Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Mbunge wa Konde Khatib Said Haji (CUF) amemtaka Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, kujitafakari na kujipima kama chombo anachokiongoza cha Baraza Kuu la Waislamu Tanzania...
6 Reactions
68 Replies
10K Views
Tunaipeleka wapi? Katiba ipo wapi? Msimamizi wa katiba! Wenzetu wanasema elimu aina mwisho sisi tumeiga, ndio maana watu kila kukicha wanasoma uku kama una ujuzi huna elimu unafukuzwa kazi?
4 Reactions
227 Replies
17K Views
Binafsi nimekuwa nikishangazwa sana na baadhi ya watu wanaopiga kelele na kupinga pinga tu kwa kile kinachofanywa na Serikali hii ya sasa chini ya rais wetu amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi...
6 Reactions
114 Replies
6K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa amewapongeza maaskofu kwa kuunga mkono mambo aliyosema wamekuwa wakiyapigania. Lowassa ametoa pongezi hizo jana Februari...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Leo nimepigiwa simu na wavuvi ninao fahamiana nao toka visiwa vya ziwa Victoria, wamenieleza huku wakiwa na furaha sana kuwa sasa wameanza kupata nyavu za kuvulia. Nyavu walizo pata ni zile...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari za hapa wanajukwaa, Je, Tanzania katika awamu ya 5 kuchagua upinzani ama kuwa kiongozi wa upinzani ni kosa? #1. Mkuu wa Mkoa wa Manyara amekiri hadharani kuwa hawezi kushirikiana na...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Mwenyezi Mungu aliwahi kumuuliza Nabii Mussa wakati walipokuwa wakifuatiliwa na majeshi ya Farao, Mussa una nini mkononi? Nabii Mussa kwa unyenyekevu akajibu nina fimbo mkononi. Mwenyezi Mungu...
2 Reactions
53 Replies
6K Views
Orodha ya Hali ya Demokrasia Duniani (2017 Democracy Index) iliyozinduliwa Februari 2, mwaka huu na kuchapishwa na jarida kongwe na mashuhuri duniani la The Economist limeitaja Tanzania kuwa ni...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wasalaam wanajamii! Toka mwaka huu uanze na hasa hasa kuanzia tarehe 19 mwezi januari baada ya kutoka kwa ile barua ilokuwa ikiwaelekeza wakuu wa mikoa kupitia wakurugenzi na maafisa elimu...
3 Reactions
15 Replies
4K Views
China imeridhia kutoa msaada wa Dola za Marekani Milioni 62 sawa na Shilingi Bilioni 138.3 za Tanzania kwa ajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Usafirishaji hapa nchini. Balozi wa China hapa nchini...
3 Reactions
43 Replies
6K Views
  • Redirect
Diwani wa Hayderer (Chadema) wilayani Mbulu mkoani Manyara, Justin Masuja amejiuzulu nafasi hiyo na kujiunga na CCM. Masuja amejiunga na CCM leo Februari 12,2018 katika ziara ya Mkuu wa Mkoa wa...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Diwani wa Hayderer wilayani Mbulu (Chadema), Justin Masuja amejiuzulu wadhifa huo na kujiunga CCM Diwani wa Hayderer (Chadema) wilayani Mbulu mkoani Manyara, Justin Masuja amejiuzulu nafasi hiyo...
1 Reactions
Replies
Views
Kuna dhambi CCM wanatenda mchana kweupe kwa kulaghai wana Kinondoni na Siha, eti mkichagua upinzani hamtapata maendeleo, mkichagua mbunge wa upinzani serekali haitapeleka maendeleo kwenye majimbo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wabunge na mawaziri kutoka CCM wamejitokeza katika mkutano wa hadhara wa kampeni kumnadi mgombea ubunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia. Waliohudhuria mkutano huo uliofanyika leo Februari 11,2018...
2 Reactions
92 Replies
8K Views
Umejenga nyumba yako kwa jasho na damu kisha inabomolewa bila fidia na kukuletea mateso makubwa wewe na familia yako. Then wanakuja wabomoaji na kukuambia mchagueni mtu wetu ili muepuke...
9 Reactions
30 Replies
3K Views
*Mikutano ya CCM yawapa kiwewe* *Yawaandaa kisaikolojia wafuasi wao* Na Mwandishi wetu, Kinondoni Hali ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yazidi kuwa mbaya viashiria vingi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa ufupi “Nawaomba mumchague ili aungane na mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na mimi mkuu wa mkoa ili tuendelee kuwaletea maendeleo.” Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda...
7 Reactions
238 Replies
24K Views
Kitendo cha viongozi wote wa serikali ya CCM kutamka kila wanapopanda kwenye majukwaa ya kampeni ama popote wanapopata nafasi ya kuhutubia kwamba ili kupata maendeleo ni lazima kuchagua wagombea...
17 Reactions
35 Replies
3K Views
Wastara msanii wa maigizo na sasa mbunge mstaafu wa kilombero Abdul mteketa ni watu ambao wametoa vilio vyao vya kuhitaji msaada wa matibabu na wamepokea moja kwa moja kutoka kwa Rais. Heko kwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanabodi, Huu ni uzi wa swali la hypothetical situation kuhusu wewe kama Baba wa Familia, Mtoto Wako Mtundu, Amekuny.a Mkononi, Jee Utaukata Mkono, au Utausafisha na Kumsafisha?. Baba...
18 Reactions
76 Replies
6K Views
Back
Top Bottom