Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Kwa mara nyingine tena nimeshuhudia jinsi Wabunge wa CCM wanavyobishia mambo huku wakiwa mbumbumbu katika suala linalojadiliwa. Yaani inafedhehesha sana kuona jinsi mbunge anasimama kubishia kitu...
8 Reactions
39 Replies
3K Views
Je hapa Chuo Kikuu cha UDSM hakijadharauliwa? Tujadili.
0 Reactions
47 Replies
4K Views
IJUMAA iliyopita wakati mkutano baina ya Rais John Magufuli na wafanyabiashara kutoka wilaya zote nchini na wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa (TNBC) ukiendelea, kuna watu waliandika kwenye...
1 Reactions
0 Replies
578 Views
  • Redirect
Kwa haya niliyoyaona kupitia hii video iliyopo mtandaoni,nakiri huyu mtu ni mbinafsi na anapendelea sana kwao kuliko hata hao wachaga. Ubinafsi mwingine ni ule wa kutaka yeye tu ndio aonekane na...
1 Reactions
Replies
Views
Serikali ya Sudan Kusini imeiomba Tanzania kufanikisha makubaliano ya amani yaliyotiwa saini kati ya pande zinazohasimiana hasa wakati huu ambapo taifa hilo likijipambanua upya kwa kusaka fursa za...
1 Reactions
5 Replies
960 Views
Ndugu wadau, sina mengi zaidi. Kuna sifa kemkem huko youtube kuhusu msimamo wa huyu bwana juu ya bandari ya Bagamoyo. Tembelea hii link kisha soma comments zake uone. Aisee hata mimi...
4 Reactions
52 Replies
4K Views
SERIKALI imeanza kufunga mashine za CT-Scan katika Hospitali za Rufaa za Mwananyamala, Temeke na Amana mkoani Dar es Salaam. Kauli hiyo aliitoa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huyu akimaliza muda wake itakuwa imetosha. Watu wanaosomea masomo ya sayansi kiasili wengi wao hawaji kuwa viongozi wazuri,sijui ni makemikali ya huko maabara ndiyo yanachanganya bongo zao.Huyu wa...
36 Reactions
174 Replies
16K Views
KITUO cha Uwekezaji Tanzania (TIC), kimesema kwamba kilisajili miradi ipatayo 87 ya uwekezaji yenye thamani ya dola za Marekani milioni 1,482.23 (sawa na Sh. bilioni 40) kati ya Julai na Desemba...
0 Reactions
0 Replies
603 Views
Waziri MKuu Kassim Majaliwa, amewakaribisha wawekezaji kutoka nchini Rwanda kuja kuwekeza katika sekta mbalimbali na Serikali itawapa ushirikiano wa kutosha. Ameyasema hayo leo Juni 11...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Baraza la Habari Tanzania na Mtandao wa Watetezi wa Binadamu Tanzania (THRDC) dhidi ya Waziri wa Habari,sanaa, utamaduni na Michezo, Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Redirect
Wakati wa tume ya katiba, Mhe.Prof. Kabudi alipokuwa mjumbe wa tume ya katiba aliwahi kusema’ hata ugomvi wa mipaka kati ya Malawi na Tanzania haupo kwenye mikataba kwa sababu hakuna nchi...
0 Reactions
Replies
Views
WANANCHI wa Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera na mikoa ya jirani inayozunguka Ziwa Victoria, wanatarajia kunufaika na meli mpya itakayokuwa na uwezo wa kubeba abiria 1,200 na tani 400 za mizigo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Sehemu moja ya ujenzi wa Gati jipya katika Bandari ya Dar es Salaam ikiwa imekamilika na tayari imeanza kutumika kwa majaribio. Gati jipya hili limejengwa ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Inaonekana mwaka 2019 umeanza vizuri katika sekta ya utalii nchini Tanzania kutokana na watu kadhaa mashuhuri kuzuru vivutio vyake. Sehemu ambazo zimeonekana kuwavutia watu wengi zaidi ni hifadhi...
1 Reactions
3 Replies
897 Views
Angekuwa anaongea na waandishi wa habari sawa lakini wamiliki naona siyo sawa saizi yao ni Mwakyembe, Kabudi saizi yake ni mabalozi au ndio kuchanganyikiwa kwenyewe baada ya jana kudhalilishwa...
13 Reactions
162 Replies
15K Views
Mimi binafsi nakuheshimu kama "one of the best brains this country has ever had" lakini nakushauri kwa hadhi yako ebu acha kunyoa KIDUKU! Kuna vitu vidogo vidogo ambavyo watu wengi wasio makini...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Nimefutilia kikao cha Prof Kabudi, kiukweli alipo pewa mh Makonda kuongea nikashanga anashanga wazee Walipo tufikisha kweli anataka kutuambia kama sio hawa wazee zaid ya miaka 50 wamelinda hili...
0 Reactions
2 Replies
902 Views
IKULU: Rais Dkt. John Magufuli amemteua Mohammed Abdallah Mtonga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuanzia leo Juni 12,2019.
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Mbunge Mulugo ni.mwalimu na mumiliki wa shule za English medium.Kamhoji waziri was elimu kuwa serikali itaanza lini kuwa na vyuo vya kutoa walimu wa kufundisha shule zao za English Medium kwani...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Back
Top Bottom