KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Baada ya mh. Wassira kutoa kauli na kuwahakikishia watanzania kuwa hati ya muungano ipo na ataiwasilisha ndani ya siku mbili. Taarifa zenye uhakika kabisa kuwa hati imeshawasili Dodoma kwa maana...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
Wakati akichangia hoja za Kamati za Bunge Maalumu namba moja hadi 12, juu ya Sura ya Kwanza na Sura ya Sita ya Rasimu ya Katiba, Zitto Kabwe alisema wajumbe hawako Bungeni kwa ajili ya...
2 Reactions
95 Replies
14K Views
Kwa wasomaji wapya, leo ni muendelezo wa sehemu ya pili ya somo la Ijue Katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba. Sehemu ya kwanza wiki iliyopita ilitambulisha katiba ni nini, ni ya nani na ya...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakati madai ya upatikanaji wa Katiba Mpya uliposhika kasi vyama tofauti vilitoa mapendekezo ya Nini kifanyike ikiwa nafasi ya upatikanaji wa Katiba hiyo Kabla ya Uchaguzi wa SERIKALI za Mitaa...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Baada ya Sakata la DPW upepo wa siasa umebadilika sana ni dhahiri mama kashagundua alikuwa amezungukwa na ukoo wa panya. Hii pangua pangua. Weka ma meja general kaanza kurudi kwa mtangulizi wake...
1 Reactions
2 Replies
886 Views
Mapitio ya Awali: Katiba ni waraka muhimu katika kusimamia utawala na kuelekeza maendeleo ya nchi. Tanzania, kama nchi nyingine, imekutana na mjadala wa kuandika katiba mpya, na hoja mbalimbali...
2 Reactions
3 Replies
864 Views
Nani atalitendea haki jiji hili ambalo kila siku linarudi nyuma badala ya kwenda mbele, wananchi wa jiji hili waliamini kwamba kumchagua Tulia kungeleta nafuu barabara zingejengwa ikiwepo hii...
3 Reactions
9 Replies
964 Views
Amini usiamini hao wahuni wataishia kupiga mkelele na hakuna kitu itatendeka . Walikuwa wapi hadi pesa yote hiyo inapotea. Wezi wengine ni miongoni mwao. Wanajaribu kutuhadaaa eti waanauchungu...
0 Reactions
0 Replies
377 Views
Wanabodi, When you are poor, you are just poor!, nikimaanisha ukiwa maskini, wewe ni maskini tuu, unaweza kujikuta unaishi kwa unyonge kutokana na hali yako ya umasikini!. Lakini ukijikubali kuwa...
6 Reactions
31 Replies
5K Views
Mungu huwa anatufunulia wale ambao tusingeweza kuwatambua kwa macho na fahamu zetu,Mungu uwa analeta dhoruba kwenye kujiokoa watu wanavua ngozi zao za kondoo na kuwa mbwa mwitu. Huwezi amini...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Wana jukwaa nawasalimu. Mimi nimoja kati ya wengi walio shtushwa na tukio la kuteuliwa kwa naibu waziri mkuu mheshimiwa Dr. Dotto Biteko, bila shaka panapofuka moshi hapakosi moto. Kuna jambo...
1 Reactions
5 Replies
655 Views
Huwezi kuzuia mafuriko kwa mkono. CCM imefunga watu wengi kisa kukoslewa. Anza na yule dawa wa chato, Ney wa mtegp, Sifa na sasa huyu hapa mwamba... Je naye watamfunga?. Mabadiliko yanakuja COM...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Bunge Maalum la katiba linaendelea muda huu na leo wajumbe wataendelea kujadili sura ya kwanza na sita ya rasimu mpya ya katiba. Mh. Sereweji kutoka Zanzibar anasema kuwa muundo wa serikali...
24 Reactions
1K Replies
122K Views
Iko hivi! Rais na chama chake wamepiga matukio mengi ambayo Raia wangeakua wanatambua haki zao kikatiba CCM ingeweza kuwa historia hivi tunavyo ongea. Kwa uchache . 1 ufisadi mkubwa awamu...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Kwa miaka 4 sasa tangu Godbless Lema awe Mbunge wa Arusha, nimekuwa nikivutiwa na hotuba zake, nikimfuatilia na kumjifunza kwa karibu. Baada ya kumfuatilia nimegundua sababu moja kubwa ya...
10 Reactions
124 Replies
14K Views
NI kweli Katiba hii ya mwaka 1977 ni nzuri sana kwa kiongozi na chama kilichoko madarakani. Hata CCM ikianguka leo chini ya katiba hii na sheria hizi za uchaguzi na jeshi la polisi haitarudi tena...
8 Reactions
50 Replies
2K Views
Kwa kuzingatia kichwa cha uzi. - Kama kweli serikali ya Tanzania ina nia ya kutoa elimu ya katiba na kufanya Watanzania karibia wote wa nchi hii kuijua katiba yao vizuri. Serikali haina budi...
0 Reactions
10 Replies
480 Views
Leo nimemsikia mwenyekiti akisisitiza kwamba watu waelimishwe kwanza kuhusu katiba ndipo tuzungumzie katiba mpya. Kisha akasema mchakato wa katiba sio wa wanasiasa kana kwamba hata yeye haumuhusu...
27 Reactions
62 Replies
3K Views
Ki ukweli nimesikiliza hotuba ya Mh Rais Samia leo kwenye mkutano na wadau wa Demokrasia nimekosa jibu la moja kwa moja kuwa licha ya kuwa Rais Samia aliwahi kuwa makamu mwenyekiti wa Bunge la...
3 Reactions
24 Replies
902 Views
Dude linaloitwa katiba Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania Samia Suluhu hassan amesema kwamba watu wa nchi hii hakuna anaejuwa maana ya katiba kwa hiyo ni vizuri watu kwanza wafundishwe...
17 Reactions
200 Replies
9K Views
Back
Top Bottom