Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Je, sisi kama watanzania, serikali, vyama vya kisiasa, taasisi za umma na binafsi inahitajika kukaa chini kutafakari ni wapi tunakosea na kukinzana hata kufanya upatanisho? Ni wazi kuwa taifa letu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Inasikitisha sana uchaguzi uliopita tulikua taabani lakini watu walijikaza kisabuni wakaingia barabarani kuusaka ushindi Mchana na usiku tulitembea tulitumia njia za halali na zisizo za halali...
26 Reactions
116 Replies
13K Views
MO Ibrahim foundation imeipandisha serikali ya Tanzania kutoka nafasi ya 17 mpaka ya 14 katika masuala ya utawala bora barani africa, jumla ya nchi 54 zilifanyiwa utafiti. Tanzania inakuwa nchi...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
  • Redirect
Kwanza nampongeza Makonda kwa uthubutu huo, pili nampa shule kidogo, Kwenye simu au computer au kifaa chochote, kuna kitu kinaitwa ROM, RAM,Bite na byte Kwenye vifaa vinavyohusika na mawasiliano...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mfanyabiashara wa Utalii avamiwa na kusachiwa kwa kwa saa 20 Mfanyabiashara mkubwa wa Utalii na uwindaji Akram Azizi ambaye ni Mkurugenzi wa kampuni ya Kilombero North Safaris jana mchana...
0 Reactions
Replies
Views
Tanzania ni nchi ya pekee sanaa ambayo tumefanikiwa kuwa na lugha yetu moja ambayo ni kiswahili!. Kwa ili kwa kweli binafsi naendelea kumshukuru Rais wa awamu ya kwanza wa Taifa ili. Nje ya...
0 Reactions
1 Replies
754 Views
DPP wa Watanzania Hajui Haki Maana yake nini! Unawaweka watu kwa Mamia ndani Kwa Miaka zaidi ya Mitano eg. UAMSHO kwa sababu Eti uchunguzi Bado unaendelea..ni Kituko Kikubwa. #Munawadhulumu...
9 Reactions
79 Replies
7K Views
Kuna watu hamjui kusoma alama za nyakati.toka JPM aingie mmeona jinsi gani wale vigogo ambao walikuwa untouchable huko nyuma wakipata misala. Juhudi za serikali kwenye Vita ya madawa ya kulevya...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
  • Redirect
Papa la Ujangili Tanzania lakamatwa. Iqram Azizi, Mdogo wake Rostam Aziz amekatwa na Nyara za Taifa leo nyumbani kwake akiwa ameshaua Tembo wa kutosha na mabunduki kibao. Hii ni kashifa mbaya...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wadau naomba kufahamishwa kwanini CCM imetangaza Ukomo wa kuhamia CCM kuwa ni tarehe 15/12/2018 kwa Wabunge/Madiwani tu? Kwanini isiwe kwa yeyote anayetaka kuhamia ccm? Kwani CCM inaupungufu wa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
MWANASIASA mkongwe, Ibrahim Kaduma, ameibuka na kutoa kauli nzito kuhusu wabunge wanaojiengua upinzani na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM). MWANASIASA mkongwe, Ibrahim Kaduma. Amekishauri chama...
1 Reactions
Replies
Views
Chadema kwa sasa sio Kama Zama za dk.slaa wilbroad ambaye iliweza kukemea kwa nguvu ufisadi wa aina yoyote.Na hata rushwa katika chaguzi mliweza kututolea mifano ya ufisadi. Siku hizi jitafakarini...
0 Reactions
0 Replies
609 Views
  • Redirect
Mfanyabiashara mkubwa nchini ndg Reginald Mengi,amedai kufurahishwa na kasi ya ukuaji uchumi hapa nchini na kudai ataendelea kuwekeza nchini zaidi ya alivyowekeza. Mengi aliyasema hayo jana...
2 Reactions
Replies
Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Naghenjwa Kaboyoka, aliiambia Nipashe wiki iliyopita kuwa tayari wameshauagiza uongozi wa BoT kuhakikisha unajieleza kwa...
0 Reactions
92 Replies
14K Views
Kila wakati viogozi wa CCM wakienda mahali wakisikia malalamiko ya wananchi kuhusu kutofanyika kwa jambo ama kutokupatikana kwa mahitaji fulani, jibu lao huwa ni kwamba "fedha zipo" kwa ajili ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
DEBT PROBLEM – Commercial banks scramble to rein in non-performing loans to avoid tough regulatory action from the central bank THE four biggest banks in Tanzania – CRDB, NMB, NBC and Standard...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
  • Redirect
Eti hiki ni chama cha Wanyonge? Unashawishi watu waache ubunge na udiwani na utawapa nafasi ya kugombea tena? CCM ni chama tawala na kinajua gharama za uchaguzi ilivyo kubwa jee haina huruma na...
4 Reactions
Replies
Views
Zitto ameongelea hoja hiyo akijibu tweet hii ya mh.Heche:
7 Reactions
183 Replies
21K Views
Mashariti ya kutasaidia watanzania ni haya. 1.Tubadili sheria ya uchaguzi wanaojiuzulu au kuhama vyama nafasi zao zichukuliwe na washindi wa pili kama hatutaki sitisheni mikopo. 2.Tuwe na Tume...
0 Reactions
0 Replies
624 Views
Back
Top Bottom