KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

  • Sticky
Wanabodi ninakerwa na jambo hili naomba tujadili. Hivi serikali ni nani? Nilidhani ni wananchi ambao wanawakilishwa na Bunge? Kutokana na majadiliano yanayoendelea bungeni kuhusu mikataba ambayo...
18 Reactions
891 Replies
218K Views
  • Sticky
Hatimaye hii hapa wadau! Jisomeeni.
47 Reactions
298 Replies
177K Views
  • Sticky
  • Poll
WanaJF Kwa mda mrefu sasa kuelekea utungaji wa katiba mpya kumekuwa na mjadala mkali kuhusu muungano wetu uwe wa muundo upi sasa ningependekeza tuwe na kura ya maoni hapa JF kuhusu muundo wa...
28 Reactions
992 Replies
160K Views
Habari wadau wote wa JamiiForums. Naamini kwamba hamjambo na Mwenyezi Mungu, muweza wa kila kitu amewajaalia kuamka salama. Kwa wale ambao kwa bahati mbaya siku ya leo wameamka vibaya kutokana na...
1 Reactions
3K Replies
153K Views
Bunge Maalum la katiba linaendelea muda huu na leo wajumbe wataendelea kujadili sura ya kwanza na sita ya rasimu mpya ya katiba. Mh. Sereweji kutoka Zanzibar anasema kuwa muundo wa serikali...
24 Reactions
1K Replies
121K Views
Kwa mujibu wa ITV leo 4/8/2014 Mwalimu Nyerere Foundation wataendesha mdahalo kabambe kuhusu Katiba mpya pale Ubungo Plaza kesho Jumatatu tarehe 4/8/2014 kuanzia saa 9 alasiri wasemaji na...
17 Reactions
1K Replies
82K Views
HIVI SASA, Ni matangazo ya moja kwa moja (live) kutoka ukumbi wa mikutano wa karimjee yakirushwa na TBC1. mgeni rasmi ni rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania JAKAYA MRISHO KIKWETE... KATIBA...
36 Reactions
1K Replies
82K Views
Mwadhama Kadinali, Polycarp Pengo amesema kwamba kauli iliyotolewa hivi karibuni na Askofu wa Jimbo la Rulenge mkoani Kagera, Severine Niwemugizi kwamba Katiba mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi...
18 Reactions
876 Replies
80K Views
Wadau, naamini kuwa hamjambo na mmeamka salama. Nami pia Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniamsha salama. Wale wagonjwa tuwaombee kwa Mwenyezi Mungu awajaalie wapone haraka. Wale waliofikwa na...
14 Reactions
1K Replies
80K Views
- Lissu: Nyerere alitoa amri yaani Decree na watumishi wote na idara zote za Tanganyika ziligeuzwa kuwa za muungano - Lissu anamalizia kwa kusema nchi hii ni haramu!! - Lissu: Tanganyika...
19 Reactions
1K Replies
79K Views
Wadau, naamini mmeamka salama na akili zimetulia baada ya yale yaliyotokea jana. Kwa mujibu wa maelezo ya Mwenyekiti wa Bunge Maalum ambayo ameyatoa jana usiku, ni kwamba Bunge litaendelea na...
22 Reactions
961 Replies
78K Views
MAONI YA WAJUMBE WALIO WA WACHACHE KATIKA KAMATI NAMBA NNE KUHUSU SURA YA KWANZA NA SURA YA SITA YA RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA [Kanuni ya 32(4) ya Kanuni za Bunge...
36 Reactions
262 Replies
71K Views
Ndugu wanabodi, Msisahau kufuatilia mdahalo wa Katiba utakaorushwa live na ITV. Watoa mada ni Prof Ibrahim Lipumba, Tundu Lissu, Ally Awadhi, na Humprey Polepole. Pia alialikwa Steven Wassira...
0 Reactions
872 Replies
69K Views
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko na teuzi za sura mpya kwenye baraza la mawaziri. Uapisho utafanyika September 1, Ikulu ndogo Zanzibar saa tano kamili asubuhi. 1. Rais Samia Suluhu Hassan...
19 Reactions
712 Replies
68K Views
Taarifa nilizozipata muda huu ni kuwa Waandishi wa habari wameitwa Ikulu na Katibu Mkuu Kiongozi lengo ni kuwaonyesha Hati Ya Muungano na kukata mzizi wa Fitina Kwa wajumbe wa bunge la Katiba...
12 Reactions
554 Replies
64K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Natumaini kwamba hamjambo na Mungu Muweza amewaafikisha kuiona vema siku ya leo. Kwa wale wagonjwa tuzidi kumuomba Allah awajaalie wapone mapema. Na wale waliotangulia...
10 Reactions
665 Replies
64K Views
Habari wadau wote wa Mtandao Pendwa Tanzania, mtandao wa kila mtu bila kujali itikadi zake za kisiasa, kidini, umri na jinsia, Mtandao wa JamiiForums. Ni matumaini yangu kuwa Mwenyezi Mungu...
19 Reactions
730 Replies
60K Views
Mwana UKAWA na wakili msomi Kamanda Mh.Tundu Lissu atakuwa live Star Tv kuanzia saa 8 mchana katika mdahalo wa katiba uliondaliwa na UDASA. Atakuwepo pia Dr. Kitila kama mwana UDASA na upande...
1 Reactions
848 Replies
60K Views
Kikao cha bunge maalum la katiba kinaendelea leo hii, kinachojadiliwa hasa ni sura ya kwanza na sita ya kwenye rasimu ya katiba. Mh. Mbarouk anaunga muundo wa serikali mbili maana ndo anaamini...
13 Reactions
830 Replies
58K Views
  • Poll
Rasimu ya Warioba na Tume ya Mabadiliko ya Katiba = "A" au Rasimu ya Sitta,Chenge na Baraza Maalumu la Katiba = "B" Piga kura yako kwa kuandika neno "A''au "B" au unaweza kuandika "Warioba au...
8 Reactions
832 Replies
57K Views
Wadau, amani iwe nanyi. Kama kawaida yetu tutaendelea kuwaletea mtiririko wa mijadala Bungeni Dodoma. Kwa sasa Bunge lipo kwenye mchakato wa kukamilisha kupitisha vifungu vya Kanuni za Bunge...
11 Reactions
681 Replies
55K Views
UKAWA leo wamechanganyikiwa baada ya Ummy Mwalimu, Mwenyekiti wa Kamati Namba Moja kumwaga nondo za kutetea muundo wa serikali Mbili na kuuponda muundo wa Serikali tatu. - Juma Duni Haji...
7 Reactions
832 Replies
55K Views
Leo mtoto hatumwi dukani.Leo, asiye na mwana aeleke jiwe.Leo,ukigeuka nyuma unakuwa jiwe la chumvi.Leo,macho mbele kama tochi. Leo,masikio na macho ni marafiki muhimu. Leo, kila kitu kina...
13 Reactions
464 Replies
54K Views
Back
Top Bottom