza - wakilenga kumaliza mfululizo...
1 Reactions
10 Replies
392 Views
A Mombasa court today sentenced a middle-aged Tanzanian woman to 45 years in prison for trafficking heroin worth Ksh 16,167,000. Principal Magistrate Hon. Martin Rabera found Maimuna Jumanne Amir...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
DRC imemuondoa barozi wake Nairobi baada ya kuituhumu Kenya kuhusika na kuwahifadhi waasi wa M23. Ikumbukwe pia kabla ya Kuyafukuza majeshi ya Africa mashariki DRC wanajeshi wa kenya hawakuweza...
6 Reactions
43 Replies
3K Views
Kwenu Wakenya?? Kenya water bodies Maziwa 1. Lake turkana 2. Lake victoria 3. Laki kisumu 4. 5….Ongoing list on picture below Bahari 1. Bahari ya hindi Mito 1. River Tana 2. River athi 3. River...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Bandari ya Mombasa imekumbwa na chnamogo kubwa ya msongamano wa meli kiasi cha watumiaji bandari hiyo kuwaandikia wateja wao na kuwapa tahadhari juu ya kuchelewa kupakuliwa kwa mizigo yao kwa...
5 Reactions
15 Replies
999 Views
KENYA: Idadi kubwa ya Wanawake wameandamana katika Miji 11 ya wakipinga kuongezeka kwa Vitendo vya Ukatili Dhidi yao yakiwemo Mauaji mfululizo yaliyoripotiwa kati ya Desemba 2023 hadi Januari...
0 Reactions
5 Replies
553 Views
Kenya yasema Ugonjwa wa Red Eye ulioripotiwa kusambaa kwa kasi nchini Tanzania na kuripotiwa Kesi zaidi ya 800 sasa umeyakumba maeneo ya Pwani ya nchi hiyo yakiwemo Mombasa na Kilifi Hadi sasa...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Back
Top Bottom