Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Vincent Mashinji amewataka wananchi kutumia fedha kwa umakini kwa kubana bajeti ya matumizi yao ili kuhakikisha wanaweza kumudu hali ya maisha kwa sasa. Dkt. Vincent...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango akijibu hoja za wabunge waliochangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2018/2019, jijini Dodoma...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
  • Redirect
Kufuatia wito wa kuunganisha nguvu za Vyama vya Upinzani nchini, uliotolewa na Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Mh. Zitto Kabwe, wakati wa mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa...
0 Reactions
Replies
Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Dk.Mighanda Manyahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Kwa taarifa...
1 Reactions
107 Replies
19K Views
Katika hotuba yake pale Bungeni wakati wa uzinduzi wa Bunge Rais Magufuli alitoa hotuba moja kali sana yenye msimamo kikazi na kutoa muelekeo wa Serikali atakayoiongoza akionyesha kuchukizwa...
7 Reactions
44 Replies
3K Views
Huu ni uzi maalumu kwa wadau mbali mbali. Tumulike Taasisi au mashirika yaliyopewa dhamana ya kuwezesha wafanyabiashara/wakulima au watu wa rika fulani kufanikiwa ktk shughuli zao. Rais alitaja...
1 Reactions
2 Replies
696 Views
Kwenye mitandao ya kijamii, kama hii JF, kuna watu wa kila rika, elimu, maarifa, ujuzi, uzoefu, weledi, mamlaka, wajibu, tasnia, tabia na hata muonekano. Kiufupi, mtandao kama JF, uliosheheni...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
  • Redirect
Siku zote tunamsifu anavyopigana dhidi ya ufisadi lakini jambo moja linanishangaza kuhusu kiongozi wangu wa Chama Zitto Kabwe. Amekuwa mwepesi kulaumu wengine na kuwataka wajieleze wanapotuhumiwa...
1 Reactions
Replies
Views
Kwa mujibu wa Katiba yetu, Rais wa Tanzania anapoapishwa uahidi "kulinda na kuitetea" Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania. Maana ya kuilinda ni dhidi ya mtu, watu, ama kundi jingine. Kwa maneno...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
The value of the Tanzania shilling gained ground against the euro and the British pound in the first five months of this year, a study report says. According to the Bank of Tanzania’s daily...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Rais J.P Magufuli amekuwa akiteua wanaataluma kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) hali.iliyopelekea baadhi ya watu kuhoji kama teuzi hizo hazitaathiri uwezo wa chuo hicho kitaaluma...
4 Reactions
50 Replies
6K Views
Safisha safisha bado inaendelea katika serikali hii, ambapo leo wakurugenzi wote Tanesco wamesimamishwa kazi ili kuondoa uozo uliokuwepo ndani ya shirika hilo #Hongera Muhongo #Hongera Dr. Tito...
19 Reactions
267 Replies
41K Views
I just noticed in couple of days that Julius Nyerere Internatinal Aiport is not as busy as we used to see in the past. Like today i only saw one International flight. May be someone can also probe.
2 Reactions
53 Replies
5K Views
Naota tu..siku ikitokea nikawa Rais wa Tanzania haya hapa ndiyo nitakayoyafanya :- 1)Kuzingatia utawala bora,unaozungatia sheria na kufuata katiba. 2)Serikali yangu itakuwa sikivu,isiyojikita...
6 Reactions
50 Replies
3K Views
Pamoja na kazi nzuri ambayo wizara yake imefnya lakin katika jambo la kushangaza jana nilimsikia Mh.Ruhaga waziri wa mifugo na uvuvi akitamka bayana kuwa zoezi la operation sangara halijatia watu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Redirect
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema Tanzania itaendelea kukopa kwa sababu bado deni la Taifa ni himilivu na mahitaji ya uwekezaji bado ni makubwa. Akijibu hoja za wabunge...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametangaza kuanza kwa oparesheni kabambe ya kuwakamata na kuwatoza faini wachafuzi wa Mazingira kuanzia July Mosi kwa lengo la kuhakikisha jiji...
0 Reactions
Replies
Views
Aliyekuwa Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Kijana Shaka H Shaka leo amkabidhi nyaraka mbalimbali za UVCCM ikiwa ni ishara ya makabidhino ya ofisi kwa Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Raymond S...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Taarifa kwamba Waziri kabudi bila aibu ametamka mbele ya Bunge kuwa kiasi kilicholipwa na Tanzanite One kwa Serikali haitaweka wazi kwa Public kwa kuogopa kufunguliwa mdai na wadai wetu ni ya...
25 Reactions
67 Replies
7K Views
Back
Top Bottom