Habari wanaJF,
Kwa mujibubwa Mwenyekiti wa Chadema kanda ya kusini, Cecil Mwambe amethibitisha taarifa za ofisi za chama hicho zilizopo Lindi mjini kuchomwa moto usiku wa kuamkia leo
Picha za...
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Afisa Tarafa Mihambwe *Ndg. Emmanuel Shilatu* ameanza ziara ya kutembelea *Kata kwa Kata* kwa lengo la kusikiliza na kutatua kero za Wananchi akiambatana na Watendaji...
Watu wasiojua historia ya utawala hapa Tanzania, utawasikia wakisema kuwa awamu hii ya tano imezidi kwa kufukua makaburi ya Jakaya Kikwete na kumdhalilisha. Lakini kihistoria, kila awamu ilifanya...
Wapo wanaosema hawa Mawaziri Wakubwa Wastaafu wapo CDM kimkakati zaidi wa kuua upinzani nchini,wapo wanaosema hawa jamaa wapo CDM kwa dhati kabisa na wamehama ccm mazima na wameongeza nguvubya...
Hello ,
Leo ningependa niangazie sehemu muhimu sana ktk jamii yetu na sehemu hii imechukua nafasi kubwa sana nayo si nyingine bali ni vijana.
Mara nyingi tumekuwa ni watu tunaolalamika kwa kuona...
Kuna hatua/kauli kadhaa ambazo Mh Rais Magufuli alizifanya/alizitamka, wengi zilitukwaza. Hazikutukwaza kwa sababu hatupendi kuzisikia bali tulijua athari zake katika uchumi wetu na maisha yetu...
Rais Magufuli, kwa muda mrefu yamekuwepo malalamiko juu ya katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano, wala hayakuanza wewe ulipoingia madarakani. Serikali iliyokutangulia ikiongozwa na Raisi Kikwete...
Dr Marcus ni mwanaharakati aliyejikita kwenye tafiti za maswala ya kibunge na maendeleo kwa ujumla.
Nimewahi kuhudhuria moja ya kampeni zake wakati akigombea ubunge pale Morogoro, ni mtu makini...
Serikali ya Tanzania imesema pato la wastani la kila Mtanzania lilifikia Tsh. Milioni 2.4 mwishoni mwa mwaka jana kutoka Tsh. Milioni 2.3 mwaka 2017.
Hayo yameelezwa leo Alhamisi Juni 13, 2019 na...
Bado naona wapambe wengi wa Magufuli wanafikiri anafurahiushwa sana na michezo yao ya kukandamiza wapinzani.
Ukweli ni kwamba mzee huyu sasa hataki kingine ni maendeleo tu na ameshtuka watu...
Afisa wa TBS ndugu Henry Msuya amesema Shirika lake liko katika hatua za mwisho za kuweka viwango vya mifuko mbadala inayopaswa kutumiwa
Msuya amesema kiukweli hii mifuko inayotumika sasa bado...
Mwandishi Wetu | Raia Mwema | Toleo la 293 | 8 May 2013
WAKATI Jeshi la Polisi likipitishiwa na Bunge bajeti ya takriban Sh. bilioni 364.2 kwa mwaka wa fedha...
Ndugu wanabodi,ni wazi kuwa Sudani chini ya Rais Al Bashir ilikuwa na intelligence kubwa kubaini wasaliti.
Sudani ilikuwa na jeshi imara huku kitengo cha Usalama kikiwa kazini kwa muda wote...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James amewashukuru Wadau wa Maendeleo kwa kuisaidia Serikali kuimarisha mifumo ya usimamizi wa fedha za umma iliyosaidia kuongeza tija katika...
Wastani wa wa pato ni tsh 6500,japo haijafafanuliwa sana kwa sababu haiwezekani IMF waseme uchumi umeshuka kutoka asilimia 7 mpaka 4,halafu hao ambao wanaishi kwenye uchumi huo pato lao...
WANANCHI wa Kata ya Sanzawa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma wameipongeza Serikali kwa kuboresha huduma za afya kuwapelekea dawa, vifaa tiba na vitendanishi vya maabara kwa...
Habari wakuu, poleni na majukumu ya kila siku.
Ni muda sasa tangu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Bwana Mark Childress amalize muda wake wa kuhudumu hapa chini ( mwezi wa 10 mwaka 2016) na...
Waziri wa Ujenzi, Usafirishaji na Uchukuzi Zanzibar, Dk Sira Ubwa Mamboya amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaendelea kutekeleza Miradi miwili ya Ujenzi wa Jengo la Abira la uwanja wa...
Wakati wa vikao vya Bunge mwezi April, Godbless Lema alisema Waziri wa Viwanda na Biashara aliyetimuliwa juzi na Rais Magufuli Bwan.Kakunda hakuwa na uwezo wa kuongoza Wizara hiyo wala kuleta...
Jumatatu njema raia,
Miezi michache iliyopita kuliibuka taarifa kuwa sasa ni marufuku kwa Mtanzania kusafiri kwenda nje ya nchi kama hatokuwa na mkataba wa kazi au sababu ingine maalumu.
Nami...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.