Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

  • Sticky
Summary: The project will involve the following components:[2] A port at Manda Bay, Lamu Standard gauge (1,435 mm (4 ft 8 1⁄2 in)) railway line to Juba and Addis Ababa, the South Sudanese and...
9 Reactions
2K Replies
134K Views
  • Sticky
Please note that this thread is for the city of Nairobi. It is not a comparison thread or a thread for senseless arguments.
18 Reactions
3K Replies
295K Views
  • Sticky
Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
15 Reactions
16K Replies
1M Views
Leo April 18, 2024 nchi ya Kenya imepatwa msiba mzito wa Kiongozi Mkuu wa Jeshi la Ulinzi baada ya kupata ajali ya ndege. Rais Ruto amethibitisha kutokea kwa kifo hicho baada ya kupita saa kadhaa...
4 Reactions
20 Replies
792 Views
  • Redirect
Taarifa kutoka zinasema Helicopter ya Jeshi la Kenya imeanguka na kuwaka moto ikiwa na watu 9 ndani inasemekana pia alikuwepo General Ogola (CDF) Rais Ruto ameitisha kikao cha dharura
2 Reactions
Replies
Views
Ndege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani. Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa za...
19 Reactions
259 Replies
13K Views
Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi, nchini Kenya, Ken Ngondi, alionekana kwenye video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, kumlazimisha mwanamke wa kiislamu kumpa mkono na kumkumbatia, katika...
0 Reactions
5 Replies
171 Views
Waziri wa Michezo Ababu Namwamba ameshutumiwa kwa Mara Kwa Mara Kuweka Picha Yake kwenye Vipeperushi rasmi ambavyo havimuhusu Mfano: Vinavyowapongeza Wanamichezo au kuhusu Wizara yake Katika...
0 Reactions
0 Replies
286 Views
Mmmesikiaaaaa jirani anafanyaje bila uchawa Hongera sana Wiliam Rotu kwa kazi kubwa unayoifanya hapo Kenya nimesikia umechukuw hatua kushusha Bei ya nishat ya umeme na wananchi wamelipokea kwa...
1 Reactions
3 Replies
116 Views
Embu Wakenya tujulishe
2 Reactions
11 Replies
493 Views
Kenya is deeply concerned by Iran's attack on the State of Israel. This disturbing development only serves to aggravate an already delicate situation in the Middle East. The attack represents a...
1 Reactions
10 Replies
301 Views
Madaktari pamoja na Clinical Officer Kenya wamefanya maandamano Kushinikiza Serkali kusikiliza Madai yao na Kuboresha Stahiki zao pia.
0 Reactions
17 Replies
391 Views
Watu Wengi wamepigwa bumbuwazi ni hii kauli aliyoitoa mstaafu Kenyatta mbele ya Jopo la Maaskofu Kwamba Wasaliti ni Wengi Sana Mlale Unono 😀😀
5 Reactions
4 Replies
415 Views
Katibu wa Wizara ya Kilimo nchini Kenya, Dkt. Paul Rono, ameamuru kusitishwa kwa uuzaji wa mbolea aina ya NPK 10:26:10 inayotengenezwa na kampuni ya Ken Chemicals ya Thika. Katika barua yake kwa...
0 Reactions
3 Replies
323 Views
Imagine hadi watu wanakufa kufikia 429 serikali haijui? Watu 429 sio wachache hii inamaanisha kuna watu wengi sana wanapotea na kufa pasipo serikali kujua. Swali linakuja kama intelligencia iko...
4 Reactions
10 Replies
371 Views
Shirika la ndege la taifa la Kenya, Kenya Airways, limeeleza kuwa limeandikisha faida ya uendeshaji mwaka wa 2023, faida yake ya kwanza katika miaka saba iliyopita. Kiwango cha bilioni 10.5 za...
1 Reactions
2 Replies
512 Views
Mahakama kuu ya Kenya imetangaza kwamba kifungo cha maisha ni kinyume cha katiba na kimeelezwa kuwa ni hukumu isiyo na mantiki wala usawa. Kwa mujibu wa Jaji Justice Nixon Sifuna, kumpa mtu...
0 Reactions
0 Replies
495 Views
Shadrack Mwadime Serikali imeanzisha zoezi la kusafisha sekta ya makampuni binafsi za uwakala wa ajira kwa lengo la kufanya iwe na ufanisi zaidi, uwazi, na kuhudumia vizuri Wakenya wanaotafuta...
2 Reactions
2 Replies
415 Views
KENYA: Serikali kupitia Ofisi ya Kamishna wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi (ODPC) imeiandikia barua kampuni ya ByteDance Limited inayomiliki #TikTok ikiitaka kutoa hakikisho la namna inavyofuata...
2 Reactions
6 Replies
374 Views
Maafisa wa serikali wa ngazi ya juu huenda hivi karibuni wakazuiliwa ku-share taarifa fulani au kutumia programu ya TikTok kwenye vifaa vya serikali. Waziri wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya...
1 Reactions
2 Replies
198 Views
Kulingana na kampuni ya Meta, inayosimamia Facebook na Instagram, iliyotangaza mwezi Februari 2022, itaanza kulipa waandaaji wa maudhui katika nchi 20 za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara...
3 Reactions
6 Replies
331 Views
New Covid Variant A new Covid-19 variant is in circulation in the country. Doctors say the new variant called JN1 and and Swine Flu
1 Reactions
7 Replies
282 Views
Parliament has called for the formation of an inquiry to investigate how 133 applicants who are among individuals who applied for the position of Revenue Service Assistances (RSA) at the Kenya...
1 Reactions
3 Replies
451 Views
Back
Top Bottom