Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Maisha yangu siku zote sijawai kuipenda ccm na maisha yangu siku zote nimeiunga mkono Chadema hata uchaguzi wa 2015 sijaipigia kura CCM Kwasababu siku za nyuma CCM ilishindwa kupambana na rushwa...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Nimeshangazwa sana na kauli ya Serikali kupitia mdomo wa Waziri wa Fedha wa Zanzibar katika bajeti aliyoisoma leo katika ukumbi wa baraza la wawakilishi. Waziri Ramia anasema Zanzibar imeshindwa...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Kitendo kilichofanywa juzi na mbunge wa Kasulu, kwa tiketi ya CCM, Augustine Vuma, cha kuichana Bungeni, hotuba ya wapinzani, na kitendo hicho kukingiwa kifua na Naibu Spika, Dk Tulia Ackson, ni...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Na, Ibrahim Haroub Geveva Nikiwa katika shughuli za kikazi za Umoja wa Mataifa hapa Geneva, nimefadhaishwa na namna Ubalozi wa Marekani Tanzania ulivyotoa taarifa ya UZUSHI huko Tanzania. Mwaka...
25 Reactions
252 Replies
18K Views
Na Mwandishi wetu Mihambwe Mwenyekiti wa Kijiji cha Namunda kilichopo kata ya Kitama kupitia Chama Cha Wananchi (CUF) Suleiman Mkubulu amerejesha mifuko 24 aliyoitumia kinyume na utaratibu kama...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimesikia hasira na huzuni kubwa baada ya kusikia kumbe kuna majizi yaliyoiba fedha Billioni 46 ambazo zilipaswa kujengwa kiwanda cha cement kule mkoani Lindi. Hawa hawana tofauti na...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
https://www.ft.com/content/c9a8dd4a-9260-11e9-b7ea-60e35ef678d2 Acacia Mining hits back at Barrick over criticism of mine plans Neil Hume, Natural Resources Editor 19 HOURS AGO Acacia Mining...
0 Reactions
1 Replies
874 Views
Inaelekea haka kaugonjwa ka baadhi ya watu kutaka marais wenye tabia za ki Trump-Trump waongoze muda mrefu kameenea si Africa pekee bali hadi huko Marekani. Ni vyema nchi zilizoathirika na haka...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Nadhani mambo ya kibiblia huwa yanajirudia rudia katika vipindi mbali mbali, na katika maeneo mbali mbali in a small way. Story ya Samson na Delilah inaweza kujirudia in a small way kwenye...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Nipo naangalia hapa Uhai Tv ya Azam. Tangu juzi naona mjadara wa bajeti unaonekana live, Je serikali imeruhusu bunge live kimya kimya au ni kwa muda huu tu wa bajeti?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wana JF, Katika watu ninaowakubali ni Rais wetu aliyepo. Kwa kweli mitaani tuna amani sana kwani watu tulikuwa tunaishi kwa jasho la wengine, tulikuwa tunaishi kwa kuwindana, aliyeiba makonteina...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Nachukua fursa kuwapongeza viongozi wa kisarawe kwa kazi zao nzuri. Leo nilifanikiwa kuhudhuria kongamano la wajasiriamali mali liloratibiwa na viongozi wa wilaya na NEEC . Katika kongamano...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii miradi hapa Dodoma kama itatekelezwa,basi litakuwa ni jambo jema ila ili kubadili muonekana wa jiji lionekane kweli ni jiji kama linavyoitwa,basi serikali/Manispaa ije na mkakati wa makusdi wa...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Serikali imepata fedha kutoka serikali ya india kiasi cha dola za marekani milioni 500 kwa ajili ya kuboresha huduma ya miundombinu ya maji katika miji 28 ya tanzania na Zanzibar. Hayo yamesemwa...
0 Reactions
1 Replies
793 Views
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imesema kwa sasa muelekeo wa soko la Utalii nchini umelenga kupata watalii wengi kutoka nchini China na kama Wizara inayoshugulikia masuala ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
18 Jun 2019 On 21 May 2019, Acacia Mining plc (“Acacia” or the “Company”) announced that it had received an indicative proposal from Barrick Gold Corporation (“Barrick”) regarding a possible...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Baada ya Tahadhari ya Usalama katika Jiji la Dar es Salaam katika maeneo ya Masaki na Msasani iliyotolewa na Ubalozini wa Marekani, Mkuu wa mkoa wa Dar amewahakikishia Wananchi kuwa hali ni shwari...
6 Reactions
112 Replies
9K Views
Dodoma. Serikali ya Tanzania imeanza ukarabati wa mashimo na upanuzi wa barabara ya Dar es Salaam- Morogoro hadi Dodoma utakaogharimu zaidi ya Sh140 bilioni. Hayo yameelezwa leo Alhamisi Juni 20...
2 Reactions
1 Replies
934 Views
Jumamosi hii ya tah 22,saa 2 asubuhi pale kwenye ukumbi wa Diamond jubilee Mwenyekiti wa CUF ambaye ni mwanasiasa msema kweli. Prof Ibrahimu Lipumba atazindua sera ya furaha na demokrasia...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom