Kwanza niwapongeze wote ambao tumechangia na tunaendelea kuchangia mijadala inayolinganisha bandari ya Mombasa na ile ya Dar, na mjadala kuhusu TRA na KRA.
Katika mijadala yote hii ninawapongeza...
Jaji Mkuu wa Kenya David Maraga, amemshauri rais wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta, kulivunja bunge la kitaifa na lile la Senate, baada ya wabunge kushindwa kupitisha sheria ya jinsia kuhusu theluthi...
Local retailer Naivas has moved to occupy the space previously hosting South African retailer Shoprite at the Waterfront Mall in Karen, granting access to wealthy clients in the high-end estate...
Tanzania's wolf warrior diplomacy continues to win against Kenya
Tanzania continues to restrict free movement of labour across its borders
In Summary
• In the recent case, Tanzania on Wednesday...
Wadau, mtakumbuka kwamba Kenya ilizuia raia wa Tanzania na Somalia kuingia Kenya kama jitihada za kuwakinga wakenya dhidi ya maambukizi ya Corona.
Wakenya wanaamini kwamba Somalia na Tanzania...
Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari wametakiwa kuripoti kazini kuanzia Jumatatu ijayo ili kujiandaa na Shule kufunguliwa
Tume ya Elimu kutoka Taasisi ya Maendeleo ya Mitaala Kenya (KICD)...
Ni wazi kwamba kwa muda mrefu tumekua tukilinganisha na kutunishiana misuli kati ya Kenya na Tanzania kwa kulinganisha maeneo mbalimbali ya kimaendeleo, kisiasa, kijamii na kimichezo.
Sasa hivi...
UHUSIANO wa Kenya na majirani zake umeendelea kuharibika, baada ya Tanzania na Uganda kuungana na kuwaonya wavuvi wa Kenya waheshimu mipaka ndani ya Ziwa Victoria.
Kenya imeonekana kutii onyo...
This is a new Mosquito breeding pond in Nairobi
Sunday September 20 2020
By Brian Wasuna
More by this Author
IN SUMMARY
The building was expected to have been completed by the end of last...
Tuzo la Premi Internacional Catalunya(kwa kicatalan) au El Premio Internacional Cataluña(kihispania) ni tuzo ambalo serikali ya Catalonia, Uhispania, imekuwa ikiwatunuku watu tofauti tangia mwaka...
Apparently no road btn Juba and Nairobi/Lamu exists! Only LAPSSET noises exist!
MY TAKE
Tunaendelea kuimbiwa mara SGR Lamu to Juba mara SGR Lamu to Addis Ababa mara pipeline mara Lokichar...
Mtakumbuka kwamba mara kadhaa Macharia na Balala walisisitiza kwamba kamwe Kenya haipo tayari kuhatarisha maisha ya wakenya kwasababu ya kulinda uchumi na biashara. Wamekua wakisema maneno hayo...
Nyakati zabadilika kweli. Tanzania Uganda, na Rwanda zimeungana kuunda soko moja la hisa. Tumetoka siku za COW hivi sasa nchi za Africa mashariki zinaendelea kuitenga Kenya. Kenya imepoteza deals...
Baada ya Watanzania kupiga domo jana kuwa Tanzania haitaruhusu KQ kuingia humo hadi mwakani, Tanzania imeshindwa kungoja hata wiki moja ili kufunza Kenya adabu kama mlivyokuwa mkisema.
Yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.