KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Kama nakumbuka vizuri Vuguvugu lililokuwepo 1980s la hawa Nccr na Kamahuru lilikuwa ni la kudai Katiba Mpya kwanza ambayo ndani yake ndio itaruhusu mfumo wa Vyama vingi Vya Siasa. Lakini Nyerere...
0 Reactions
0 Replies
302 Views
Ni wazi kabisa kwamba Serikali ya CCM haina nia thabiti kutuletea katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Kama ni elimu kwa raia,tayari raia walikwishaipata kupitia tume ya Jaji warioba na hata...
1 Reactions
7 Replies
635 Views
Kila nikitazama jinsi Mchakato wa Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi inavyosua sua huku muda bado upo nashangaa sana.. Dkt. Samia Suluhu Hassani ni mpenda haki na juu ya yote ni Mwislam...
1 Reactions
10 Replies
542 Views
Nikiwa mdogo kijijini kwetu ngulugulu huko wilaya ya ileje Babu yangu alinifundisha namna nzuri ya kumkamua ng'ombe maziwa, nilipewa mbinu kwamba kuna ng'ombe wastaarabu, hauhitaji kumfunga kamba...
0 Reactions
2 Replies
264 Views
Sisi wananchi wa maeneo ya vijijini na mikoa ya pembezoni tunayo heshima kubwa kumuomba waziri wa katiba na sheria kutoa elimu kwetu sisi kwa kipindi cha miaka mitano sio miaka mitatu...
0 Reactions
4 Replies
251 Views
Kwa maono yangu kwa nchi kama TANZANIA ili kuluusu katiba mpyaa ni lazima iingie kwenye misingi ya dictator action na sio democracy kama hii ya sasa
0 Reactions
0 Replies
129 Views
Fuatilia yanayojiri kwenye mkutano wa waandishi wa habari unaoendelea muda huu ambapo Dkt. Slaa, Mwabukusi na Mbatia wanazungumza. https://www.youtube.com/live/CpVkVel-IRM?si=kRb-q_tl6RKvlnne...
22 Reactions
93 Replies
8K Views
Wasalaam nyote, Katika mikutano ya chadema hivi sasa ya +255 , swala la kuhamasisha umma kuhusu uhuni wa kuuzwa bandari zetu lipewe uzito kila sehemu, CCM hawana dhamira njema na dhati kwa nchi...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Joseph Mbilinyi bado yuko Chunya kwa ziara ya kikazi, ambako ameendelea kuelimisha Wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya ambayo itazaa Tume huru ya Uchaguzi...
1 Reactions
6 Replies
586 Views
Profesa Lipumba amesema kuwa hakuna sababu ya kutoa elimu ya uraia kwa wananchi kwa miaka mitatu ili kuandika upya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Profesa Lipumba ameongeza kuwa Tume ya...
7 Reactions
11 Replies
754 Views
"The best is yet to come"(Obama ,2012) ni maneno yaliyotamkwa na Rais Obama katika hotuba yake siku aliyotangazwa mshindi kuongoza Taifa hilo kubwa kabisa duniani kijeshi na kiuchumi kwa kipindi...
0 Reactions
6 Replies
490 Views
Huyu Dk. Slaa kipindi cha JPM alipokuwa balozi alibadilika sana na kukana kila kitu alichokuwa akikipigia debe alipokuwa upinzani Kwanza alidai mikutano ya hadhara ni sahihi kufungiwa sababu...
38 Reactions
88 Replies
4K Views
Wadau naomba kufahamishwa juu ya Umuhimu wa Cheo cha NAIBU WAZIRI MKUU. Pamoja na Sheria inayompa Rais nguvu ya kuanzisha CHEO chochote nimekuwa najiuliza Kwanini RAIS MWINYI hakukiingiza kwenye...
0 Reactions
0 Replies
299 Views
Watawala wanazunguka sana, wanahangaika sana. Kwa muda mrefu Katiba yetu imekua ikitoa kinga kwa rais aliyemaliza muda wake kuja kushitakiwa kwa makosa aliyoyafanya alipokua madarakani. Kinga...
2 Reactions
6 Replies
416 Views
Hii ndio Taarifa mpya ya leo kutoka kanda ya ziwa ambako oparesheni 255 inatimua vumbi. Muda wa lugha laini kwenye kudai Katiba mpya umekwisha, sasa lugha kali za kikakamavu zimeanza kutumika...
3 Reactions
8 Replies
832 Views
"The best is yet to come"(Obama ,2012) ni maneno yaliyotolewa na Rais Obama katika hotuba yake siku aliyotangazwa mshindi kuongoza Taifa hilo kubwa kabisa duniani kijeshi na kiuchumi kwa kipindi...
0 Reactions
0 Replies
379 Views
Cheo cha Naibu Waziri kuu hakipo kwenye katiba iliyopo lakini Marais waliotangulia waliwahi kumteua hayati Mrema na Salim Ahmed Salim kukitumikia cheo hicho. Jana Rais Samia kamteua Doto Biteko...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Rais Amevunja Katiba? Hana Mamlaka ya Kunyang'anya Majukumu ya Waziri Mkuu na Kumgawia Mtu Mwingine.Ingekuwa hivyo Katiba ingeliweka Bayana. Ibara ya 36(1) ya Katiba ya JMT ina mpa mamlaka Rais...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Ninaandika huu uzi bila kuweka itikadi yangu ya kisiasa huku nikiwa na huzuni. Siku chache tumetaarifiwa kupitia wizara ya katiba na sheria kuwa 51% ya watanzania hawajui chochote kuhusu katiba ya...
0 Reactions
4 Replies
315 Views
Serikali imesema kuwa katika kipindi cha miaka mitatu ijayo itatumika kutoa Elimu kwa wananchi juu ya Katiba mpya. Hapa najiuliza kwa maandishi ina maana mpaka leo Wananchi hawana uelewa juu ya...
0 Reactions
7 Replies
764 Views
Back
Top Bottom