Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Kuna hilo swali, kipindi cha nyuma ilikuwa hazipiti siku tatu unasikia kuna mpinzani amejiuenguwa kutoka chama chake na kujiunga CCM kwa sababu ya kumuunga mkono rais JPM. Watu walishangaa zaidi...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Wakuu poleni na majukumu yenu ya kuijenga nchi yetu. Najaribu kuangalia matukio mengi yanayotokea ya ukiukaji wa haki za raia ndani ya nchi yangu Tanzania, nashindwa kuamini kama hawa tuliowapa...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Redirect
Msemaji wa CCM yaani Humphrey Polepole tumeona tamko lake la kuunga mkono barua ya Msajili kwenda kwa Baraza la maaskofu la KKKT, kwamba ina hoja halali. Soma hapa: (Humphrey Polepole: Nimeisoma...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wanandugu, Nashangaa sana yanayotokea kwenye nchi yangu sasa hivyi...Viongozi wamekuwa sio wale tena wanaoshauriana kabla jambo halijafanyika. Sasa hivyi unaweza kuona katibu wa wizara flani...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ndugu wanajukwaa kama mtakumbuka kwamba ni juzi hivi katibu wa itikadi na uenezi CCM ndugu Humphrey Pole pole kupitia kwenye ukurasa wake aliijibu barua ambayo imeshakanushwa na waziri wa mambo...
0 Reactions
Replies
Views
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka wa fedha 2018/2019, jijini Dodoma...
13 Reactions
153 Replies
17K Views
  • Redirect
Kilichofanya serikali kuikana barua yake kwa Maaskofu wa KKKT kimebainika kuwa ni HOFU ya serikali kuitishwa Mkutano mwengine wa Maaskofu hao kujadili barua ya serikali. Imebainika kuwa, Msajili...
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ww choko wa chalinze nakuvutia kasi, nitakumwagia matusi kwenye kila uzi wako mpaka ukiona hii id uchanganyikiwe. Tuletee siasa zako za majitaka kama hujashindwa kukaa kwenye kiti vizuri kwa hiyo...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wiki iliyopita ilisambaa nyaraka yakuwa dk. Bi kijo kajiunga Chadema mapema tuu LHRS wakakanusha na kusema ni fake news, mara ikatoka kinana kujiuzuru ikapingwa then siku chache akajiuzuru kama...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Katika hali ya kushangaza, Serikali imewashauri Maaskofu kufuata ushauri uliotolewa jana na UKAWA kwa Maaskofu wa KKKT na TEC. Ushauri huo ulitolewa na Mh. James Mbatia, kwa niaba ya UKAWA...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kale kazee ndo kameinfluence hyo baruaNa yeye atakataa hiyo acc kuna mtu ame-fake id!
0 Reactions
Replies
Views
Baadhi ya viongozi wa CCM sio waaminifu kwa CCM, kwa wananchi na kwa taifa pia. Viongozi hawa walikifikisha chama, wananchi na taifa hapo vilipo sasa. Viongozi hawa walikuwa wanafiki mwanzo mwisho...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
  • Redirect
Kufuatia Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba kukanusha Taarifa inayosambaa mitandaoni kwa kudai ni feki, maswali lukuki yameibuka juu ya uamuzi huu wa Waziri: Kama Barua ni feki, kwa nini...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ni suala rahisi sana. Serikali imeona kwamba barua ya Msajiri wa Vyama haifai na ina mwelekeo wa kugonganisha serikali na dini na kumsimamisha kazi. Ninawasihi CCM nao wamuwajibishe Polepole kwa...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amemsimamisha Msajili wa Vyama katika Wizara hiyo kupisha uchunguzi. Waziri amekanusha juu ya Barua inayosambaa mitandaoni kuwa, imeandikwa kwenda KKKT.
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
East Africa Radio Waziri @mwigulunchemba1 "Serikali haipingani na dhehebu lolote na pale ambapo kuna uhitaji wa kufanyia kazi jambo kuhusu taasisi zilizopo chini ya wizara hiyo taratibu huwa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Duhh! Yajayo yanafurahisha. Waraka sio wa kweli - Sasa kwanini anamsimamisha kazi Msajili? Waraka sio wa kweli - Kwanini jana Naibu Spika alikataa Waziri Mkuu asiukane?
0 Reactions
Replies
Views
Kwa ufupi Sababu ya kumpa sifa Ndugai zenye kumshabihisha na Solon ni jinsi kiongozi huyo wa zamani wa Ugiriki, alivyounda chombo ambacho kiliitwa Bunge la wananchi, kikaitwa Ekklesia, yaani Bunge...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Walinda amani wa JWTZ walishambuliwa kwa kupigwa ambush na vikosi vya kigaidi huko Afrika ya kati na kupelekea kusababisha kwa majeruhi saba (7) na kifo cha mmoja (1). Shambulio hilo lilifanyika...
2 Reactions
106 Replies
17K Views
Back
Top Bottom