Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Huu utakuwa mkutano mkubwa sana kuwahi kufanyika kwenye jimbo la Morogoro mjini tangu kupatikana kwa Uhuru wa Tanganyika , Taarifa zinaeleza kwamba baadhi ya viwanda na makampuni kadhaa yamewapa...
9 Reactions
52 Replies
4K Views
RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi (pichani) ameahidi kuimarisha ushirikiano kati ya nchi yake na Tanzania hususan katika matumizi ya Bandari ya Dar es Salaam...
0 Reactions
1 Replies
819 Views
Watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la polisi Mkoani Morogoro kwa tuhuma za mauaji ya kiongozi wa Chadema ambaye pia ni katibu mwenezi wa Chadema jimbo la Malinyi Mh Lucas Lulambalimo , ambaye...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwanza nianze na kumnukuu.. "Kuhusu kuwa Rais hili linasemwa sana nami niseme, kwangu na kwa wasionikubali hili jambo sio la kupania kwani Mungu ndiye hupanga, akitaka uwe hakuna awezaye kuzuia...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Na Lwitiko Mwakatobe,Dodoma. Mwenyekiti wa Chadema ndugu Freeman Aikael Mbowe amesisitiza kuwa Bandari ya Bagamoyo ijengwe hata bila kuogopa masharti ya wachina. Akuzungumza kwa kujiamini...
5 Reactions
54 Replies
6K Views
Wafanyabiashara wenzangu ningependa kushare na nyinyi hii fursa. Nikiamini kwamba kila mfanyabiashara anatafuta njia ya Kupunguza gharama... ili aweze kukuza faida yake wazungu wanasema Profit...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
ONYO; Tutumie lugha safi na ukweli. Ni jambo la msingi sana kufahamu kwa undani historia ya kiongozi mkuu yeyote tena kabla hamjampatia uongozi wa juu kabisa wa Nchi au chombo chochote chenye...
19 Reactions
251 Replies
36K Views
Habari wanaJF, Kwa mujibubwa Mwenyekiti wa Chadema kanda ya kusini, Cecil Mwambe amethibitisha taarifa za ofisi za chama hicho zilizopo Lindi mjini kuchomwa moto usiku wa kuamkia leo Picha za...
5 Reactions
56 Replies
5K Views
Na Mwandishi wetu Mihambwe Afisa Tarafa Mihambwe *Ndg. Emmanuel Shilatu* ameanza ziara ya kutembelea *Kata kwa Kata* kwa lengo la kusikiliza na kutatua kero za Wananchi akiambatana na Watendaji...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Watu wasiojua historia ya utawala hapa Tanzania, utawasikia wakisema kuwa awamu hii ya tano imezidi kwa kufukua makaburi ya Jakaya Kikwete na kumdhalilisha. Lakini kihistoria, kila awamu ilifanya...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Redirect
Wapo wanaosema hawa Mawaziri Wakubwa Wastaafu wapo CDM kimkakati zaidi wa kuua upinzani nchini,wapo wanaosema hawa jamaa wapo CDM kwa dhati kabisa na wamehama ccm mazima na wameongeza nguvubya...
0 Reactions
Replies
Views
Hello , Leo ningependa niangazie sehemu muhimu sana ktk jamii yetu na sehemu hii imechukua nafasi kubwa sana nayo si nyingine bali ni vijana. Mara nyingi tumekuwa ni watu tunaolalamika kwa kuona...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna hatua/kauli kadhaa ambazo Mh Rais Magufuli alizifanya/alizitamka, wengi zilitukwaza. Hazikutukwaza kwa sababu hatupendi kuzisikia bali tulijua athari zake katika uchumi wetu na maisha yetu...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais Magufuli, kwa muda mrefu yamekuwepo malalamiko juu ya katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano, wala hayakuanza wewe ulipoingia madarakani. Serikali iliyokutangulia ikiongozwa na Raisi Kikwete...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Dr Marcus ni mwanaharakati aliyejikita kwenye tafiti za maswala ya kibunge na maendeleo kwa ujumla. Nimewahi kuhudhuria moja ya kampeni zake wakati akigombea ubunge pale Morogoro, ni mtu makini...
5 Reactions
86 Replies
6K Views
Serikali ya Tanzania imesema pato la wastani la kila Mtanzania lilifikia Tsh. Milioni 2.4 mwishoni mwa mwaka jana kutoka Tsh. Milioni 2.3 mwaka 2017. Hayo yameelezwa leo Alhamisi Juni 13, 2019 na...
1 Reactions
55 Replies
6K Views
Bado naona wapambe wengi wa Magufuli wanafikiri anafurahiushwa sana na michezo yao ya kukandamiza wapinzani. Ukweli ni kwamba mzee huyu sasa hataki kingine ni maendeleo tu na ameshtuka watu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Afisa wa TBS ndugu Henry Msuya amesema Shirika lake liko katika hatua za mwisho za kuweka viwango vya mifuko mbadala inayopaswa kutumiwa Msuya amesema kiukweli hii mifuko inayotumika sasa bado...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwandishi Wetu | Raia Mwema | Toleo la 293 | 8 May 2013 WAKATI Jeshi la Polisi likipitishiwa na Bunge bajeti ya takriban Sh. bilioni 364.2 kwa mwaka wa fedha...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Ndugu wanabodi,ni wazi kuwa Sudani chini ya Rais Al Bashir ilikuwa na intelligence kubwa kubaini wasaliti. Sudani ilikuwa na jeshi imara huku kitengo cha Usalama kikiwa kazini kwa muda wote...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom