Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Jamaa amejituma balaa hadi kuwabwaga washindani wenzake kumi waliokua wameteuliwa kupokea hiyo tuzo la mwalimu bora duniani. Atapokezwa kitita cha Kshs 100 million, hela ndefu sana hii...
11 Reactions
82 Replies
13K Views
Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Balozi Kazungu amezungumza na vyombo vya habari ili kuweka mambo sawa. Balozi kazungu amesema... Rais Kenyatta amenituma hapa, anasema Kenya haiiangalii Tanzania...
33 Reactions
341 Replies
25K Views
Madaktari wawili kutoka nchini Cuba waliotumwa kufanya kazi kwenye Kaunti ya Mandera kilomita 810 kutoka jijini Nairobi wametekwa nyara na washukiwa wa Al-Shabab katika mji wa mpakani wa Mandera...
0 Reactions
93 Replies
8K Views
On a Facebook post the President is said to have witnessed the destruction of contraband, counterfeit, and illicit products worth 1.5 billion shillings. Also before the destruction of said " 1.5...
0 Reactions
9 Replies
724 Views
Mahakama Kuu Kenya imesimamisha uendeshaji wa kesi ya ufisadi dhidi ya Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu. Mwilu amewasilisha ombi katika mahakam hiyo akiomba asijibu mashtaka ya ulaghai, utumiaji...
0 Reactions
1 Replies
870 Views
Uganda na Tanzania zaingia mkataba kurahisisha mahusiano ya kibiashara baina ya nchi hizo mbili. Nchi hizi zimekubaliana kuondoa vibali vya biashara kwa yabiashara wanaotaka kuingia ndani na nje...
1 Reactions
1 Replies
616 Views
Uganda na Tanzania zaingia mkataba kurahisisha mahusiano ya kibiashara baina ya nchi hizo mbili. Nchi hizi zimekubaliana kuondoa vibali vya biashara kwa yabiashara wanaotaka kuingia ndani na nje...
0 Reactions
0 Replies
474 Views
IN SUMMARY The plan targets innovators churning out digital solutions that address challenges and strengthen the continent’s digital economy. Nailab is set to work closely with the Jack Ma...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Petrol price to hit Sh130 as VAT charge kicks in FRIDAY, AUGUST 10, 2018 9:58 BY BRIAN NGUGI Nairobi motorists will pay a record Sh130.15 per litre of petrol or about Sh17.9 more beginning next...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Redirect
Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha ukanda wote wa pwani zimeleta balaa huko Kenya. Kuna bwawa likajaa maji kupindukia na hatimaye likapasuka. Wimbi la maji limewaua watu 20 na kujeruhi wengine 39...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Bweni la wasichana huko Kenya limeteketea kwa moto, Chanzo cha moto bado hakijajulikana. Mpaka sasa hakuna taarifa za aliyepoteza maisha. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom